Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
.Siwezi kuomba msamaha kapotolo.nimeacha swali mnisaidie kujibu,sio kwamba nimefikia conclusion moja kwa moja,ni maswali niliyokuwa nayo dhidi ya KCMC,but bado siamini sana katika nyoka..,kwa nini taasisi zote za afya ziwe na nembo hiyo?!?!ingawa imeandikwa but sitakubaliana na hilo kwa sasa...bado siamini ktk NYOKA kwa dunia ya leo,kipindi kile YES ilikuwa instructions kwa Musa toka kwa Mungu,je hata hizi membo mlizonazo(Muhimbili,kcmc etc) ni maagizo toka kwa Mungu muwe na nembo za nyoka?!!!we only know in surface leve,but in deep level ni vitu vingine!!
Unasemaje kuhusu nembo ya mwezi mwekundu na msalaba mwekundu zinazotumiwa na mashirika ya misaada wakati wa majanga? Kumbuka mwezi ni alama ya Uislamu na Msalaba ni alama ya wakristo. Je, wakati wa majanga Waislamu wasipokee misaada ya mashirika ya alama ya Msalaba na wakristo wakatae kupakea msaada wa mashirika ya mwezi mwekundu? Gongo la mboto walikuwepo msalaba mwekundu na hawakutoa msaada kwa malengo ya kidini na kwa kweli haya mashirika sio ya kidini pamoja na kwamba yanatumia nembo hizo. mashirika haya yameokoa watu wa dini zote na wasio na dini wakati wa majanga.