Haya pigeni kelele kwenye hili sasa...au mnasubiria kusikia wameshauriwa na Western Countries?
Tz tuna laana, utasikia tu, walalamishi wataanza kama Libya
Haya pigeni kelele kwenye hili sasa...au mnasubiria kusikia wameshauriwa na Western Countries?
I'm afraid next Friday there will be mass demonstrations in Dar to condemn Kenya for invading Somalia.
Internal Security minister George Saitoti said the country will invoke Article 51 of the UN Charter to fight the militia group and protect foreigners within Kenya's borders.
"This cannot be left to continue at all, and it means we are now going to pursue the enemy, who are the Al Shabaab, to wherever they will be -- even in their country," he said.
Wakenya hawawawezi Al Shabaab. Ao nyang'au hawana ubavu. Sana sana wanajitafutia balaa la kujitakia. Najua akina Smatta, Mkenyamzalendo, Moyo, Nomasana etc. watabisha/kasirika kwa hili, lakini habari ndo hiyo. Muda si mrefu Nairobi itasambaratika kama Mogadishu, Insha'Allah!
Nawaunga mkono na kushauri rais wetu JK aongeze nguvu hawa Al-Shabab ni kundi la wahuni waliofadhiliwa na waarabu kufanya fujo africa mashariki. Naona walinogewa na utekaji nyara wazungu bora watandikwe sawa sawa. Hata hivyo nondo unachokinena kina mantiki ndani inabidi Africa mashariki wawe waangalifu rasilimali ni sumu sana tuna maadui nje na ndani ya nchi.