Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Umetumia vigezo gan! mpaka ukasema hivyo? Lisu anajib kama nan! Kwanza jiulize hilo.
Acha kukurupuka

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Bila kuweka ushabiki wowote, Lissu ni mwanasheria nguli kabisa... Cheki anavyojibu hoja za kisheria kwenye bunge la katiba...
 
..huyu ni mwanasheria nguli, na ameshiriki kuandika kanuni za uendeshaji wa bunge la katiba.

..kwa mtizamo wangu huyu alistahili kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa bunge letu la katiba.

cc Pasco

aahaaha... Uvumilivu wa Kifimbo angeweza wapi? Lazima angepiga mtu.......
 
Mkubali au Mkatae TL ni Mwanasheria mwenye uwezo mkubwa sana na siku yaja atakuwa Kiongozi Mkubwa kati ya Viongozi wengine humu Nchini.
 
Lissu ni jembe ila yale "mashetani" ya pale ufipa yanataka kumuharibu.Mbowe na Dr.Slaa please msituharibie Jembe letu bado anahitajika kulisaidia hili Taifa!!
 
Umetumia vigezo gan! mpaka ukasema hivyo? Lisu anajib kama nan! Kwanza jiulize hilo.
Acha kukurupuka

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Wewe ndo umekurupuka kama fungo aliyekuwa anajisaidia njiani! Hujui kuwa Lisu ni mjumbe wa kamati ya Mahalu iliyotengeneza kanuni zinazojadiliwa na wajumbe wa kamati ndiyo wanaojibu maswali ya wabunge wanapohitaji ufafanuzi au kutoa mapendekezo!

Uwe unafatilia mjadala kabla ya kukurupuka na kuanza kuandika!
 
tundu lisu ni kichaa. ametoraka milembe .ni mgonjwa wa akili wa kigwangala
 
..huyu ni mwanasheria nguli, na ameshiriki kuandika kanuni za uendeshaji wa bunge la katiba.

..kwa mtizamo wangu huyu alistahili kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa bunge letu la katiba.

cc Pasco

Kuendesha kundi kubwa kama lile inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Lisu angewatimua watu nje.
 
Kwa masuala ya sheria msimamo katika anachokiamini ni mzuri sana na anauwezo mkubwa, kitu ambacho kimetengenezwa na bidii zake za kusoma sana
 
Kuendesha kundi kubwa kama lile inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Lisu angewatimua watu nje.

..i dont think so.

..ukifuata kanuni na haki huwezi kuingia ktk migogoro na wabunge.

..Makinda na Ndugai huwa hawafuati kanuni pale wanapotimua wenzao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom