Kenya: 279 waliopata madhara baada ya kupata astrazeneca, sasa wapo katika hali ya kawaida

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,861
Bodi ya Famasia na Sumu(PPB) ya #Kenya imesema watu 279 walioripotiwa kupata madhara baada ya kupata chanjo ya Astrazeneca 272 walipata nafuu baada ya muda mfupi

Na wengine saba waliokuwa katika hali mbaya waliropotiwa na kutibiwa ambapo wamerudi katika hali ya kawaida ndani ya muda mfupi

PPB imesema hakuna kifo kirichoripotiwa baada ya wakenya kupata chanjo ya Astrazeneca
1617805767405.png
 
Utasikia kila dawa/chanjo ina side effects basi tungejua hizo side effects za Astrazeneca ni zipi?
 
Sukuma gang mliomsifia Magufuli kwenye ule uzi mwingine njooni na huku pia mseme alivyo ona mbali....

Mokaze mkorinto

2735554_Screenshot_20210407-193156-1.jpg
Eti sukuma gang, ukabila huku sahau, ukabila uko hapo kwenu hapo.
Iyo chanjo ishazingua nchi nyingi before yenu, na watu wengi wanailalamikia, nchi ya kitu kidogo mshapoozwa hapo. Bongo mambo yanaendelea, wewe endelea kuteseka
 
Nyie sukuma gang nasoma taarifa mnavyomsumbua mama, ameagiza vyombo vya habari viachiwe huru ila bado mnazingua.
 
Mkuu hao wanaficha taarifa kijanja. Kwa hio yule aliyeripotiwa kufa wamemfufua kisha wakakanusha kifo chake aisee

Hio picha ni majeneza tupu. Lenye mwili huwezi kuyapanga hivyo. Hio sukuma gang umeikariri mno sio kila mtu ni msukuma pole
Sukuma gang mliomsifia Magufuli kwenye ule uzi mwingine njooni na huku pia mseme alivyo ona mbali....

Mokaze mkorinto

2735554_Screenshot_20210407-193156-1.jpg
 
Kwa hio wakenya walitaka wakichoma sindano iwe kama wamekunywa maji?

Lazima kuwepo Na reactions moja mbili tatu
 
Mimi naisubiri kwa hamu, reactions zitakuwepo tena najua hiyo siku itakua hovyoo kwangu ila bora kujikinga.
Brazil wamekufa 4,000 kwa siku moja, watu waache mzaha.
 
Nyie sukuma gang nasoma taarifa mnavyomsumbua mama, ameagiza vyombo vya habari viachiwe huru ila bado mnazingua.
Mkuu unajipa presha bure tu!

Hamuwezi kuifikia tz, sasa hivi sisi tanajadiliana jinsi ya kufungua vyombo vya habari nyie mnajadili jinsi Kenyata anavyowaingiza kwenye madeni na jinsi USA inavyopiga ban rai wake kuja huko kwenu, maana nasikia baada ya corona uhalifu umeongzeka, ugaidi, ukabaji, ubakaji yani maeneo kama kibera unaishi huku roho iko mkononi.

Nyie subirini 2022 huu ujinga wenu wa kufungia watu ndani huku wanakufa njaa majibu yake mtayapata
 
Mimi naisubiri kwa hamu, reactions zitakuwepo tena najua hiyo siku itakua hovyoo kwangu ila bora kujikinga.
Brazil wamekufa 4,000 kwa siku moja, watu waache mzaha.
Kwamba Kenya hadi sasa wamekufa watu elf mbili tu,huo nao pia ni mzaha haswa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom