eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,454
Tanzania bado sana
Mumerusha satellite for the expence ya zile roho million 2 ambazo ziko hatarini kumezwa na adui njaa.
Tanzania bado sana
kua na subra 👇View attachment 2589500
tuache kwanza, tunamalizia reli yetu ya mwendo kasi na bwawa la umeme - haya ma setellite haya yatakusaidia kushusha bei ya umeme? yatakusaidia kufika kwa haraka na kwa bei nafuu unakotaka kwenda ?Tanzania kwani hatuna satellite angani ya kwetu
Ova