Kazi yangu ndio mume wangu

Kazi yangu ndio mume wangu

Pole sana dada yangu kwa hakika ulipitia kipindi kigumu sana na huyo jamaa asiyejitambua....labda niseme tu kuwa ulikutana mtu asiye sahihi kwako...na hiyo haimaanishi kuwa wanaume wote tupo.......nakushauri achana na wavulana.....tafuta mtu mzima mwenye akili zake timamu.....kwanza ngoja nikuibie siri sisi wanaume kwa maana ya uanaume huwa tunajisikia fahari sana tunapotimiza majukumu yetu....tena mpaka vijiweni tunakuwa na sauti kwa kuwa unajiamini nyumbani kupo freshi......kwa hiyo tafuta mwanaume anayejisikia fahari kumtunza mkewe kama malikia................vile vile pia nyie wadada wa siku hizi mna sababu za kijinga pindi mnapochagua wenza wenu.....utasikia nataka six pack.....mara oooh nataka mwanaume mrefu and handsome....sasa huyo mwenye six pack muda wote anashinda gym ili kumaintain mwili wake atafanya kazi saa ili aweze kukuhudumia wewe....???........BADILIKENI WADADA....

Pamoja mkuu but sio tu ma jobless ndio wenye hzi tabia, hata ambao wanakazi zao nzuri nao wanatabia ya utegemez, yaan chake chake cha mkewe chake pia, sometimes nahisi na malezi yanachangia, hiz zote ni changamoto tu ila la muhimu maisha yanaendelea
 
Peerfectoo!, sasa tumeelewana, the first message wasn't specific, and this one right here,....."jamaa hana dhamana wala jukumu kwako"......this worth some greens!
I came out defensive cause, sisi KE are being over stereotyped!, yaani hakuna jema tufanyalo likaonekana jema, usiposhugulika ukawa stay at home mom,(the way some husbands want) utanangwa,...and from what I got here, if you're a professional, career woman ndo kama hivi unanangwa, like what do you guys want us to do. ...lol?!
..that's why you gotta be careful on your choices, don't just fall for a man coz he's got balls...! during courtship, you gotta talk about everything, including career & profession..be sure that you understand each other well, have a lot in common then you can make a second step..that's the meaning of courtship na sio kufanya research kama aweza kudinyana tu ili awe mume..NOPE...!

Wapo wasaiopenda wake zao wafanye kazi, lakini je wanaweza kuwahudumia 200%, most of the time the answer is NO! And if you sacrificed your life ili usome na kuwa na career, kwa nini leo mtu anakukuta ukubwani anakukataza usifanye kazi?? Akifa je, anaweza kukuachia rasilimali za kuiendeleza familia?
 
.....true, and if he misbehave or do something I don't like, I won't cling to him but I'll make him choose either my way or the other way that leads to the "outside" door!
Compromise kui, compromise bidada..! how many are you going to show the way out?
..sometimes you'll have to choose ''his way'' to keep the ship sailing...
siku nyingine yeye ndo atachagua kufata njia yako....!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hakika mwanaume aliyekamilika na anayejitambua kamwe hawezi kuwa hivyo kwa kuwa inafahamika kuwa ni jukumu la mwanaume kutunza familia....lakini dada yangu siku hizi kidogo mambo yamebadilika wanawake nao wanajishughulisha sasa kuna ugumu gani kusaidiana na mwenzio katika mambo madogo madogo kama hayo.....??...kwa mfano utamuombaje mumeo hela ya pedi ikiwa nawe umaingiza kipato.....unapogoma kuchangia au kulipa ada ya mtoto wenu wakati unatambua kuwa mumeo yupo kwenye kipindi kigumu kifedha unadhani unamkomoa nani....???
Ndoa ni kusaidiana na kuthaminiana.....
Napata tabu kujua huo usawa mnaoulilia sijui unalenga nini....??.maana kwa maoni yangu ingetakiwa usawa muuonyeshe hapo kwenye kukabiliana na majukumu ya kifamilia....na sio kwenye mambo ya kipuuzi......

Aisee kula tano kaka..napata tabu sana wanawake wanapoahindwa kuelewa hili..inakuaje wewe unakipato..alafu hata kuchangia.ada pale unapogundua mimeo kayumba kiuchumi...ila pesa zako wewe zote ni kucheza michezo tuu..huku ukitegemea mwanaume ataprovide kila kiti..mwanamke wa type hii..mpaka anazikwa yeye atakua ni wa kugongwa na kuachwa tu mpaka anaigia kaburini
 
Kila siku nasema mzizi mkuu wa ndoa imara ni upendo wa dhati uliowaunganisha wanandoa na sio fedha, magari na majumba ya kifahari..kwa kuwa kwenye pendo la kweli ndani yake kuna kuheshimiana, kuthaminiana pamoja kujaliana...kauli za kipuuzi ndani ya ndoa huibuka baada muda fulani baada ya mmoja kati ya mwanandoa kugundua kuwa hakufanya uchaguzi sahihi.....
Wapo waliodhani kuwa mapenzi ni utajiri lakini leo hii nyumba zao wanaziona vituo vya polisi...magari ya kifahari yamegeuka sumu kwao kutokana na mateso wayapatayo kwenye ndoa zao..wengine wanashinda baa kupoteza mawazo na hatimaye wanageuka kuwa walevi mbwa......
Wapo waliodhani pendo linahusiana na sura ya mtu....leo hii wamewakimbia waume zao au wake zao kwa kushindwa kuyavumilia mateso makali ndani ya ndoa.....ninachowahusia vijana wenzangu ni kuwa kila jambo lina wakati wake na taratibu zake...tusipende kulazimisha mambo....Pendo la kweli huja automatic wala halilazimishwi....na wakati ukifika nawe utampata wako aliyeandaliwa kwa ajili yako...
Umeongea ukweli kabisa.
 
