Kenya: Watu 279 wamedhurika baada ya chanjo ya covid19, mmoja afariki

warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,874
2,000
Hizi nadharia za kijinga umekaririshwa na nani, dunia mpaka sasa wamechanjwa mamilioni ya watu, tena wengi waliokuzidi elimu mara 1,000
Huo ukaidi wenu ndio umesababisha muwe taifa la pili duniani kumpoteza rais baada ya yule mkaidi wa Burundi ambaye naye aliiga ujuha wenu yakamkuta.

Majiran mko na shida nyingi sana, Kwan ulisha sign ile petition ya ku cancel mkopo wa ma billions ? Halafu mbona mnapenda sana vya bure mbwa nyie, mmekua omba omba sana had mnatia aibu duniani mxieew , mnaomba mikopo hadi ya sumu mbuzi nyie ndo mfe vzur mxieww
 

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
9,076
2,000
Chanjo yenu mliyoitengeneza iko wapi ?
Nani juha kati yetu na nyie???---- hiyo chanjo ni mRNA (messenger RNA), ikiingia mwilini inapeleka command kwenye Genes na inaweza kubadili kabisa Genetic codes zenu na madhara sio hayo tu mliyopata kwa huo muda mfupi (temporary side effects), madhara (permanent adverse effects) yanaweza kutokea huko mbeleni kwa watoto na wajukuu zenu pale mtakapo wazaa wakiwa Majuha mara mbili yenu (2× more idiots than you parents).

Kumbuka Astrazeca iliyoletwa Kenya yawezekana sio ile iliyotumika Ulaya na Marekani Mabeberu ni watu wa hovyo hawatupendi sisi watu weusi, mnenunua sumu ili mfe kwa ujuha wenu, (the poison for sale).

Chanjo bora za Corona so far ni Sinovac na Sputnik.
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
39,568
2,000
Kwahiyo kwa sababu Astrazeneca imeuzwa sana ndio inafanya tusisikie malalamiko ya side effects za hizo chanjo zengine?

Halafu unasema hata hizo zengine zina side effects lakini hapo hapo watu wakilalamika kuganda kwa damu baada ya kutumia Astrazeneca mnakataa hazigandishi damu,sasa hizo side effects mnazosema ni zipi hebu niambie Astrazeneca side effects zake ni zipi?

Mkuu tunarudi tena nyuma ,hakuna dawa ambayo haina side effects kwa baadhi ya watu ,kuna allergy ya baadhi ya contects za dawa kumuathiri mtumiaji,so studies zinazidi kuendelea so in the future watakuja kujua why damu inaganda kwa watumiaji wa Astrazeneca!
 

Papi Chulo

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
6,165
2,000
maono yake ndio yaliyomponza. endelea kufuata maono yake tuone yatakufikisha wapi.
Na tumekuwa tukiyafuata almost a year and half sasa, na tuko good na free from covid stresses.. Nyie wenye lockdown na vaccine mbona bado mnakufa na kujaza hospitals,madeni mnaongeza lukuki... Hamjashtuka kama nyie ni wapumbavu!
 

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
3,461
2,000
Unajua tatizo hapa mnakubali kiujumla kuwa chanjo huwa zina side effects na kulinganisha kuwa sawa na madawa yalivyo na side effects ila hapo hapo mnakataa malalamiko ya madhara wanayopata watu baada ya kutumia hizo chanjo,mfano suala la baadhi ya watu kuganda damu baada ya kutumia Astrazeneca mnalikataa na kusema watakuwa wameganda damu kwa sababu zengine kwamba mbona mamilioni ya watu wamechanjwa na hawajaganda damu na kuendelea kusema kuwa hizo chanjo hazina shida, Hata hili la Kenya pia bado mnasema watakuwa wamedhurika kwa matatizo mengine ila sio chanjo.

Sasa hapo mie nashindwa kuwaelewa.
Taja dawa au chanjo yoyote isiyo na side effects hapa, au taja dawa yoyote ile utafutuwe side effects zake na vifo ilivyosababisha. Corona imeua watu zaidi ya 500,000 Marekani. Unataka wasitoe chanjo kisa watu chini ya 100 watakufa kwa side effects?

Hakuna chanjo haina madhara. Wanachotazama ni kulinganisha madhara yake na faida zake. Chanjo zije wanaostahili wazipate.
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
10,497
2,000
Taja dawa au chanjo yoyote isiyo na side effects hapa, au taja dawa yoyote ile utafutuwe side effects zake na vifo ilivyosababisha. Corona imeua watu zaidi ya 500,000 Marekani. Unataka wasitoe chanjo kisa watu chini ya 100 watakufa kwa side effects?

