Halafu bahati mbaya sana katupwa Musoma.
Kule hawanaga maneno mengi...
Magufuli kamuweza sana huyu mtu
Haaaaa ... nimeipenda bure!Mnafiki sura ya kwanza msitari wa kwanza
Huyu mzee ni wa wapi...?
Tatizo sikupigania demokrasia huru bali tunatokwa na povu kumbe njaa tu
Kwani jamaa yuko wapi huyu, mbona simsikii nowadays?
Ndiyo maana kelele zote kwisha..!!Ni mheshimiwa Mkuu wa Wilaya.
Eff,Julius Malema mkuuHuyu jamaa alikuwa na mbofu mbofu gan tujuzen ambao hatujui af ni wachama gan???
Haaaaaaaaaaaaa ... 'juice ya Omo'Wamkumbuke na Mtela Mwampamba hata ukuu wa wilaya maana anatokwa mapovu kama amekunywa juice ya Omo.
UZEE RAHA, WAPO WENGINE HUMU HAMTAFIKIA HATUA HIYO ... HESHIMUNI WAZEE ... HATA MI MZEE WENU.jamaa kazeeka