Kazi ya mke ni ipi nyumbani?

Ebu tuwekee hayo mazingatio kwa faida ya wengi
1. Mke kutii: ikiwa wewe ni mke, inatakiwa kusikia sauti ya mume wake hata kama anakipato cha chini au anamapungufu fulani, au ni mwenye dhambi, Unapaswa umtii na ujishushe kwasababu hayo ndiyo maagizo ya Mungu.
2. Mwanaume kupenda: ukimpenda mtu unamuwaza, unamfkiria, unamtendea mazuri na mema, unafanya mambo Kwa ajili yake unamjali, unampa dhamani, Unampa anachostaili, unamsikiliza, na kuheshmu, huo ndo Upendo.
 
Je mwanaume kuachiwa watoto, kuosha vyombo, kudeki nyumba n.k ni sehemu ya upendo?
 
Inatakiwa kabla ya kuingia kwenye ndoa; tujue kwanza majukumu ya kila mmoja; bila kufanya hivyo, ndio haya yanayotokea huku duniani; mzee yuko kwenye ndoa, lakini kiuhalisia anakuwa hana tofauti na yule aliye singo.​
Kuna sisi ni wazee wa sheria na kunyoosha...
An aamue yeye ashabikie yanga au ahame..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom