Kenya declares war on Al Shabaab!

Foxy hili la Marekani kutaka waafrika wauwane kwa kuchochea vita linatia shaka. Ukweli sisi wenyewe tunauwana kila kukicha kwa ufisadi ambao unakosesha mamilioni lishe bora,huduma za afya,elimu etc

mkuu sisi hatuwezi hicho kitu ila kuna wasababishi nao ni US na hata libya nao hakieleweki chanzo cha vita yao..
 
vita ........! lo......!
vita katikati ya matatizo lukuki.
KENYA MTAWEZA?
TUULIZ WATZ ILE YA IDAMIN BADO TU TUNALIA

wapigane tu ili nasie uchumi wetu uwe juu lakini huyu kwikwi utasikia na tz imeasiliwa na vita ya kenya kwa uchumi wetu na wenyewe umepolomoka tusubilie tuone..
 
Out of the debt of 14 trillion USD, China anaidai US only 1.5 trillion. Sasa iweje wenye kuidai US sehemu kubwa ya deni wasipige kelele sana kuliko China?
Russia alipoivamia Georgia baada ya South Osertia kuvamiwa hatukuona hizo theory zisizo na kichwa wala miguu na watu mlikaa kimya hapa. Nahisi watu mna gundu na US kuwa kila anachokifanya basi mtaanza kuja na theories zenu za ajabu ajabu.
Al shababu ni mzigo na matatizo kwa Africa na dunia. Big up Kenya na Kibaki, mkiweza twanga risasi yeyote atakaekaa mbele yenu huko Somalia awe raia ama hao majangili wa kisomali na Kenya wakiweza waitwae Somalia yootee iwe part of Republic of Kenya on a permanent basis
Hapo sijakuelewa nani anamdai nani?.
Hapa napo umeonesha wazi fikra zako za kivuvuzela.Ukiwa na ndoto kama hizo na mimi naomba dua ifuatayo:
Yaa Alshabaab wa Somalia ondosha hofu kwa jeshi la adui wa uislamu na heshima yenu ya kibinadamu.Hao watu wamevuka mpaka kuja kukuchokozeni ili kujipendekeza kwa mabwana zao.Nyinyi hakika hamna msaada mwengine usiokuwa ule wa Allah na muna njaa ya hali ya juu,kufa kwenu kwa njaa ni hasara kuliko kufa mkipambana na jeshi la uvamizi.Nyan'ganya silaha zao na wapigeni kwa kutumia hizo.Allah s.w atawasaidia.AAMIN.

Watu wngine wana vifuu vya nazi juu ya mabega yao that pass off as heads.
I dont understand this comment and I really abhor its contents.
Kama Tanzania tulivoingiliwa na Nduli Idi Amin, Kenya wana haki kabisa kujitetea na hata kutumiambinu zozote kulinda heshima ya nchi yao.
Ni upuuzi kufikiria otherwise.

Mkuu
Wewe ni mmoja wa wanaoamini 911 ni kazi ya Al qaeda?

Unaamini Passport ya gaidi wa kisaudia iliokotwa mtaani karibu na tukio la 911, 9/11 Hijackers Passports Found at the WTC World Trade Center - YouTube lakini hakuna mabaki ya ndege wala miili ya binadamu?

Kifuu cha nazi ni afadhali.

Vita ya Uganda haikuwa ya lazima, mwalimu aliamua kumfanyia favor Obote tu na ndio moja ya sababu Tanzania ilitumbukia katika dimbwi la umaskini.
 
Yaani Kenya wanaenda kupigana na Al shabaab na vifaa kama hivi vya kivita? Wanacheza ngoma wasiyoijua! Tom and Jerry catoon.Hii ni Tathmini nzuri

Hata US na NATO wanalijua hilo kutokana na vita yao huko Afghanistan dhidi ya Al qaeda na Taliban ambao ni marafiki zao.​

nadhani wanatishia nyau, wakidhani alshabab watatishika
 
Jeshi la Kenya katika mazoezi ya kawaida kwenye uwanja wa Uhuru nchini Kenya.

[h=4][h=1]Al-Shabbaab yaapa kukabiliana na wanajeshi wa Kenya nchini Somalia[/h]Wanamgambo wa Al-Shabaab nchini Somalia wameahidi kulipiza kisasi dhidi ya wanajeshi wa Kenya walioingia katika ardhi ya Somalia kwa lengo la kuwatafuta raia wanne wa Ulaya waliotekwa nyara wiki iliyopita.[/h]Wanajeshi wa Kenya walivuuka mpaka na kuingia katika ardhi ya Somalia kiasi kilomita 100 kutoka eneo la mpaka wa kaskazini mwa Kenya hapo jana (16.10.2011), wakisaidiwa na helikopta.