Hakuna chanjo haina madhara. Wanachotazama ni kulinganisha madhara yake na faida zake. Chanjo zije wanaostahili wazipate.
Haya nitajie side effects za Astrazeneca?
 

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
7,681
2,000
Ulaji huo tayari kwa Astrazeneca, mabeberu ni hatari kwelikweli yametengeneza Virusi ili baadaye yapige pesa.🤣
Halafu hizo ks 36 billions ni chini ya mpango wa covax ambao mabeberu wanadai ni bure!! Mabeberu noma!
Tanzania hawapati hata senti 1!
 

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
7,759
2,000
Watu 279 wamepata madhara baada ya kuchoma chanjo ya COVID19 ya Astrazeneca huku watu 7 wakiwa na dalili za hatari na mmoja akiripotiwa kufariki.

Bodi ya Famasia na Sumu(PPB) ya Kenya imeanza uchunguzi wa kifo kilichoripotiwa na majibu yatatoka Ijumaa, Aprili 9, 2021.

Kaimu Mkurugenzi wa PPB, Dkt. Peter Ikamati amesema kifo kinaweza kuwa kimesababisha na mimba kutoka na sio lazima kiwe kimesababishwa na chanjo.

=====

The Pharmacy and Poisons Board (PPB) now says a probe has been launched after one person died after taking the COVID-19 AstraZeneca vaccine in Kenya.

However, according to Dr. Peter Ikamati, Deputy Director, PER, at the PPB, the death could have been caused by a miscarriage and not necessarily the vaccine.

He added that the Board will release a report on the incident, which happened in Uasin Gishu, on Friday.

“What we can say is it was a misreport, an expectant female got a miscarriage, it happened within period of being given vaccine. Miscarriage could have happened, it does not have to be linked to the shot,” he said on Wednesday.

“Because of the gravity of the matter, when a severe case is reported, PPB will follow up within 24hours.”

Dr. Ikamati further added that 279 people had adverse effects after taking the vaccine, with 7 others experiencing severe symptoms.

The Ministry of Health also said 370,000 Kenyans have so far been vaccinated against COVID-19, with Lamu recording the lowest number of people at 262.

“You can get vaccinated today and it does not mean you can’t suffer any other effects such as hypertension or diarrhea…If this happens after the vaccine, it may not mean such effects were caused by the vaccine,” said Dr. Collins Tabu, Head of Immunization, Ministry of Health.

Dr. Tabu stated that Kenya is projected to spend more than Ksh.36 billion to deliver the COVID-19 AstraZeneca vaccine.

300 wanafikiriwa kuathirika baina ya 370,000 hii chini ya 0.08%.

Wajameni, pamoja na kuwa haupo ushahidi wa kuwa ni madhara ya moja kwa moja ni wazi kuwa pana ka unyanyapaa ka aina yake kuihusu hii chanjo.

Hiiiiii!
 

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
7,759
2,000
Ulaji huo tayari kwa Astrazeneca, mabeberu ni hatari kwelikweli yametengeneza Virusi ili baadaye yapige pesa.🤣

Kuna tofauti ya "to deliver" na "to buy" ila kwa ile mijamaa ya Lumumba tu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 

Intelligent Electronics

JF-Expert Member
Jan 19, 2020
620
1,000
300 wanafikiriwa kuathirika baina ya 370,000 hii chini ya 0.08%.

Wajameni, pamoja na kuwa haupo ushahidi wa kuwa ni madhara ya moja kwa moja ni wazi kuwa pana ka unyanyapaa ka aina yake kuihusu hii chanjo.

Hiiiiii!
AstraZeneca imethibitika kwa asilimia 99.9% inasababisha Blood clot, hii ni kwa baadhi ya watu ambao miili yao nitofauti na watu wengi, na bado sababu kwa nini mwili unareact hivyo astrazeneca haijafahamika...

Je watu wanaochomwa miaka 2 ijayo hawatapata athari?

Kawaida Chanjo huchukua angalau miaka 2 kutumika na bindamu
 

masonya

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
821
1,000
Tupate chanjo za Pzifer au Moderna. AstraZeneca imekuwa na habari zisizo nzuri karibu nchi zote.
Chanjo bora ni Sputnik V ,nchi za ulaya magharibi hawazitaki kwa hasira zao kwa vladimir Putin.
Ila majaribiio yakifanikiwa mtufahamishe sisi jirani wenu wa kusini tuagize toka kwa mabeberu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom