Na nyinyi mnatuchosha bhana kila siku mwanamke msomi mwanamke msomi mwanamke msomi.. Tatizo mmekuwa waoga mna shindwa kutimiza majukum yenu bhana aaaahgrr ***** ....
sijakuelewa hata kidogo
unahitaji nini
pesa au nini
Tatizo sio pesa kwanini awe na kiburi kisa tu anakazi. Yaan haonyeshi heshima kwa mwanaume wala kutimiza wajibu kama mwanamke ndani ya nyuma...

Nakupenda bure,kwa maswali haya ya msingi...
Mwanamke kua na heshima kwa mumewe haijalishi ana kazi au hana.
Kama mjeuri ni mjeuri tu, ikiwa hana kipato ataficha tu makucha ila ipo siku atayatoa tu.