Keep your nonsense to yourself

Keep your nonsense to yourself

wamekufanya nini ShesRise_1
Kuna kijana alishiba asubuh sana akafungua uzi akisema kile anachoita hisia zake sijui ananipenda sijui nini
Halaf analezea kama tayali tunafahamiana

Amenikwaza yaan ufungue uzi kuelezea ujinga namna hiyo na unanitag

Napenda utani ila sio kufunguliana nyuzi na mtu hata simjui tuishie kwenye comment baasii
 
Ah!! Sema achana nao watu wa humu si unawajua ndivyo walivyo.
 
Nyie wanaume mnaotafuta trending kwa kutia majina ya watu kwenye mada za kipuuzi, kudadeki 😏

naomba msije mkahusisha jina hili ShesRise_1 kwenye mada za kishamba Mwisho wa siku hata mimi ntaonekana mshamba wa aina hiyo pia

Today naamka nakutana na waraka mrefu kama mkojo wa mlevi 😭 ukinihusisha, honestly sijapenda
please, na mwingine yeyote anayefikiria kufanya hivi stop it guys

Hivi hamna mada nyingine za kuanzisha nyie wapuuzi? 😭

Mwanaume timamu, anayejiamini na mwenye pesa zake, hapigi kelele hivi Kwa status yake anaweza kupata mwanamke yeyote anaemtaka, so hawezi kupiga makelele humu juu ya mtu asiyemjua kutokana na imagination tu

Hii ni ishara kuwa mtu anayeandika mada za aina hii ni debe tupu tu 😭 debe likilia ngongoloooo hakuna kitu ndani

Mwisho kabisa 😌 kuna mwana huku anaichapa vizuri sana halafu anaku zoom jinsi unavyotafuta trending kupitia mimi 🤣🤣🤣 noma sana

ShesRise_1
Keeping such things can cause ma memory full, we trash em up n share with u, maan mna memory kubwa sana
 
Back
Top Bottom