Keep your nonsense to yourself

Keep your nonsense to yourself

My dear ShesRise_1 jf utalalamika weee na hakuna utaloambulia. Wewe hapo na simu yako ndio dawa tu kuliko kuumiza kichwa na asubuh tena j3. Mtu akikuudhi u just click ignore au block him/her totally. Kuna haja gani uudhike na mtu humjui na hakujui. Wabongo tushavurugwa kiasi kwamba usipompga mtu stop you will end up quarrelling daily. Chukua maji unywe afu shka simu anza ku ignore na kublock waliokuudhi na roho yako itapona.
Asante sana bro hii nimeichua
Naifanyia kazi 😍
 
Mimi nilikua namtafuta ajabu nikamkuta huku anadai ulikataa mimba kigogo. So nikamuita akamalizie vyombo..!!

Sijui mmeanzia wapi wenyewe..!! 😹
Tumeanzia hapo hapo anasema eti ananijua nina makende na nimewatia mimba watu 2 😅
 
Nyie wanaume mnaotafuta trending kwa kutia majina ya watu kwenye mada za kipuuzi, kudadeki 😏

naomba msije mkahusisha jina hili ShesRise_1 kwenye mada za kishamba Mwisho wa siku hata mimi ntaonekana mshamba wa aina hiyo pia

Today naamka nakutana na waraka mrefu kama mkojo wa mlevi 😭 ukinihusisha, honestly sijapenda
please, na mwingine yeyote anayefikiria kufanya hivi stop it guys

Hivi hamna mada nyingine za kuanzisha nyie wapuuzi? 😭

Mwanaume timamu, anayejiamini na mwenye pesa zake, hapigi kelele hivi Kwa status yake anaweza kupata mwanamke yeyote anaemtaka, so hawezi kupiga makelele humu juu ya mtu asiyemjua kutokana na imagination tu

Hii ni ishara kuwa mtu anayeandika mada za aina hii ni debe tupu tu 😭 debe likilia ngongoloooo hakuna kitu ndani

Mwisho kabisa 😌 kuna mwana huku anaichapa vizuri sana halafu anaku zoom jinsi unavyotafuta trending kupitia mimi 🤣🤣🤣 noma sana

ShesRise_1
Anageuza kama chapati au anaichapa kumoja tu?
 
Screenshot_20260511-133816.png
 
Back
Top Bottom