Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Barakoa ndo nini watz tushaacha kutumia siku nyingi
Wangekuja hao waliokufa wangefufuka ?Na nyie msilalamike kwanini akina Museveni na Kagame hawaji kwenye misiba yenu ya kujitakia, mpambane na hizi hapa hali zenu Jukwaa la Siasa
Eti sukuma gang, ukabila huku sahau, ukabila uko hapo kwenu hapo.
Nyie sukuma gang nasoma taarifa mnavyomsumbua mama, ameagiza vyombo vya habari viachiwe huru ila bado mnazingua.Eti sukuma gang, ukabila huku sahau, ukabila uko hapo kwenu hapo.
Iyo chanjo ishazingua nchi nyingi before yenu, na watu wengi wanailalamikia, nchi ya kitu kidogo mshapoozwa hapo. Bongo mambo yanaendelea, wewe endelea kuteseka

Kwa hio wakenya walitaka wakichoma sindano iwe kama wamekunywa maji?
Lazima kuwepo Na reactions moja mbili tatu
Mkuu unajipa presha bure tu!Nyie sukuma gang nasoma taarifa mnavyomsumbua mama, ameagiza vyombo vya habari viachiwe huru ila bado mnazingua.
Kwamba Kenya hadi sasa wamekufa watu elf mbili tu,huo nao pia ni mzaha haswa.Mimi naisubiri kwa hamu, reactions zitakuwepo tena najua hiyo siku itakua hovyoo kwangu ila bora kujikinga.
Brazil wamekufa 4,000 kwa siku moja, watu waache mzaha.