ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,852
- 131,808
Apologise lady, is it a personal issue? Talk to him...let him know how you're troubled. Badala ya kuilalamikia dunia ongea nae, you seem troubled bidada..!Kaka kwani mtu kusema kazi yangu ndio mume wangu ni dharau? je angemwambia boss wangu ndio mme wangu hiyo ingekuwa heshima? mim sifurahii binadam yoyote kumdharam mtu, ila sipendi mwanaume mzima anapokuwa tegemezi hiyo tabia naipiga vita kwasababu wanawake tupo wengi sana, sasa mwanaume kupenda kuhudumiwa mjin hapa ataolewa na kufanya wadada waendelee kukosa ndoa. mwanaume anatakiwa kusimama sehemu yake
Last edited by a moderator: