Washenzi washenzi wachache wanataka tuonekane wote tunafuta umaarufu nisihusishwe na huo ungeseHii n trending ya Wapumbavu, walianza na wengi wakamfikia Seran na sasa n zamu yako.
Hao wote wanaanzisha hizo mada ni Wapumbavu tuu, mtu umempenda Nenda pm kausha huko
Mada zote Hizo Wekeni humu 🗑️
Mwisho kabisa 😌 kuna mwana huku anaichapa vizuri sana halafu anaku zoom jinsi unavyotafuta trending kupitia mimi 🤣🤣🤣 noma sana😀😀😀Nyie wanaume mnaotafuta trending kwa kutia majina ya watu kwenye mada za kipuuzi, kudadeki 😏
naomba msije mkahusisha jina hili ShesRise_1 kwenye mada za kishamba Mwisho wa siku hata mimi ntaonekana mshamba wa aina hiyo pia
Today naamka nakutana na waraka mrefu kama mkojo wa mlevi 😭 ukinihusisha, honestly sijapenda
please, na mwingine yeyote anayefikiria kufanya hivi stop it guys
Hivi hamna mada nyingine za kuanzisha nyie wapuuzi? 😭
Mwanaume timamu, anayejiamini na mwenye pesa zake, hapigi kelele hivi Kwa status yake anaweza kupata mwanamke yeyote anaemtaka, so hawezi kupiga makelele humu juu ya mtu asiyemjua kutokana na imagination tu
Hii ni ishara kuwa mtu anayeandika mada za aina hii ni debe tupu tu 😭 debe likilia ngongoloooo hakuna kitu ndani
Mwisho kabisa 😌 kuna mwana huku anaichapa vizuri sana halafu anaku zoom jinsi unavyotafuta trending kupitia mimi 🤣🤣🤣 noma sana
ShesRise_1
Nyie wanaume mnaotafuta trending kwa kutia majina ya watu kwenye mada za kipuuzi, kudadeki 😏
naomba msije mkahusisha jina hili ShesRise_1 kwenye mada za kishamba Mwisho wa siku hata mimi ntaonekana mshamba wa aina hiyo pia
Today naamka nakutana na waraka mrefu kama mkojo wa mlevi 😭 ukinihusisha, honestly sijapenda
please, na mwingine yeyote anayefikiria kufanya hivi stop it guys
Hivi hamna mada nyingine za kuanzisha nyie wapuuzi? 😭
Mwanaume timamu, anayejiamini na mwenye pesa zake, hapigi kelele hivi Kwa status yake anaweza kupata mwanamke yeyote anaemtaka, so hawezi kupiga makelele humu juu ya mtu asiyemjua kutokana na imagination tu
Hii ni ishara kuwa mtu anayeandika mada za aina hii ni debe tupu tu 😭 debe likilia ngongoloooo hakuna kitu ndani
Mwisho kabisa 😌 kuna mwana huku anaichapa vizuri sana halafu anaku zoom jinsi unavyotafuta trending kupitia mimi 🤣🤣🤣 noma sana
ShesRise_1
Sawa vichaa hufahamiana wewe na baba angu ni vichaa watupu🤣Kichaa ni baba yako mzazi
Hao vijana wamechanganyikiwaHii weekend inaonekana ilikuwa yamoto sana humu
Soon naweza kuposa wajukuu kadhaa humu, maana vijana sio kwa kujiripua huko kuwaandikia mistari humu
Wakumbuke tu, koti la babu ni lazima litoke Italy ndiyo nitapokea 😜
Mzee wa kunukuu😀Mwisho kabisa 😌 kuna mwana huku anaichapa vizuri sana halafu anaku zoom jinsi unavyotafuta trending kupitia mimi 🤣🤣🤣 noma sana😀😀😀
Hii ishu niliisema Ila nikaja kuambiwa namuonea Wivu Seran 😂
Shenzi zao unaona hao wengine huko juu wanabweka kisa nimefungua huu uzi walitaka nikae kimya kisa nini?Hii ishu niliisema Ila nikaja kuambiwa namuonea Wivu Seran 😂
Hao vijana wamechanganyikiwa
Wanafikiri kila mwanamke anapenda huo upuuzi
Babu leo nimechukia sana 🤨
Mzee wa kunukuu😀
Pole sana Mjukuu, hayo mambo ni kawaida humuHao vijana wamechanganyikiwa
Wanafikiri kila mwanamke anapenda huo upuuzi
Babu leo nimechukia sana 🤨
Washenzi sana wanafanya mtu unaonekana unatengeneza parody kutaka attentionBasi mama, basi achana nao.
Wakaushie washakusikia. 😊
Simple tuu, nilimwambia jamaa kuna umuhimu gn wa kila saa kupandisha uzi kwamba unamtaka mtu fulani, c angeenda pm na kumalizana nae.Ulisemaje Mbaga? 😊
Ukiwachekea, jion utakutana na uzi mwngn anasema akupikie chakula gnShenzi zao unaona hao wengine huko juu wanabweka kisa nimefungua huu uzi walitaka nikae kimya kisa nini?
Niseme OMG I'm so excited 😁
Hamna bhna zitaje walau hao vijana waokote hata kiduchuPole sana Mjukuu, hayo mambo ni kawaida humu
Hata mwanzoni mwa miaka 2012 hadi 2023 nyuzi za hivyo zilitrend sana humu
Vijana wanajua ndiyo namna ya kuziomba
Hawajui mabinti/Wanawake wanahitaji mbinu nyingine za ushawishi(usinilazimishe kuzitaja tu) 😜
Niliona comment yako mpka kuna mtu akakuuliza kama unamtaka wewe huyo mwanaumeSimple tuu, nilimwambia jamaa kuna umuhimu gn wa kila saa kupandisha uzi kwamba unamtaka mtu fulani, c angeenda pm na kumalizana nae.
Nikaja kuambiwa namuonea Wivu huyo girl, sasa cjui mm boy namuonea vp Wivu Mwanamke
Imagine huu upuuziNiliona comment yako mpka kuna mtu akakuuliza kama unamtaka wewe huyo mwanaume
Upuuzi tu