Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

Hii Mambo ya katiba mpya,ni kujichosha akili TU,hakuna hiyo kitu, Kwa sababu kubweka kumeumbwa,you can continue to bark!
dhima nzima ya uzi wako imejifunua hapa kwenye hii comment yako.
Nb; kila siku mnasema kenya inaangamia,kenya inaangamia.. semeni mnatafuta validation ya kusitawisha upumbavu wenu.
ni kenya hipi inayoangamia?.
uchumi wa Nairobi tu ni sawa na uchumi wa Uganda nzima alafu unaleta story za kenya inaangamia.
pathetic.
 
Tanzania haijawai Choma hata kijiko chake for the sake of maandamano ila bado kenya inawazidini kila kitu.
Kila nchi Ina backgrounds yake,wao ni mabeberu na hawakuwa na muda wa kusumbuka na issues za ukombozi wa yeyoye yule,slogan yao ilikuwa Kenya kwanza,wacha wavurugane tu,wameyatafuta wenyewe,wakome kabisa na Gen z wapewe silaha kabisa.
 
Ni kwanini watu wa mfumo ama wanaosapoti mfumo mnachukizwa na kinachotokea kenya?.
unasema wakenya wanabackground yao , sasa nini kinachokuumiza sasa kuhusu kenya?.

ikiwa ni kweli wakenya wana destructive background basi Tanzania yenye constructive background ingelikuwa ahead ya kenya lakini sasa ni kinyume chake.
 
Soma tena uelewe,wakati tanzania ikiendesha sera ya Twendeni sote, baada ya kuwa huru, Kenya wao walisema tugange ya kwetu ya watu hayatuhusu!
 
kenya hawana maisha Magumu kushinda watanzania Sema wana uhuru wa kujadili hadi bei ya Kiberiti.
ombaomba karibu wote wa east Africa yote ukimbilia Kenya kwasababu uchumi wao.
nenda kajaribu uone, yaan sijui hata unaongea nini, kule hamna wali buku jero ndugu yangu, nimekaa napajua, hakuna makande ya buku, yaan wewe unaongea kitu ambacho ujui, kule ukikanyaga tuu shamba ya mtu unavunjwa mguu, kule ni suvive for the fitest.
 
uchumi umemilikiwa na wachache wengi wanateseka ndio maana kila siku watu wanahasira, ya income distribution ina gape kubwa sana kati ya walionacho na wasiokua nacho, yaan kukunua kiwanja tuu cha kujenga ni shida
 
sina haja ya kwenda kujaribu ili nione,naweza ona bila kujaribu. Obvious ni kwamba mnalaumu wanasiasa wa Kenya kutofouta Siasa za kuchinja walio kinyume nao na kinachoendelea kenya mnakitazama kama Eye Opener kwa Kenge mliowafungia kwenye Banda kwa miaka 70.
Siasa za Kenya ni threat kwa Ufalme wenu.Hofu yenu ni wapi mtakimbilia siku wadanganyika wakivaa ujasili wa wakenyq wa kuhoji na kuiwajibisha serikali kwa kushindwa deliver matundu ya Choo kwa miaka yote ya Uhuru.
 
uchumi umemilikiwa na wachache wengi wanateseka ndio maana kila siku watu wanahasira, ya income distribution ina gape kubwa sana kati ya walionacho na wasiokua nacho, yaan kukunua kiwanja tuu cha kujenga ni shida
A Sanctimonious Person is composing Poes.
Unajua hata maana ya wachache?..yaani,wachache ukiwaona utawajua ama unajiandikia tu wachache?.
uchumi wa Tanzania umeshikiliwa na watu wa Asia..unajua idadi yao ndani ya Tanzania wapo wangapi?.
ukiondoa hao warangi rangi (walioshikiria uchumi wa Tanzania) ambao hata idadi yao hawafiki hata laki 6 ndani ya ngozi nyeusi milioni 70 watanzania mnabaki na nini?.

Kenya iwe na maisha magumu wakati omba omba wa Tanzania wanakimbilia kenya.
bure kabisa.
 
nenda kajaribu uone, yaan sijui hata unaongea nini, kule hamna wali buku jero ndugu yangu, nimekaa napajua, hakuna makande ya buku, yaan wewe unaongea kitu ambacho ujui, kule ukikanyaga tuu shamba ya mtu unavunjwa mguu, kule ni suvive for the fitest.
kenya inaendeshwa kwa sheria sio jungle justice kama tz..ukiiingia kwa shamba ya mtu utashitakiwa kwa Trespassory period.
 
Mpuuzi wewe
 
sisi tunabakiwa na ardhi, njoo kilindi huko nikupe heka 10 kwa 2milion, kilosa tena moro nilinunua shamba ekar 1 laki tatu, sasa nalima mpunga n kuna vijana wajiajiri huku kilo umri 20 wanamatreka yao wenyewe. njoo terati huku simanjiro kwa mjomba wangu mdogo miaka 22 amevuna maharage gunia mia mbili amejenga amenunua trekta na kufungua duka la spear za pikipik. nenda kahama kule marafiki zangu wameshika maduara kama yote ya dhahabu wanajipigia pesa. sasa nenda kenya km utapata fursa km hizo. naongea kwa sababu nina mifano hai, bado sijakutajia wa mbulu hapo kwa bibi sasa wamenunua had mabas watoto wadogo kabisa
 
Wewe Mkenya si uende kwenu Kenya utuache na TZ yetu. Kunya country uchumi unamilikiwa na wageni na wakenya wachache nyinyi vibaka mnaishi kwenye mabanda ya mabati halafu ukija huku TZ unaanza kutamba!!?
Akili iko mbali na wewe.
Uchumi wa Tanzania unamilikiwa na wahindi na midlle easterners ambao hata hawafiki laki 3 katikati ya watanzania milioni 70 ila bado unaujasili wa kusema uchumi wa kenya unamilikiwa na wageni.
uko manipulated sana ndiyo mnaujasiri wa kushangilia in your defeat.
Bure kabisa
 
Watch a stupidity of kenyan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…