#KaziNaBata Maana yake nini? REPOST

#KaziNaBata Maana yake nini? REPOST

Hebu acha upuuzi,me sio shabiki wa Zitto wala sio mkazi wa jimbo analoliwakilisha.

Kumnanga kuhusu maendeleo ya jimbo analowakilisha kana kwamba yeye anakusanya kodi na kuzila na wanae sio hekima. Ningekuona una nafuu kama ungemnanga yule 'baba enu' anaesema wazi kuwa hatapeleka huduma kwenye jimbo linalowakilishwa na mpinzani na huku kodi za wananchi wamekusanya.
Ndiyo mi sina chama.... Ni mdau tu wa hii serikali.... Na huo ndio ukweli Kigoma ni aibu tupu... Na mbunge ndo kama unavyomuona.... Anawaza bata tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo mi sina chama.... Ni mdau tu wa hii serikali.... Na huo ndio ukweli Kigoma ni aibu tupu... Na mbunge ndo kama unavyomuona.... Anawaza bata tu.

Kuna hela yako umempa Zito ya maendeleo? Kawadai maendeleo wanaokusanya hela yako.
 
Watu inabidi tufanye kazi na tule bata kiroho mbaya kabisa...
 
Ulimzushia Raisi wetu kifo, internet haisahau, hakuna mtu aliwahi kwenda mbali kiasi hicho, wewe ni evil being, hata mtu akikuangalia usoni anaona evil ndani yako, what goes around comes around, internet haisahau kumbuka hilo kama hata una uwezo wa kukumbuka chochote.

Rais wako ww na nani?
 
Kuna hela yako umempa Zito ya maendeleo? Kawadai maendeleo wanaokusanya hela yako.
Namdai anayelipwa pesa nyingi kwa ajili yangu.....Kwan nisipofanya vizuri darasani anafuatwa mwalimu au serikali... Mwalimu ndo analipwa ili mm nifanye vizuri.
 
We zitto unatusahau wanakigoma unakuja kupiga umbea mitandaoni... Unafikir lile ni koloni lako,tutaona 2020...labda urudi kwenu Burundi ukaloge..
Zito ni Serikali? Engineer Chiza, Prof Ndalichako na Nsanzugwanko wako serikalini watawakumbuka.
 
Namdai anayelipwa pesa nyingi kwa ajili yangu.....Kwan nisipofanya vizuri darasani anafuatwa mwalimu au serikali... Mwalimu ndo analipwa ili mm nifanye vizuri.
Kwa hiyo hata km huna akili mwalimu akugaie zake ili ufaulu? Kama hamna vifaa vya kufundishia mwalimu atoe mshahara wake kukununulia?

Katika hizo pesa nyingi anazolipwa Zitto na bunge kuna hata shilingi mia umeambiwa ni kwa ajili ya maendeleo ya jimbo? Hiyo pesa anayolipwa ni kwa ajili ya 'kazi na bata' zake, acha ujuha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namdai anayelipwa pesa nyingi kwa ajili yangu.....Kwan nisipofanya vizuri darasani anafuatwa mwalimu au serikali... Mwalimu ndo analipwa ili mm nifanye vizuri.

Sema ni shilingi ngapi umempa mpaka sasa hivi urudishiwe kiroho safi.
 
We zitto unatusahau wanakigoma unakuja kupiga umbea mitandaoni... Unafikir lile ni koloni lako,tutaona 2020...labda urudi kwenu Burundi ukaloge..
Kwahiyo akiroga ndio atapata Ubunge? Unamini nguvu za kichawi na kishirikina ukiwa na umri huo? Ndio maana CCM inawaroga kupitia ule moto mnaoukimbiza kila mwaka na kwasababu mnaamini ulozi mmerogeka kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom