Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Huyu jamaa wacha afanye kazi kwa kweli maana kama ni akili anazo za ziada kwa kweli sana tena...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Tundu Lissu utampenda akifanya utani na akiwa serious , vyote vinachekesha, vinatia moyo, vinafungua njia.....na vinawatisha waovu......imagine watu wawili tofauti, mmoja apewe Mwigulu Nchemba, na Mwingine apewe Tundu Lissu ktk observation halafu waambie ni wawakilishi wa Singida..ukiwaulia hao watu wanaonaje watu wa singida kitaifa....wa mwigulu atasema maneno mabaya sana kuhusu watu wa singida, wa Lissu anaweza toa sifa za kutisha juu ya watu wa singida.....huo ndio uwakilishi.
 
mwambie kwanza aajiri dereva na ampe mkataba wa kazi kwa maana analipwa fedha kwa ajili hiyo, na huo umungu wake uanzie hapo, sio maneno tu, kuongea kila mtu anaweza!


ni kweli watu wengi wanaongea, ila kuna wengine wanabwabwaja, kama ww unabwabwaja na lisu anaongea
 
Tundu Lissu hakuna wa kumfananisha naye....!!!! Ni jembe
 
Kinana na nape pamoja na mwimba ngonjera makamba sr wote ni majanga kwa taifa hili, mungu azidi kukulinda lissu.
 
lissu na mwigulu na sawa na mbingu na ardhi au mungu na ibilisi,lissu kichwa kimetulia na ndo icon ya wanasingida lakini mwigulu hata shetani ana unafuu
 
mwigulu kazi yake ni kula wake za makada wenzake wa CCM ua hujui hilo na wewe angalia
 
Kamvua nguo werema juu ya sheria ya awali haikua na kipengele cha replacement ya mjumbe wa kuteuliwa.Werema akainamisha kichwa
 
..huyu ni mwanasheria nguli, na ameshiriki kuandika kanuni za uendeshaji wa bunge la katiba.

..kwa mtizamo wangu huyu alistahili kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa bunge letu la katiba.

cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Anastaholi kua waziri wakuongoza maandamano ya wapinga democrasia nyambafuu
 
Wapuuzi huwa hawakosekani hata katika mambo ya ukweli. Hivi Tundu Lissu unaweza kulinganisha na mamburura wa ccm? how?
 
Back
Top Bottom