Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 47,692
- 114,196
Kuanzishiana uzi za kipuuzi ndo JF kurudi kwenye reli?Furaha yangu jamii forums walao imerudi kwenye reli, ilipoteana sana siku mbili tatu.
Bc hii n JF ya Wapumbavu kama sio ww ndie.
Kuanzishiana uzi za kipuuzi ndo JF kurudi kwenye reli?Furaha yangu jamii forums walao imerudi kwenye reli, ilipoteana sana siku mbili tatu.
Hamna bhna zitaje walau hao vijana waokote hata kiduchu
Heb taja tuone😎
Yaani hasa wewe naomba usinihusishe na mada zako tena sipendi siitaji"i made that bitch famous"
Acha kunitoa akili nimesema sitaki na maoni yangu yahehimiwehii wiki ishakua ngumu tayali iishe tu🤣🤣
sema shoga angu unachukulia vitu serious sana ungemkaushia tu kwan kulikua na shida gani jamni?, kikubwa hajakutukana amejaribu kuelezea hisia zake iwe ni utani au serious, sion kama kuna haja ya kukasirika vile asee,, mi sioni kama chai ya rangi anamakosa yoyote walah
naungana na wewe kabisaFuraha yangu jamii forums walao imerudi kwenye reli, ilipoteana sana siku mbili tatu.
nani kasema haujitambui binti😅😅😅 hebu relax kwanza, nasemajeeeee "MTU KUELEZA HISIA ZAKE SIO DHAMBI" muache chai bwana khaaaaAcha kunitoa akili nimesema sitaki na maoni yangu yahehimiwe
Tafadhali usione kama sijitambui
Wasije kutumia hizo mbinu (nikitaja) kisha wakaniibia bibi yenu bureHamna bhna zitaje walau hao vijana waokote hata kiduchu
Heb taja tuone😎
Au sio eeh oknani kasema haujitambui binti😅😅😅 hebu relax kwanza, nasemajeeeee "MTU KUELEZA HISIA ZAKE SIO DHAMBI" muache chai bwana khaaaa
UchoyoWasije kutumia hizo mbinu (nikitaja) kisha wakaniibia bibi yenu bure
Pamoja na kuzeeka huku tulipofikia na bibi yenu, lakini still nina wivu naye ujue 😉
nakupenda hivyo hivyo atanielewa badaeAu sio eeh ok
Hapo kona ya Kwantogole kwa bibi nyauNahisi njaa sana wakulungwa, kibanda gani kiko karibu na hapa jf kinauza chai nzuri na vitumbua?
Escalating the vayolensi!?😀
Kukuelewa kuhusu nini diha?nakupenda hivyo hivyo atanielewa badae
naona hatuelewani😄 ila kupendwa raha unaringa mwenyewe🤣🤣🤣Kukuelewa kuhusu nini diha?
Sitaki kuanzishiwa nyuzi za kithenge ni marfuku 📌