1. Msomi wa Shahada ya Uzamili ya Sheria
2. Wakili Msomi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na nyinginezo isipokuwa Mahakama ya Mwanzo
3. Mwanasiasa kijana machachari na Mbunge wa Singida Mashariki kupitia CHADEMA
4. Mjenzi mzuri wa hoja kwa kutumia takwimu,maandiko,taarifa rasmi na ushahidi uliosheheni ukweli
5. Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA
6. Mwanasiasa mwenye aina ya pekee ya uzungumzaji na mshawishi kwelikweli
7. Mwanasiasa jasiri,mkweli na anayeakisi aina ya viongozi na Wabunge waliopo CHADEMA
8. Msemakweli wa Taifa hili na hazina ya kimawazo tuliyonayo kama nchi
9. Mwanasiasa anayeendana na wakati na mazingira yaliyopo katika kujenga hoja zake
10. Mfano wa kuigwa...........no research,no right to speak
Na huyo ndiye Wakili Msomi na Mbunge/Mjumbe Tundu A.M.Lissu!