magessa78
JF-Expert Member
- Sep 28, 2009
- 270
- 31
Nimekuwa nikijiuliza logo ya hospitali yetu kubwa kabisa ya rufaa hapa Moshi ijulikanayo kama KCMC jinsi inavyoonekana kuwa na picha kubwa ya nyoka akiwa juu ya mlima kilimanjaro akiangalia chini nashindwa kupata majibu?!navyojua nyoka ni ALAMA YA KISHETANI.nabaki najiuliza maswali yafuatayo:
1. ina maana taasisi kubwa kama hizi nazo ni FREEMANSONS?
2.ina maana taasisi kubwa kama hii inaendeshwa na nguvu za shetani?!
3.kama inaendeshwa na nguvu za kishirikina ina maana wote tunaotibiwa
pale tunaziacha nyota zetu,baraka na uhai wetu pale ili kila mara tuwe
tunaugua na kurudi kutibiwa pale mara kwa mara?!
4.ina maana makanisa ni part ya ushirikina kwa kuwa na nembo ya nyoka?!maana KCMC ni ya kanisa!!
5.Kama kweli KCMC ni mshirika wa shetani,tufanyeje jamani!!!tumeshaangamia wangapi!!
Kitu kingine kinachonishtua ni pale unapofika pale KCMC unalazimishwa kusema DINI yako hata kama huna dini au hata kama UMEOKOKA maana yeyote aliyeokoka(wengi wao)hawana dini,but unaposema huna dini inakuwa tabu,ukisema ni mkristu bado hawataki wanataka dini,why dini?!!mimi naumwa nataka matibabu wewe umeng'ang'ana nikutajie dini wapi na wapi jamani..bila kusema dini yako hupati matibabu.
Kingine ni jina la ukoo.nimekwenda pale nikawatajia jina langu DAUDI ISRAEL ELIA .kwa hiyo jina la ukoo ni ELIA.wao wakakataa eti ELIA sio jina la ukoo na halitaonekana kwenye computer,nitafute jina lingine la ukoo niwaambie ili waniandikie nimuone dokta!!nikabaki nimeduwaaaaaa hivi wao ndo wananichagulia jina la ukoo?mimi ndo ninayejua jina la ukoo wangu,then wao wanalazimisha nitafute jina lingine la ukoo..jamani haya yoote ya nini?!nahisi kuna kitu...nachohisi ni UOVU unaokamatiwa na majina ya UKOO kama akina Massawe,Muro,Maro n.k.,maana haingii akilini mtu kulazimishwa kubadili jina la ukoo wako ili eti liweze kukaa kwenye computer!!!am gutted! mnisaidie