Kenya declares war on Al Shabaab!

Every step that we as the kenya govt is taking is justified.we have done this by invoking article 51 of the UN charter.we cant sit and watch yet our soil is run by a ragtag militia so we have to act as a sovereing nation and protect our land and the border.A declaration of war is the only option we have got.our jet fighters and attack helicopters on saturday managed to flush out alshabab militia from Ras Kamboni environs and we are moving deeper.GOD BLESS KENYA!
 
Tatizo ni kuwa ni vigumu kupigana na militia kwa kutumia standard army. Waulize Uganda na Kony, Marekani na Taliban n.k. Twawatakia mafanikio, lakini hii yaweza kuanzisha matatizo Kenya.
Kwa upande mwingine utawaonea huruma Wakenya...yaani wafanyeje sasa wakati wamechokozwa mara kwa mara ndani ya nchi yao. Nadhani bado kuna Wasomali wanaoona sehemu ya Kaskazini Mashariki ya Kenya ni part and parcel ya Somalia kubwa.
 
Kenya wameshanunuliwa na US. Na sasa wamekuwa ni askari wa kulipwa. Wamerekani bado wana kisasi cha kuuliwa askari zao na wasomali halafu wakaburuzwa mitaani (astahili yao kiliwapeleka nini?), sasa wanakuja na mbinu mpya ya kutaka Waafrika wenyewe kwa wenyewe wauane, kwanza Uganda, halafu wanawalipa Tanzania kuwafundisha askari wa Kisomali (sio Shabaab), sasa Kenya. "You're either with us or you're against us"
 
MOGADISHU — Somali government troops and allied militia have wrested control of an Islamist Shebab stronghold in the south of the country after reported bombing by military aircraft, officials and witnesses said.
"The government forces took control of Qoqani after heavy shelling on the positions of the Shebab and their affiliates," said Abdurrahman Mohamed, a government security official.
"The enemy is lost and we will continue pursuing them," he added.
The official did not specify the form of the shelling, but witnesses said there had been aerial bombardment in Qoqani late Saturday before Shebab troops pulled out of the town.
"Several aircrafts dropped bombs on the jungle area of Qoqani causing heavy explosions, and the Shebab withdrew from the town without face-to-face fighting," said Sugule Ali, an elder in a nearby village.
Neighbouring Kenya on Saturday vowed to pursue across the Somali border armed kidnappers responsible for a spate of abductions of foreigners, that Nairobi blames on the Al-Qaeda inspired Shebab.
Kenyan military aircraft and helicopters were reported along the frontier with Somalia late Saturday as forces search for two Spanish aid workers abducted from the Dadaab refugee camp on Thursday.
Copyright © 2011 AFP. All rights reserved.
 
Kenya wameshanunuliwa na US. Na sasa wamekuw ni askari wa kulipwa. Wamerekani bado wana kisasi cha kuuliwa askari zao na wasomali halafu wakaburzwa mitaani (astahili yao kiliwapeleka nini?), sasa wanakuja na mbinu mpya ya kutaka waafrika wenyewe kwa wenyewe wauane, kwanza Uganda, halafu wanawalipa Tanzania kuwafundisha askari wa Kisomali (sio Shabaab), sasa Kenya. "You're either with us or you're against us"

Foxy hili la Marekani kutaka waafrika wauwane kwa kuchochea vita linatia shaka. Ukweli sisi wenyewe tunauwana kila kukicha kwa ufisadi ambao unakosesha mamilioni lishe bora,huduma za afya,elimu etc
 
Sadly most of you have no idea what the stated mission is, Kenya is not seeking to take over Somalia but to create a large buffer zone that will cushion Kenya and by extension the whole East African Community from the Islamists. It would be better if the border will be closed for good and the over 500, 000 Somali refugees & their camp relocated to that buffer zone since the international community has done very little to remedy the refugee problem that Kenya has been left to shoulder. It is sad that some of you are obviously rooting for our failure in ensuring peace for our people but Kenya is more than capable and best equipped to defend us and if what has happened within 24 hrs since this operation began is anything to go by our men and women in the armed forces are on course to complete their mission in no time.
 
well said mekatilili.., huwezi acha nchi watu waichokoa chokoa bila ku-retaliate..., wananchi hawatakua na imani na military if such things persist,, mbna kaboya pale zinapigwa mara kwa mara..., bandits kutoka burundi na rwanda wanashonwa risasi mara nyingi tu pale....
 
