Kazi ya pesa ya mwanamke ni kufanya nini?

Kazi ya pesa ya mwanamke ni kufanya nini?

Hamna kiumbe mbinafsi kama mwanamke na ndio maana kuna baadhi ya watu wanapenda kuoa wamama wa nyumbani.Hapo utakuta anakazi kurudi saa mbili kutoka saa kumi na mbili,akiguswa usiku anasema amechoka, hela yake haionekani.
Hicho ndicho nacho uliza mimi kazi ya pesa yake inakuwa kufanya nini ?
 
Wanawake ni wabinafsi, wao wanasema msemo mmoja tuu KUJIPENDA NDIYO KITU NINA JUA, hilo nendo ndani yake ni UBINAFSI TUU hakuna kingine, sasa wanaume sisi hatujipendi tupo busy muda wote kuwaangalia wao na kuwahudumia ndiyo maana wanawake wana ishi muda sana kuliko sisi sababu sisi kazi yetu ni kutoa tuu na kutafuta, bado kelele nyingi wanapiga na isitoshe anataka uishi vile yeye ana taka, maswali ya kukera, kama umetoka wapi,ulikuwa wapi na nani, ulikuwa busy na malaya zako na maneno mengi ya kijinga.
Hii ni moja ya sababu wanaume wana kufa mapema, hakuna sehemu ime andikwa wanaume watakufa mapema kuliko wanawake ila ni mtindo tuu wa maisha na namna mwanaume anavyo bebeshwa majukumu makubwa sana na wakati huo huo Mwanamke akiaminishwa kazi yake yeye ni kulelewa tuu na kuhudumiwa plus maneno wanayo danganyana kama KIKUBWA MAOKOTO,MWANAMKE MATUNZO haya maneno yana walemaza na kujisahau mwisho wa siku wanaonekana kama wao ni walemavu wa mtindio wa ubongo.
Ndiyo maana wanaume miaka hii hawapendi ndoa sababu wanaona ni kero,mzigo.
We angalia mwanamke wa kizungu hana fikra kama hawa wanawake wa kibongo. Utatoka naye out malipo atakuambia 50 50, wao wana amini kwenye kusaidiana kikubwa tuu uwe muaminifu kwake nje ya hapo mme kosana mazima.
Mwanamke wa kibongo sasa yeye ni hela tuu anaona mwanaume ni bank ya hela na suluhisho la kila aina ya matatizo.
Utasikia mama wa kibongo anasema yaani binti yangu hana kazi, ila haina shida si ata olewa tuu. Sasa kuolewa ndiyo kupata kazi au suluhisho la matatizo. ?!
So mabinti tangu wako wadogo wana jazwa ujinga na mama zao akija kuwa mkubwa ndiyo hivyo samaki huwezi mkunja aki kauka utamvunja tuu, so ataona una muonea sababu alisha lishwa matango pori tangu kitambo.
Mawazo yangu ni hayo...ongezeeni na nyie.
 
Back
Top Bottom