Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
bila bata hakuna kazi.
#KaziNaBata
#KaziNaBata
Wananchi wakigoma ndo wanaelewa... We wa huko kolomije deal with ur own affairs.
Vipi kuhusu kusema kero za wananchi bungeni
Wananchi wakigoma ndo wanaelewa... We wa huko kolomije deal with ur own affairs.
Aah wapi....angetumia hiyo mitandao kutilia mkazo zaidi... Na si kuzusha fake news.Kusema ni kama ushauri tu unaweza usikilizwe au upuuzwe.
Amewasemea sana watu wa jimbo lake,waambie warudishe bunge live umuone akiwa bungeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatetea usichokijuaSisi wa kolomije tunafahamu uwezo wa mbunge kuleta maendeleo unapoishia ndio maana tunakuelewesha wewe wa Mwandiga akili yako ikae sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatetea usichokijua
Mtumie namba yako ya Tigo pesa au MpesaWe zitto unatusahau wanakigoma unakuja kupiga umbea mitandaoni... Unafikir lile ni koloni lako,tutaona 2020...labda urudi kwenu Burundi ukaloge..
Aah wapi....angetumia hiyo mitandao kutilia mkazo zaidi... Na si kuzusha fake news.
Ndo kwa kuzusha habari fekiKwa nini apoteze muda wake wakati anajua wako watu wanaoamua maendeleo yaende wapi na kwa muda gani na wao ndo wanaamua vipaumbele ni vipi.
Yeye kwa sasa anapaswa kupigania mageuzi makubwa yatakayowapa wananchi nguvu ya kuamua vipaumbele vyao ni nini ni si watawala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshagundua unafanya kila namna kumtetea... Sababu ukibanwa unahama... Unanipotezea tu muda.
Siku hizi ba-vichaa ni wafuasi wa sera za Zittobila bata hakuna kazi.
#KaziNaBata
ndiyo.
Mbona hata hiyo ailiyezushiwa kifo naye ni evilUlimzushia Raisi wetu kifo, internet haisahau, hakuna mtu aliwahi kwenda mbali kiasi hicho, wewe ni evil being, hata mtu akikuangalia usoni anaona evil ndani yako, what goes around comes around, internet haisahau kumbuka hilo kama hata una uwezo wa kukumbuka chochote.