Mkeo na watoto nyumbani hawajambo?Nyie wanaume mnaotafuta trending kwa kutia majina ya watu kwenye mada za kipuuzi, kudadeki 😏
naomba msije mkahusisha jina hili ShesRise_1 kwenye mada za kishamba Mwisho wa siku hata mimi ntaonekana mshamba wa aina hiyo pia
Today naamka nakutana na waraka mrefu kama mkojo wa mlevi 😭 ukinihusisha, honestly sijapenda
please, na mwingine yeyote anayefikiria kufanya hivi stop it guys
Hivi hamna mada nyingine za kuanzisha nyie wapuuzi? 😭
Mwanaume timamu, anayejiamini na mwenye pesa zake, hapigi kelele hivi Kwa status yake anaweza kupata mwanamke yeyote anaemtaka, so hawezi kupiga makelele humu juu ya mtu asiyemjua kutokana na imagination tu
Hii ni ishara kuwa mtu anayeandika mada za aina hii ni debe tupu tu 😭 debe likilia ngongoloooo hakuna kitu ndani
Mwisho kabisa 😌 kuna mwana huku anaichapa vizuri sana halafu anaku zoom jinsi unavyotafuta trending kupitia mimi 🤣🤣🤣 noma sana
ShesRise_1
Nikuokote mawenaona hatuelewani😄 ila kupendwa raha unaringa mwenyewe🤣🤣🤣
Mke gani tena mkuu😀Mkeo na watoto nyumbani hawajambo?
labda kama nina wenda wa zim🤣Nikuokote mawe
Tokaaa 😀labda kama nina wenda wa zim🤣
hii nayo mpya, kumbe kuna wezi wa mabwana humu🤔sasa wezi wa mabwana mtalijua jiji
niende wapi sasa,, mi kwako ndo nishafika na shem ninae na nina tamba nae mpka uzoee heka heka za humu👌🤗💃Tokaaa 😀
Unajichamba mwenyewe, unajitongoza mwenyewe, unajitukana mwenyewe, unajipa promo mwenyewe.Nyie wanaume mnaotafuta trending kwa kutia majina ya watu kwenye mada za kipuuzi, kudadeki 😏
naomba msije mkahusisha jina hili ShesRise_1 kwenye mada za kishamba Mwisho wa siku hata mimi ntaonekana mshamba wa aina hiyo pia
Today naamka nakutana na waraka mrefu kama mkojo wa mlevi 😭 ukinihusisha, honestly sijapenda
please, na mwingine yeyote anayefikiria kufanya hivi stop it guys
Hivi hamna mada nyingine za kuanzisha nyie wapuuzi? 😭
Mwanaume timamu, anayejiamini na mwenye pesa zake, hapigi kelele hivi Kwa status yake anaweza kupata mwanamke yeyote anaemtaka, so hawezi kupiga makelele humu juu ya mtu asiyemjua kutokana na imagination tu
Hii ni ishara kuwa mtu anayeandika mada za aina hii ni debe tupu tu 😭 debe likilia ngongoloooo hakuna kitu ndani
Mwisho kabisa 😌 kuna mwana huku anaichapa vizuri sana halafu anaku zoom jinsi unavyotafuta trending kupitia mimi 🤣🤣🤣 noma sana
ShesRise_1
😀😀niende wapi sasa,, mi kwako ndo nishafika na shem ninae na nina tamba nae mpka uzoee heka heka za humu👌🤗💃
nimekomenti tuu madam 😀hii nayo mpya, kumbe kuna wezi wa mabwana humu🤔
Ungenitag tu jamani🙄Hii ishu niliisema Ila nikaja kuambiwa namuonea Wivu Seran 😂
Nilivyo na wivu nae, sitaki hata wamsogelee 😉Uchoyo
Kama kweli waoaji waje nyumbani kujitambulishaUnaona raha wenzio wakibweka humu😀
Naomba nisikujibu leoUnajichamba mwenyewe, unajitongoza mwenyewe, unajitukana mwenyewe, unajipa promo mwenyewe.
It's completely useless, nonsensical and of zero value.
View attachment 3586967
Ungechukulia seriously wakat n ishu ya kipuuzi, hata huyo mhusika sijamtag mana sio ishu kubwaUngenitag tu jamani🙄
Kwanza siku mbili tatu sikuoniNilivyo na wivu nae, sitaki hata wamsogelee 😉
Kama kweli waoaji waje nyumbani kujitambulisha
Nimepata shida kuwalinda mjue, na hivi nilijaza nyumba matangazo "Hatuuzi Ice cream hapa" 😜
lakini lisemwalo lipo🤣nimekomenti tuu madam 😀
Sawa mkuuUngechukulia seriously wakat n ishu ya kipuuzi, hata huyo mhusika sijamtag mana sio ishu kubwa