Hii mbinu aliyoitumia Makaveli inaitwa MCHAWI MPE AKULELEE MWANAO
Ni kweli kabisa hata kuku wakiwa bandani bila chakula watapiga kelele sana lakini ushawapelekea tu kimya kabisahapo ndo usemi wa mwanamalevya na mwanamalegeza unapotimiaNjaa mbaya sana. Unakuwa na juhudi kupiga kelele ukipata pakula una kuwa kimyaa..ndo nchi yetu ilivyo
Ulituaga mkuu,vp umerud lin tena?Njaa mbaya sana. Unakuwa na juhudi kupiga kelele ukipata pakula una kuwa kimyaa..ndo nchi yetu ilivyo
Kelele zimezaa matunda.
Kila mtu atapatatoo much makunyanzi usoni.
swissme
Kwishaa, kwisha kabisaaa,na huyu nduguye kumbe ni chadema