SOURCE: Al-Shabbaab yaapa kukabiliana na wanajeshi wa Kenya nchini Somalia | Matukio ya Afrika | Deutsche Welle | 17.10.2011
 
Mkuu
Wewe ni mmoja wa wanaoamini 911 ni kazi ya Al qaeda?

Unaamini Passport ya gaidi wa kisaudia iliokotwa mtaani karibu na tukio la 911, 9/11 Hijackers Passports Found at the WTC World Trade Center - YouTube lakini hakuna mabaki ya ndege wala miili ya binadamu?

Kifuu cha nazi ni afadhali.

Vita ya Uganda haikuwa ya lazima, mwalimu aliamua kumfanyia favor Obote tu na ndio moja ya sababu Tanzania ilitumbukia katika dimbwi la umaskini.

Latest 9/11 sifting search turns up 72 human remains (last 2 to three weeks) source : Silive.com

Mkuu Nonda tatizo la ninyi wa siasa kali ni kuwa na spongy minds that lack reasoning.
Kuto kuamini ni juu yako na wanaokuzunguka.
 
That's what's Up. Now, Take Southern Somalia and Convert it to A Territory!!!Kick out the terrorist Muslims and Build Infrastructure!! God bless Kenya. Terrorists muslims/islam has become headache for the non muslim world.
 
Ami, dua la kuku halimpati mwewe, wahenga walishasema!

Wewe unajidanganya kwamba mimi ni kuku na Marekani ndiye mwewe.Naomba uelewe mafunzo ya kiroho kutoka kwa muumba wa ulimwengu ya kwamba DUA YA MWENYE KUDHULUMIWA HAIRUDI.Maana yake ni kuwa aliyedhulumiwa akimuelekea muumba dua yake daima hutakabaliwa.Usishughulishwa na ufupi au urefu wa muda dua itakapojibiwa.
 
Ingekuwa mambo yamekaa kihivyo dunia hii ingelikuwa murua. Lakini sidhani kama hii stetimenti ina ukweli ndani yake. Kuna watu kibao wanadhulumiwa kila kukicha na dua zao hazisaidii kitu, wadhalimu wao ndo kwanza wanazidi kupeta/kutanua!
 
Kenya wanafanya kitu cha maana sana. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini kenya wako kimya sana mda wote tangu Somalia ilipochafuka. Huwezi kuwa kimya wakati vita ya jirani inakuletea adha ya wakimbizi na uozo wa kila aina.Ujirani unatakiwa ukuletee faida kupitia biashara na mahusiano mema, siyo kila siku 'skeleton' za watoto na wamama zinazokimbia vita na njaa. Kama kuna watu wanajiona wao ndo wanaume pekee ni vizuri kuwaonyesha kuwa kuna wanaume kibao duniani. Kenya mmechelewa sana kuchukua hatua hii.
 
Wanataka pesa za wamarekani.Si wameona Pakistani wanavyozitafuna kwa kigezo cha kupigana na Alkaeda both in Afghanistan and inside Pakistan?

Alshabab's situation is the same,Kenya wanataka kupigana nao Somalia na ndani ye Kenya yenyewe.Tegemeeni misaada ya mamilioni kama si mabilioni ya dola za kimarekani kwa wakenya,pia silaha nk.
 
That's what's Up. Now, Take Southern Somalia and Convert it to A Territory!!!Kick out the terrorist Muslims and Build Infrastructure!! God bless Kenya. Terrorists muslims/islam has become headache for the non muslim world.

The best part about Kenya doing this is that they will laugh at all of those weak minded liberals in western nations that say that killing terrorists is wrong. Kenya will crush the terrorists with an iron fist because they are one of the nations still around that means business when they go to war.
 
well not sure if its a war... but its about gotdamn time we did something about Somalia.
I now have adimration for THAT Kenyan resolve , not to be pushed around by gangs Al Sabab bandits.
Enough is enough.
 
Ingekuwa mambo yamekaa kihivyo dunia hii ingelikuwa murua. Lakini sidhani kama hii stetimenti ina ukweli ndani yake. Kuna watu kibao wanadhulumiwa kila kukicha na dua zao hazisaidii kitu, wadhalimu wao ndo kwanza wanazidi kupeta/kutanua!

So you are confirming that you are deceived by satan

Wewe unafikiri dhulma itashinda..no way? just wait and see
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom