Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 50,897
- 122,787
Umeamkaje mpendwa?Sawa mkuu
Umeamkaje mpendwa?Sawa mkuu
sawa baba mkwe umeongea kwa busara sana kama ilivyo kawaida yako,My lovely daughter just let it flow.. Am sure mlengwa hakuwa na lengo baya bali ku chitchat tuu.. Take it as a merit to you.. Ni jambo jema kuona mtu anavutiwa na kuvutika nawe kiasi cha kukuwekea post ya mahaba! Si kila mdada ana hiyo bahati😀
Lakini pia kubwa na la muhimu zaidi punguzeni kidogo kuandika sensational post zinazoamsha hisia Kali kwa jinsia pinzani😂
Seriously unaweza kudhani unaandika kitu cha kawaida kumbe kwa wengine unawagusa kumoyo na kuamsha mashetani yote ya mahaba
Sasa kwakuwa hawawezi kukupata wanaamua kujipoza kwa kukuandikia mada za chombeza.. Ni aina mojawapo ya kufikisha ujumbe pia🤪
Kwa mkwe wangu chai ya rangi pole sana.. Pengine hujui hili lakini naomba nikwambie kwamba lama mtu hamjazoeana sana inabidi kwanza kumuomba ruhusa PM ya kumuanzishia uzi na maudhui yake
Bado una nafasi nzuri ya kuyajenga naye huko pembeni na ukitaka usaidizi baba mkwe nipo😂
Hakuna wa kunifungia mjukuu, useme nilibanwa na shughuli za shamba tuKwanza siku mbili tatu sikuoni
Ulifungiwa wapi
Watu wa jf wanaamin wew ni Ke kama unavyowaaminisha? Mimba mbili umezikataa pale kigogoMke gani tena mkuu😀
Kwa mkwe wangu chai ya rangi pole sana.. Pengine hujui hili lakini naomba nikwambie kwamba lama mtu hamjazoeana sana inabidi kwanza kumuomba ruhusa PM ya kumuanzishia uzi na maudhui yake
Bado una nafasi nzuri ya kuyajenga naye huko pembeni na ukitaka usaidizi baba mkwe nipo😂
Kwa hiyo inawezekana mleta mada anajichezea kwapaUmewaza kama mimi, usimuamini mtu kabisa hasa humu JF ya anonymity
Kutumika vibaya kwenye mada za kipumbavu siyo suala la kumlaumu mtu, inatokana na jinsi wewe mwenyewe ulivyojiweka huku.Nyie wanaume mnaotafuta trending kwa kutia majina ya watu kwenye mada za kipuuzi, kudadeki 😏
naomba msije mkahusisha jina hili ShesRise_1 kwenye mada za kishamba Mwisho wa siku hata mimi ntaonekana mshamba wa aina hiyo pia
Today naamka nakutana na waraka mrefu kama mkojo wa mlevi 😭 ukinihusisha, honestly sijapenda
please, na mwingine yeyote anayefikiria kufanya hivi stop it guys
Hivi hamna mada nyingine za kuanzisha nyie wapuuzi? 😭
Mwanaume timamu, anayejiamini na mwenye pesa zake, hapigi kelele hivi Kwa status yake anaweza kupata mwanamke yeyote anaemtaka, so hawezi kupiga makelele humu juu ya mtu asiyemjua kutokana na imagination tu
Hii ni ishara kuwa mtu anayeandika mada za aina hii ni debe tupu tu 😭 debe likilia ngongoloooo hakuna kitu ndani
Mwisho kabisa 😌 kuna mwana huku anaichapa vizuri sana halafu anaku zoom jinsi unavyotafuta trending kupitia mimi 🤣🤣🤣 noma sana
ShesRise_1
😂😂Kindengereko tunasema "Anapambisha". 😁
NAKAZIAKutumika vibaya kwenye mada za kipumbavu siyo suala la kumlaumu mtu, inatokana na jinsi wewe mwenyewe ulivyojiweka huku.
❤️❤️❤️My lovely daughter just let it flow.. Am sure mlengwa hakuwa na lengo baya bali ku chitchat tuu.. Take it as a merit to you.. Ni jambo jema kuona mtu anavutiwa na kuvutika nawe kiasi cha kukuwekea post ya mahaba! Si kila mdada ana hiyo bahati😀
Lakini pia kubwa na la muhimu zaidi punguzeni kidogo kuandika sensational post zinazoamsha hisia Kali kwa jinsia pinzani😂
Seriously unaweza kudhani unaandika kitu cha kawaida kumbe kwa wengine unawagusa kumoyo na kuamsha mashetani yote ya mahaba
Sasa kwakuwa hawawezi kukupata wanaamua kujipoza kwa kukuandikia mada za chombeza.. Ni aina mojawapo ya kufikisha ujumbe pia🤪
Kwa mkwe wangu chai ya rangi pole sana.. Pengine hujui hili lakini naomba nikwambie kwamba lama mtu hamjazoeana sana inabidi kwanza kumuomba ruhusa PM ya kumuanzishia uzi na maudhui yake
Bado una nafasi nzuri ya kuyajenga naye huko pembeni na ukitaka usaidizi baba mkwe nipo😂
Sawa babu yangu mzuriiHakuna wa kunifungia mjukuu, useme nilibanwa na shughuli za shamba tu
Haya ni maoni yako nayaheshimuKutumika vibaya kwenye mada za kipumbavu siyo suala la kumlaumu mtu, inatokana na jinsi wewe mwenyewe ulivyojiweka huku.
Waambie waoaji walete posa 😎Sawa babu yangu mzurii
Huyo ni mtu mmoja tu, anajichanganya mwenyeweKwa hiyo inawezekana mleta mada anajichezea kwapa
Gongelea na nyundo😅NAKAZIA