Zitto endelea kunengeneka kwenye mitadao ya kijamii wakati chibu kaenda kujiweka karbu na wanakigoma ili achukue jimbo 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa nn walimu wengine wafanye vizuri halafu shule moja... Mbona kuna wanaotimiza majukumu vizuri kama wabunge...?Kwa hiyo hata km huna akili mwalimu akugaie zake ili ufaulu? Kama hamna vifaa vya kufundishia mwalimu atoe mshahara wake kukununulia?
Katika hizo pesa nyingi anazolipwa Zitto na bunge kuna hata shilingi mia umeambiwa ni kwa ajili ya maendeleo ya jimbo? Hiyo pesa anayolipwa ni kwa ajili ya 'kazi na bata' zake, acha ujuha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ndio umerogwa kutetea ujinga...Na naona alishakufanya awe role model wako kabisa..Kwahiyo akiroga ndio atapata Ubunge? Unamini nguvu za kichawi na kishirikina ukiwa na umri huo? Ndio maana CCM inawaroga kupitia ule moto mnaoukimbiza kila mwaka na kwasababu mnaamini ulozi mmerogeka kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo "DIAMOND" mtamponza, atapotea katika dira ya dunia, hawajui watu wa kigoma.Zitto endelea kunengeneka kwenye mitadao ya kijamii wakati chibu kaenda kujiweka karbu na wanakigoma ili achukue jimbo 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Naongea kwa niaba ya wananchi wengi wa huku....ww upo kwa mtogole mambo mengine huwezi yajuaKwenye hiyo kodi yako waambie gawio asipewe Zito, upewe umpelekee unayemtaka. Zito hataki hela yako.
Hiyo aya ya kwanza sidhani kama mhusika ni mimi.... Umechanganya madesa...mtafute aliyekwambia hivyo.Hebu acha upuuzi,me sio shabiki wa Zitto wala sio mkazi wa jimbo analoliwakilisha.
Kumnanga kuhusu maendeleo ya jimbo analowakilisha kana kwamba yeye anakusanya kodi na kuzila na wanae sio hekima. Ningekuona una nafuu kama ungemnanga yule 'baba enu' anaesema wazi kuwa hatapeleka huduma kwenye jimbo linalowakilishwa na mpinzani na huku kodi za wananchi wamekusanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama comment imekukera halafu haikuhusu si uipite tu...kuliko kutafuta kuonekana kwa nguvu.Kama unahisi ni wake mtumie kwa namba yake usiweke kwenye uzi usiohusiana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naongea kwa niaba ya wananchi wengi wa huku....ww upo kwa mtogole mambo mengine huwezi yajua
We zitto unatusahau wanakigoma unakuja kupiga umbea mitandaoni... Unafikir lile ni koloni lako,tutaona 2020...labda urudi kwenu Burundi ukaloge..
Kwan kazi ya mbunge ni nini....?Zito ni Serikali? Engineer Chiza, Prof Ndalichako na Nsanzugwanko wako serikalini watawakumbuka.
Kodi yangu ina gawio kwake.... Cha msingi afanye wajibu wake.... Hayo mengine ni meaningless..
Zitto endelea kunengeneka kwenye mitadao ya kijamii wakati chibu kaenda kujiweka karbu na wanakigoma ili achukue jimbo 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe bata zenyewe unazosemea ndo hizo... Hakha!!!! Siwezi unga juhudi za umoja wa ulaya.... Ila angalia usiwe addicted ikaja kuwa kazi yako rasmi.Huo uhalali wa kuwaongelea hao wananchi wengi nani kakupa kama sio kimbelembele dume zima? Hao waliokutuma na wao pia wasimpe hizo hela zao, maana hata yeye Zito analipa kodi, tena ni kubwa kuliko wao. Hicho kimbelembele kitakufanya uchumishwe matembele dogo.
Sasa kwa nn walimu wengine wafanye vizuri halafu shule moja... Mbona kuna wanaotimiza majukumu vizuri kama wabunge...?
Yaani wewe ni kiazi...kiazi kwelikweli.... Kazi na dawa sawa lakini timiza kwanza majukumu yako ambayo ndo kazi yenyewe... Sure mbunge wa mwanza city anawakilisha kero halafu wa kigoma anasubir muda uishe akale bata akitoka hapo akafunge twitter azushe taarifa... Si utaahira huo...
Sini wewe hapo
Hujui raha na karaha ya ngoma... Unasikia tu mdundo... Waliopo ndani ya ulingo ndo wajua,ww tulia hukohuko nje.Majukumu ya mbunge kikatiba ni yapi na yeye ameshindwa kutimiza yapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan kazi ya mbunge ni nini....?
Vipi kuhusu kusema kero za wananchi bungeniKupitisha bajeti ya nchi kwa kuangalia vipaumbele kama ni barabara,maji,airport,ndege n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui raha na karaha ya ngoma... Unasikia tu mdundo... Waliopo ndani ya ulingo ndo wajua,ww tulia hukohuko nje.