Tatizo sio pesa kwanini awe na kiburi kisa tu anakazi. Yaan haonyeshi heshima kwa mwanaume wala kutimiza wajibu kama mwanamke ndani ya nyuma...

Ukiona hivyo ujue amebeba jukumu la kuwa mwanaume. Kama ana mwanaume anayejua jukumu hawezi fungua mdomo wake kuongea kauli za kijinga. Mfanye awe mwananke na wewe uwe nwanaume hutaona shida
 
We! we! we! babu yako yupo fiti kunako 6×6 acha kabisa, yaani sitaki nikuueleze sana maana usije ukaiba maujuz ya kumuonyesha mwali wangu, ila babu ni nouma, miaka 60 kama anamiaka 27 vile. ngombe hazeki main mjukuu,

samtaim natamanigi ningekuwa naona baadhi"clip in real life" ya vitu wadau wanavyotambia humu jukwaani,maana kila mtu huku ni perfect/bingwa/anajua/anaweza/clever/smart n.k n.k (...ila kama tunatumia i.d fake % kubwa ya yasemwayo ni fake pia!!):becky:
 
samtaim natamanigi ningekuwa naona baadhi"clip in real life" ya vitu wadau wanavyotambia humu jukwaani,maana kila mtu huku ni perfect/bingwa/anajua/anaweza/clever/smart n.k n.k (...ila kama tunatumia i.d fake % kubwa ya yasemwayo ni fake pia!!):becky:

Anza kuweka yako tuone:director:, unamuonea wivu hadi babu we mtoto, uandishi wako umekaa ki wivu wivu vile. ha ha ha ha ha. pamoja mkuu
 
Kama wewe ni sperm donor kwanini kazi yangu isiwe mume wangu

Hahaaaaaaa!, spit it gal, spit it.....lol!
Let 'them' donate, and Let my job take care of me, and we're even!
 
..that's why you gotta be careful on your choices, don't just fall for a man coz he's got balls...! during courtship, you gotta talk about everything, including career & profession..be sure that you understand each other well, have a lot in common then you can make a second step..that's the meaning of courtship na sio kufanya research kama aweza kudinyana tu ili awe mume..NOPE...!

Wapo wasaiopenda wake zao wafanye kazi, lakini je wanaweza kuwahudumia 200%, most of the time the answer is NO! And if you sacrificed your life ili usome na kuwa na career, kwa nini leo mtu anakukuta ukubwani anakukataza usifanye kazi?? Akifa je, anaweza kukuachia rasilimali za kuiendeleza familia?

Eli79....asee wewe yaani leo tungekuwa tume bet pesa ungenifilisi, na tunge bet shots?!, ningetambaa...lol!, me liking this!
Kuelewana is most important, once you compromise, especially in the begining?, that's it, and that's why most relationships/ marriages fail. Well there's no such thing as perfection but some fail is unnecessary or could be avoided from the beginning, before you set yourselves up for anything.
 
Last edited by a moderator:
Wengi wenye msemo huo, huwa kwenye kundi la watu wakosaji a.k.a "sizitaki mbichi hizi".

Au huwa wamelikologa kwenye ndoa zao then wanatafuta pa kuegemea ndo hapo utasikia "Job is ma every thing".

Asikudanganye mtu, ndoa ukiipatia ni tamu sana wajameni, but ukiikosea vice versa is true na ndipo hutokea maneno kama hayo ya ukosaji.
 
Kaka kwani mtu kusema kazi yangu ndio mume wangu ni dharau? je angemwambia boss wangu ndio mme wangu hiyo ingekuwa heshima? mim sifurahii binadam yoyote kumdharam mtu, ila sipendi mwanaume mzima anapokuwa tegemezi hiyo tabia naipiga vita kwasababu wanawake tupo wengi sana, sasa mwanaume kupenda kuhudumiwa mjin hapa ataolewa na kufanya wadada waendelee kukosa ndoa. mwanaume anatakiwa kusimama sehemu yake


Mda ambao mwanaume anatakiwa kusimama sehemu yake na mwanamke anasimamia wapi???

Samahani, Naomba kukuuliza, umeolewa?? Au umewahi kuolewa???
 
puh! Leez!,.....nyie ME wa kuaminika siku hizi mpaka nisithamini na kuwa serious na kazi yangu kwa ajili ya ME?!, na pia kama naweza fanya kazi kwa nini ni kiss @$$ na nitegemee ME?! Also, kuheshimiana ktk mapenzi should be a two way street without discriminating on who wear bigger pants in the house, and FYI, by me valuing my job over you!, I can have both, YOU, the job and freedom to do WHATEVER!, stay around but am not going to value you over my job, after all,

The house I live in, I depend on Me!
The car am driving, I depend on Me!
The thong am wearing, I depend on Me!

Oooooops! For this, sina budi na Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya mke wangu.

Eeeee Mungu, usiache kumpa hekima Mke wangu azidi kutambua thamani ya ndoa yake kila iitwapo leo.
 
Back
Top Bottom