Foxy hili la Marekani kutaka waafrika wauwane kwa kuchochea vita linatia shaka. Ukweli sisi wenyewe tunauwana kila kukicha kwa ufisadi ambao unakosesha mamilioni lishe bora,huduma za afya,elimu etc

Si ndio, hata UKIMWI mliambiwa nyani zenu ndio wanao na mliambukizwa kwa kula nyani mkakubali? sikushangai.
 
I have to aggree that we are just tyring to protect the EAC from those militia by creating a buffer zone(Azania state).this wil be a long term solution to the refugee problem and border shootout.the KDF are doing a good job and we are praying that AMISON should move toward the south as we move northwards and block the militia from running northwards.Our f5 fighter jets and the attack helicopters should should then corner them in the middle before our paratroopers descend on them.once again i say JK should also send troops to somalia and ethipia should increase ground attack.this is our problem my learned felas and we should addres it together.GOD BLESS KENYA!
 
Hii operation hailingani na tishio la Alshabaab.Ni vita yenye undani ambao wajinga tu ndio watakaounga mkono kwa sababu yoyote watakayotoa.
Karibuni tu Alshabab walijiondoa Mogadishu na jeshi la AU kila siku linatangaza mafanikio dhidi yao.

Kuanzia sasa eneo lote la Afrika Mashariki na kati litakuwa halina amani tena.Tutaishi kwa wasi wasi kwani kila siku yatatengenezwa matukio kuonesha Alshabab wako miongoni mwetu eti wanalipa kisasi.Waislamu wote ndio waathirika wa mwanzo
.

Eeh! Allah shuhudia kwamba sisi ni wanyonge na tuokoe na fitna hizi.Wewe pekee ndiye unayejuwa undani wa nia zao,na kwa nia zao ovu wewe tu ndiye mwenye uwezo wa kuzipindua na kuwageuzia wenyewe na moto ukawawakia chini ya nyayo zao wakose pa kujiokoa.Yaa Allah!Tuko upande wako na tutajitenga na wale watakaokuwa upande wa Amerika-AAMIN
 
Hii operation hailingani na tishio la Alqaeda.Ni vita yenye undani ambao wajinga tu ndio watakaounga mkono kwa sababu yoyote watakayotoa.
Karibuni tu Alshabab walijiondoa Mogadishu na jeshi la AU kila siku linatangaza mafanikio dhidi yao.

Kuanzia sasa eneo lote la Afrika Mashariki na kati litakuwa halina amani tena.Tutaishi kwa wasi wasi kwani kila siku yatatengenezwa matukio kuonesha Alshabab wako miongoni mwetu eti wanalipa kisasi.Waislamu wote ndio waathirika wa mwanzo
.
Eeh! Allah shuhudia kwamba sisi ni wanyonge na tuokoe na fitna hizi.Tuko upande wako na tutajitenga na wale watakaokuwa upande wa Amerika-AAMIN

Kama sikosei, Kenya ndo miongoni mwa nchi za afrika mapema kabisa ziliwatabua NTC wa libbya. Zilipoanza zile habari za njaa Somalia, mara wafaransa na waingereza wametekwa kenya nikaanza tu kujisemea tu haya ngoja tuone mwisho wake.

Waafrika lazima kuamka bila hivyo ukoloni unarudi tena. Kesho na keshokutwa hao troops 100 wamerekani wanaoelekea uganda, watailipua Dar es salaam na kusema Alshabaab. Nanyi kwa tahamaki mtakaribisha hizo droons kutia nanga kigamboni. Haya bwana tuendeleeni tu
 
Nimeona kwenye al-jazeera kuwa majeshi ya kenya yashaingia nchini Somalia kuwasaka Al-Shabaab
Ngoja tuone mwisho wake au muendelezo wake vita kama hivi kuisha huwa ni kazi ndefu huambulia hasara tu ya kila kitu uhai hadi mali
 
Baadhi ya vitendo vya Al-Shabaab dhidi ya Kenya

2009:
Abduction of Catholic nuns in Elwak,

2009: Attack on Dadajabula Police Post.

2010: Attack on the GSU Camp in Liboi.

2011: July: Two military personnel abducted.

2011: July: Laying of landmines in Mandera town targeting security personnel.

2011: Sept: Al Shabaab attacks along Kenya- Somali border,

2011: Al Shabaab recruitment of Kenyan youth into militia

2011: British, French and Spanish nationals kidnapped in Lamu and Dadaab."

Si ndio, hata UKIMWI mliambiwa nyani zenu ndio wanao na mliambukizwa kwa kula nyani mkakubali? sikushangai.
Hapo Mama FaizaFoxy naona unaongea kama vile wewe ni mzungu au mchina. Nawasilisha!
 
