Mtazamo wangu: Huenda Yanga SC ikajihakikishia rasmi Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa Matokeo ya Mnyama na Coastal Union Leo au Police Tanzania Jumapili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,554
108,894
Kwa Matokeo ya Chamazi Complex Jana Usiku, kwa Presha Kubwa iliyoko sasa, kwa Ratiba ngumu ya Ligi Kuu na ile ya ASFC, kwa Rotation ya Wachezaji ili Kukwepa injuries na kwa Mawazo pamoja na Maandalizi ya Mechi na Waafrika Kusini katika Robo Fainali ya CAF Kiufundi GENTAMYCINE naona kuna Uwezekano mkubwa wa Kuangusha Alama Muhimu ama na Coastal Union FC leo au na Police Tanzania Jumapili hali ambayo itawahakikishia rasmi Ubingwa Wapinzani kwani tayari watakuwa wameshajikusanyia Alama ( Points ) nyingi za kuwapa Jeuri hiyo.

Nasisitiza huu ni Mtizamo wangu wa Kiufundi Mimi GENTAMYCINE na sijakulazimisha Uuamini au Uuchukue bali naomba / nakuomba tu Uuheshimu na kama hiki nilichokiandika Kitakukwaza ( Kitakukera ) nakusihi Vumilia tu kwani wengine tumebarikiwa kuwa Wakweli, Waona Mbali na hatujawahi ama Kuhisi Kitu au Kutabiri Jambo halafu kwa 75% hadi 99.999% kisiwe / lisiwe Kweli.

Na kama labda utakuwa na Hasira ( Jazba ) mno na GENTAMYCINE kwa huu Mtazamo wangu wa Kiufundi kutokana na Mapenzi ( Mahaba ) niue yako kwa Klabu yako pendwa nakuomba Kwanza anza Kuwakasirikia Viongozi wako ( hasa Mwekezaji wako ) ambaye alisitisha ( aligoma ) kutoa Posho kwa Wachezaji na CEO wenu nae akawacheleweshea Mishahara Wachezaji wenu hali iliyopelekea Wachezaji kushuka Morali na hatimaye Kuharibu Mechi ya Mbeya na Mbeya City FC na ile ya Kagera na Kagera Sugar FC.

Niwatakieni tu Karume Day njema Leo.
 
Kukwepa injuries? Mbona Simba miaka ya karibuni imechukua ubingwa wa Bara huku ikishiriki mashindano hayahaya? Tuache visingizio. Mwaka huu Simba imezidiwa tu. Tutoe credit kwa Yanga ya mwaka huu.
 
Huu ni ukweli... Wengi wao naona wanajifariji mara tumechukuwa hela Toka CAF.. ndugu zangu niwaambie kitu Raha ya Mpira au tsnia yoyote ni Kombe au tuzo.. pesa zipo tu ndo maana watu waliua kutengeneza kombe au tuzo Ile ndo heshima.. Niambie Makolo mwaka huu mtachukuwa kombe gani hapa Bongo (Bac Kuna kolo mmoja atakuja na Kusema tumebeba Mapinduzi😁😁
 
Asiye kubali kushindwa sio mshindani.
Wewe unaona msimu huu nguvu ya JISIEM ilivyotumika
Sisi mashabiki hela zao hazituhusuuuu tunafata furaha tu hela haituhusu

Ushajiuliza kwann simba amewekeza billion 3 afu unaingia mashindano ha ligi kuu tupate milion 600
????

Heshima ndo itafutwayo
 
Yanga SC ya Msimu huu imekamilika Kote.

FB_IMG_16493086312256370.jpg
 
Mechi za kuamua ubingwa kwa Yanga Ni Vs Simba, na Namungo. Yaani Yanga ikivuka viunzi hivyo, Basi rasmi Simba anautema ubingwa.
Nyie kila siku mnaamisha magoli mechi mnazotaja yanga anachukua point kibabe, mlianza na mtibwa akachukua, mkasema kwa geita achomoki akachukua, mkaamia kwa kmc akachukua, mkasema kwa coastal union akamtwanga, mkabaki na azam amechukua sasa mmesogea tena kwa simba na namungo mbona amueleweki nyie watu si mkubali tu yanga ya sasa ni moto, timu imewakosa key prayers wake 4 lakini imepata matokeo iyo ni dalili tosha kwa timu iliyokamilika kila idara na kiashiria cha timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa maana inashinda katika maxingira yoyote aijalishi inapitia kipindi gani
 
Mechi za kuamua ubingwa kwa Yanga Ni Vs Simba, na Namungo. Yaani Yanga ikivuka viunzi hivyo, Basi rasmi Simba anautema ubingwa.
Kama ambavyo wana Simba SC wenye Akili tulikuwa tunajua Kizingiti kikubwa cha Yanga SC kilikuwa ni Jana ilipocheza na Azam FC ila kwa Kitendo tu cha Fiston GENTAMYCINE Mayele kufanya yake tayari 95% Yanga SC ameshakuwa Bingwa wa NBC Premier League kwa 2021/2022. Ushindi wa Simba SC kwa Yanga SC hii ni kutoka tu Sare ( Draw ) ila Kufungwa na Yanga SC tarehe 30 April, 2022 ni 85%.

Naomba hii 'post' yangu hapa itunzwe.
 
Hata wakichukua .
Simba ameshaingiza bilioni 1 na chenji huko shirikisho.
Tena kwa hatua chache tu.
Wapumbavu Wenzako na ambao wengi mmejazana hapa watakuamini kwa huu Uwongo wako ila wenye Akili Kubwa tunajua mpaka hapa ilipofikia Simba SC ( hatua hii ya Robo Fainali ya CAF ) imejipatia Kitita cha Dola za Kimarekani 350,000 ambazo ni sawa na Shilingi 803,000,000/= ( Milioni Mia Nane na Tatu ) za Tanzania kwa rate ya sasa ya Dola ya Tsh 2,300/= kwa Dola Moja.
 
Back
Top Bottom