Kazi yangu ndio mume wangu

Kazi yangu ndio mume wangu

we naye udhaifu wako kumbe ni wanawake wasomi si utafute wa level unayoitaka
 
Hapo kwenye nyuma natumaini ulimaanisha nyumba......
Tatizo hamuwapigi pumbu barabaraaa hao wanawake wenu.

Ha Ha Ha Unapga Pumbu Na Maneno Mazuri Unampa Yakumfanya Kila Muda Akufikirie Siyo Unachomeka Tu Na Swagga Huna Mwanamke Hapo Atasepa
 
Hivi inakuaje mwanamke anakuambia kua kazi yangu ndio mumewangu. Ina mshahara ndio mume...wanawake wasomi wanasumbua sana..yaana kama mume hayupo mshahara ndio unaguswa na kama yupo mshahara hauguswi .

Hapo ni km wewe ukisema pesa ndo kila kitu, hata kwake ni hivyo. Akitaka kigegedwa pia anaweza maana pesa anayo, vijana wenye nguvu kbao wana subirigi majimama kama hayo. Cku hz kuna madanguro ya wanaume, wamama wajane, walioachika na wasioridhishwa huwa wanenda kupata huduma hapo. Sifa za vijana pale huwa wanapima inches,7 , 8 na kuendelea. Ukikutana na mama akakupenda unavopiga pipe,anakuomba umuoe kabisa.
 
Mwanamke msomi

Wenye sura zenye mvuto na handsome

Wanawake wa kichaga

Wanawake wenye makalio makubwa

Wanaume na wanawake wa kishua/wa kiswazi

Michepuko

Ndio vitu vinavyoongoza kwa kufanyiwa uchunguzi wa kipseudo humu Jf.
 
Hayo ni maneno ya mfa maji mie nadhani, hana option zaidi ya kuithaminisha kazi yake na mume...coz that's what she's got.
 
Kila siku nasema mzizi mkuu wa ndoa imara ni upendo wa dhati uliowaunganisha wanandoa na sio fedha, magari na majumba ya kifahari..kwa kuwa kwenye pendo la kweli ndani yake kuna kuheshimiana, kuthaminiana pamoja kujaliana...kauli za kipuuzi ndani ya ndoa huibuka baada muda fulani baada ya mmoja kati ya mwanandoa kugundua kuwa hakufanya uchaguzi sahihi.....
Wapo waliodhani kuwa mapenzi ni utajiri lakini leo hii nyumba zao wanaziona vituo vya polisi...magari ya kifahari yamegeuka sumu kwao kutokana na mateso wayapatayo kwenye ndoa zao..wengine wanashinda baa kupoteza mawazo na hatimaye wanageuka kuwa walevi mbwa......
Wapo waliodhani pendo linahusiana na sura ya mtu....leo hii wamewakimbia waume zao au wake zao kwa kushindwa kuyavumilia mateso makali ndani ya ndoa.....ninachowahusia vijana wenzangu ni kuwa kila jambo lina wakati wake na taratibu zake...tusipende kulazimisha mambo....Pendo la kweli huja automatic wala halilazimishwi....na wakati ukifika nawe utampata wako aliyeandaliwa kwa ajili yako...
 
Na nyinyi mnatuchosha bhana kila siku mwanamke msomi mwanamke msomi mwanamke msomi.. Tatizo mmekuwa waoga mna shindwa kutimiza majukum yenu bhana aaaahgrr ***** ....

AnAza BOGA LAMA MKWERE
 
sasa kama unajua wanawake wasomi ni shida unahangaika nao wa nn? kwani wasio wasomi wameisha?? tafuta pesa huko uone km utadharauliwa, wanaume suruali bwana!!!! aaaggggrrrr

Huu ndo ushamba sasa
Kwan mtu unatafuta mwanamke msomi au inatokea tu? Jiongeze mama
 
Vumilia Chief Ndio Ndoa Hizo, Muombe Mungu Atajirekebisha!
 
Kila siku nasema mzizi mkuu wa ndoa imara ni upendo wa dhati uliowaunganisha wanandoa na sio fedha, magari na majumba ya kifahari..kwa kuwa kwenye pendo la kweli ndani yake kuna kuheshimiana, kuthaminiana pamoja kujaliana...kauli za kipuuzi ndani ya ndoa huibuka baada muda fulani baada ya mmoja kati ya mwanandoa kugundua kuwa hakufanya uchaguzi sahihi.....
Wapo waliodhani kuwa mapenzi ni utajiri lakini leo hii nyumba zao wanaziona vituo vya polisi...magari ya kifahari yamegeuka sumu kwao kutokana na mateso wayapatayo kwenye ndoa zao..wengine wanashinda baa kupoteza mawazo na hatimaye wanageuka kuwa walevi mbwa......
Wapo waliodhani pendo linahusiana na sura ya mtu....leo hii wamewakimbia waume zao au wake zao kwa kushindwa kuyavumilia mateso makali ndani ya ndoa.....ninachowahusia vijana wenzangu ni kuwa kila jambo lina wakati wake na taratibu zake...tusipende kulazimisha mambo....Pendo la kweli huja automatic wala halilazimishwi....na wakati ukifika nawe utampata wako aliyeandaliwa kwa ajili yako...

Asante mkuu kwa maneno yenye hekima!!
 
Dada mbona nakuona unafurahia sana wanawake wenzio wanapowadharau waume zao......??

Kaka kwani mtu kusema kazi yangu ndio mume wangu ni dharau? je angemwambia boss wangu ndio mme wangu hiyo ingekuwa heshima? mim sifurahii binadam yoyote kumdharam mtu, ila sipendi mwanaume mzima anapokuwa tegemezi hiyo tabia naipiga vita kwasababu wanawake tupo wengi sana, sasa mwanaume kupenda kuhudumiwa mjin hapa ataolewa na kufanya wadada waendelee kukosa ndoa. mwanaume anatakiwa kusimama sehemu yake
 
Kiongozi ukiona hivyo ujue nyuma ya pazia kuna shida kubwa...!

Ukiwa tegemez utaiona shida kubwa sana huko nyuma ya pazia, ukiwa mwanaume unayejitambua, mbona kawaida sana. ukwel lazima mpewe
 
Back
Top Bottom