Kenya wameshanunuliwa na US. Na sasa wamekuwa ni askari wa kulipwa. Wamerekani bado wana kisasi cha kuuliwa askari zao na wasomali halafu wakaburuzwa mitaani (astahili yao kiliwapeleka nini?), sasa wanakuja na mbinu mpya ya kutaka Waafrika wenyewe kwa wenyewe wauane, kwanza Uganda, halafu wanawalipa Tanzania kuwafundisha askari wa Kisomali (sio Shabaab), sasa Kenya. "You're either with us or you're against us"
kwa hiyo kwako waliyofanyiwa Kenya ni sawa? Kila mujahideen wakishambuliwa ni marekani?
Ungetangaza maslahi tu badala ya kujificha nyuma ya mask!
 
Tayari US wamefanikiwa katika mkakati wao.
Unakumbuka waliingia Somalia na kuanzisha (humanitarian intervention) ambayo baadae wakajiondoa. Sasa wamerudi kwa drone strikes. wameweka base Djibout na sychelles.

Unakumbuka US waliripua balozi zao hapa Tz na Kenya? na kuleta "washauri" wa kijeshi na wachunguzi wa ugaidi?
Sasa ni Rasmi Obama anapeleka Askari aka washauri wa kumsaka Konye.

Kwa tamko hili la Kenya ni wazi wanafungua mlango wa kukaribisha na kusambaza vita, ugaidi.
Katika siku zijazo TZ itafikiwa na hali hii ya kuingizwa katika mapambano. Al shabab tayari wanalaumiwa kuingia Uganda, Kenya bado TZ.

US wanajua kucheza karata zao vizuri....rasilimali zetu, ndio laana yetu.

Wakuu.
Mwanzoni nilichangia hayo ya juu.
Leo baada ya kupitia uzi huu, (mada hii) https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...hujumu-mradi-wa-bomba-la-gas-la-serikali.html nimekutana na hiki kipande.

The $1 billion loan that has also shocked Washington, with US government seeing an expanding Beijing influence to the old friend, Dar es Salaam, was given at the 2 percent interest rate per annum.
The Guardian on Sunday has also learnt that following the $1 billion loan from China, the US government is also working behind the closed doors to maintain its influence in Tanzania, which it sees as a strategic partner in East Africa.

Ambacho kwa kweli, kinaweza kufafanua kwa nini US sasa ameanza kutoa "washauri" wa kumsaka Kony. Pia kwa nini Kenya wamejiunga kuishughulikia Al shabaab na kwa nini US wameanza drone strikes Somalia.
Nilisema sehemu kuna siku na sisi tutaingizwa katika vita "vya kupambana na ugaidi" ili kuipiga stop China.

Kwa wenye kuifuatilia "tabia ya " US huwa hawakosi sababu za kuingia katika chi wanazoziziona ni nyeti kwa rasilimali.

Tukae mkao wa kuliwa.
 
Sasa ukitaka kujua wachina ndio wanatufanya malofa jiulize: Where is China in this puzzle?
 
wanajeshi wa kenya wamevuka mpaka na kuingia somalia kupambana na al shabaab.wanaenda kwa miguu,choppa,vifaru na silaha nzito nzito.wameweza kuingia km90 ndani ya somalia
 
Tatzo alshabab wapo hadi mitaani kama raia wa kawaida so wakifika ktk vijij wakenya wanaweza uliwa kama panya
 
Sasa ukitaka kujua wachina ndio wanatufanya malofa jiulize: Where is China in this puzzle?

Mkuu Vuvuzela

Sina mashaka kuwa unaelewa CHINA anamkopesha US au US anadaiwa mapesa mengi na CHINA. US ana deni kubwa la China. Lakini US hapendelei kuiona Afrika inafanya ukaribu au urafiki na China.

Hapa sio hili la mkopo wa mradi huu tu. Ukweli utabaki China ametoa misaada na mikopo kwa nchi za Afrika bila ya masharti kama ya IMF na World Bank, wala China huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi husika. Ni wazi kuwa China wana-wanachokitaka kutoka kwetu lakini ni business oriented na sio kui-control nchi husika kama wafanyavyo hawa "wazungu" wetu.

Si umesoma kuwa UK wanasema tusiwabuguzi mashoga au atatunyima misaada. Masharti juu ya masharti.

Ni wazi sisi tumewafata wachina na kuwambia tunataka mkopo, sio kuwa mchina kaja kutulazimisha tuchukue mkopo. Kama "viongozi" wetu wameamua kututia mkenge basi lawama haziendi kwa China. Lawama tuwabebeshe "viongozi" wetu.
 
Back
Top Bottom