ngoja wapate funzo..kwani kenya ishawahi kupigana na nani?
kwani ni vita vipi Tanzania ishawai kupigana!!? tafadhali ningependa kujua.
ngoja wapate funzo..kwani kenya ishawahi kupigana na nani?
and who is satan. where is he residing, in case I want to talk to him?So you are confirming that you are deceived by satan
Wewe unafikiri dhulma itashinda..no way? just wait and see
Kenya wanafanya kitu cha maana sana. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini kenya wako kimya sana mda wote tangu Somalia ilipochafuka. Huwezi kuwa kimya wakati vita ya jirani inakuletea adha ya wakimbizi na uozo wa kila aina.Ujirani unatakiwa ukuletee faida kupitia biashara na mahusiano mema, siyo kila siku 'skeleton' za watoto na wamama zinazokimbia vita na njaa. Kama kuna watu wanajiona wao ndo wanaume pekee ni vizuri kuwaonyesha kuwa kuna wanaume kibao duniani. Kenya mmechelewa sana kuchukua hatua hii.
Kenya haina lolote. Ni kibaraka mwengine tu wa Amerika.
Juzi pale yule mama anayetajwa mtalii aliyetekwa hatimaye tulielezwa jeshi la Kenya limeizingira boti inayodhaniwa kuwemo hayo bibi. Sikutaka kujishughulisha kufuatilia kwani nilijuwa wala hawatoikamata kwani ni uongo tu.
Ilikuwa ni matayarisho ya kushiriki vita dhidi ya waislamu wa Somalia inayoongozwa na mbabe mkuu aliyepiga drone ras Kamboni. Kule Tanzania nao wamekamata wasomali maeneo ya mafia.Ni kasi ya fitna ya kimarekani eneo lote la Afrika mashariki na kati.
tafadhali toa evidence eti Kenya imenunuliwa na merekani? alshabab imehatarisha maisha sio tu ya wakenya bali wana afrika mashariki wote,unakumbuka walishambuluia Uganda na hatuwezi assume eti Tanzania iko safe ,kumbuka shambulio la mwaka wa '98 DAR na NRB. the whole tourism industry is at stake and Kenyans were becoming more concerned about the way the govt was addressing the issue of protecting our territorial boundaries.....they had to act, the days of diplomacy are over and at least the Army men must now work ,we pay them too much!!Kenya wameshanunuliwa na US. Na sasa wamekuwa ni askari wa kulipwa. Wamerekani bado wana kisasi cha kuuliwa askari zao na wasomali halafu wakaburuzwa mitaani (astahili yao kiliwapeleka nini?), sasa wanakuja na mbinu mpya ya kutaka Waafrika wenyewe kwa wenyewe wauane, kwanza Uganda, halafu wanawalipa Tanzania kuwafundisha askari wa Kisomali (sio Shabaab), sasa Kenya. "You're either with us or you're against us"
Hapo sijakuelewa nani anamdai nani?.
Hapa napo umeonesha wazi fikra zako za kivuvuzela.Ukiwa na ndoto kama hizo na mimi naomba dua ifuatayo:
Yaa Alshabaab wa Somalia ondosha hofu kwa jeshi la adui wa uislamu na heshima yenu ya kibinadamu.Hao watu wamevuka mpaka kuja kukuchokozeni ili kujipendekeza kwa mabwana zao.Nyinyi hakika hamna msaada mwengine usiokuwa ule wa Allah na muna njaa ya hali ya juu,kufa kwenu kwa njaa ni hasara kuliko kufa mkipambana na jeshi la uvamizi.Nyan'ganya silaha zao na wapigeni kwa kutumia hizo.Allah s.w atawasaidia.AAMIN.
Tunakuja kuwashughulikieni - Al Shabaab wawaambia wakenya!
View attachment 39323
Al Shabaab rebels head to Somalia to meet the advancing Kenya troops say Somalia residents
MOGADISHU (Reuters) - Somalia's al Shabaab rebels began heading to the town of Afmadow on Monday to confront advancing Kenyan and Somali government troops who launched an offensive against them at the weekend, residents of the port city of Kismayu said.
"All al Shabaab's fighters and their armed vehicles in Kismayu have taken the road towards Afmadow," Ismail Aden, a resident of rebel-controlled Kismayu told Reuters.
"Al Shabaab have left only 10 fighters here ... people are afraid here, they do not know what will happen," he said. Kismayu is about 120 kms south of Afmadow.
A Somali military commander told Reuters his soldiers were also advancing on the town of Afmadow, which is near a now deserted al Shabaab base hit by air strikes on Sunday. Another Kismayu resident said the al Qaeda-linked militants had announced in mosques a jihad, or holy war, against Kenyan and Somali troops and urged residents to defend Kismayu.
"At noon dozens of al Shabaab convoys took the road of Afmadow," Abdullahi Jamac told Reuters. "Al Shabaab ... urged residents to participate in the jihad and defend Kismayu. Al Shabaab sheikhs said jihad is obligatory," he added.
For more details;
Additional Reporting by West FM
Nimeipenda ile bendera yao inayopepea kwa mbaali.
Hizi silaha zao ni nyepesi sana kulinganisha na vifaru vya Kenya na drone za Marekani hata hivyo zinaweza kuuwa hata askari 300 wa Kenya ili wakae kujiuliza nani hasa kawatuma?.Nakumbuka jeshi la umoja wa mahakama za kiislamu wakati huo huyu mjinga sheikh Shariff akiwemo walilipiga kombora gari la jeshi la Ethiopia na kutawanyisha miili yao barabarani.Hapo Ethiopia wakaamua vita basi wakarudisha kijiti kwa bosi wao kamasi zikiwatoka.
Nikwambie!.Jeshi la Kenya pamoja na kuwa na silaha nyingi ni dhaifu sana kivita kuliko nchi zote za kiafrika.Wanajeshi wa Tanzania ni wakali zaidi lakini kwa uchokozi wao Uganda hawakupata ila hasara iliyodumu miongo kadhaa.
wapigane tu ili nasie uchumi wetu uwe juu lakini huyu kwikwi utasikia na tz imeasiliwa na vita ya kenya kwa uchumi wetu na wenyewe umepolomoka tusubilie tuone..
I don't agree with your thinking.....the only way the economy of Tanzania is by doing business with kenya,and this can only happen if Kenya is peaceful...alshabab has been threatening this peace and we are creating a buffer zone inside Somalia to protect the economy.Do not expect to prosper from our misfortunes ......,this is an East African problem not Kenyan only ask Uganda they know better,do not assume that u r safe.
Latest 9/11 sifting search turns up 72 human remains (last 2 to three weeks) source : Silive.com
Mkuu Nonda tatizo la ninyi wa siasa kali ni kuwa na spongy minds that lack reasoning.
Kuto kuamini ni juu yako na wanaokuzunguka.
Go to hell Al Shabab!
Wanataka pesa za wamarekani.Si wameona Pakistani wanavyozitafuna kwa kigezo cha kupigana na Alkaeda both in Afghanistan and inside Pakistan?
Alshabab's situation is the same,Kenya wanataka kupigana nao Somalia na ndani ye Kenya yenyewe.Tegemeeni misaada ya mamilioni kama si mabilioni ya dola za kimarekani kwa wakenya,pia silaha nk.