Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

Hua namuonea huruma sana AG Werema jinsi anavyo nyanyasika kwa TL yan had jaji mzima anatamani kulia kwa jazba jinsi Tl anavomvua nguo
 
Tundu Lissu siku zake zina hesabika ndani ya chadema ukisifiwa na mpinzani basi wewe ni msaliti na Olesendeka amekwenda mbali zaidi.

Siku si nyingi Tundu Lissu atapigwa tofali na mwenye kiti wa chadema baunsa.

Tundu lissu ameamua kuhama kambi ya Mbowe na Slaa sasa amerudi kambi ya watanzania hili swala litamponza kabisa.

Siku za Lissu ndani ya Chadema zina hesabika.

Chadema walimharibu Lissu na sasa yeye mwenyewe kazinduka.

Ataitwa majina mengi huyo msaliti muhaini nk
 
Last edited by a moderator:
Tundu HUWA ANAMSUMBUA BIBI PALE MJENGONI HALAFU KWENYE DISCO WANACHEZA WOTE TENA ZERO DISTANCE!!#tyta Njoo fanya kazi yako basi!!!
*TEAM LISSU
 
Huyu bwana Tindu Lissu ni mtu mmoja wa kawaida saana sema anaitumia taaluma yake vizuri so sishangai sana.
sema anatoa changamoto kwa wengine..ile ni taaluma yake tena tumemsomesha kwa fedha zetu sis wana nchi so inabid arudishe fadhila kwa kufanya kinachompasa.
 
Mkuu.
Lissu ndo anafaa kuwa Rais wa hii nchi.
Full stop

Kuwa Rais wa nchi hii? Sina hakika na hili! Kwa mtazamo wangu he is a good material to support a president but not himself being one
 
Wabunge nchini wanaenzi sana amani. Licha ya tofauti zao za mara kwa mara bungeni na ambazo wakati mwingine huongozwa zaidi na ushabiki wa vyama vyao kiasi cha kuzomeana na hata kushtakiana mbele ya Spika wa Bunge. bado waheshimiwa hao huonekana kuwa ni kama marafiki wawapo nje ya 'mjengo' wa Bunge.

Hali hiyo ilijidhihirisha jana wakati Mhe. Tundu Lissu, Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki (CHADEMA) alipoonekana nje ya 'mjengo' akichati bila hofu na Mbunge wa Jimbo la Simanjiro (CCM), Mhe. Christopher Ole Sendeka.

Ikumbukwe kuwa juzi, Mhe. Tundu Lissu alimlipua Ole Sendeka wakati akizungumza na waandishi wa habari, akimtaja kuwa naye ni miongoni mwa wabunge wanaotuhumiwa kwa kashfa ya kutanguliza maslahi yao binafsi na kutumiwa kuwatetea wafanyabiashara wa mafuta walionyimwa tenda ya kuiuzia TANESCO mafuta ya kuendeshea mitambo ya kufua umeme ya IPTL.

Kutokana na Lissu kumtaja Ole Sendeka juzi, Mbunge huyo wa Simanjiro alikuja juu na jana akaomba mwongozo wa Spika ili ajue kama ibara ya 100 inayotoa kinga kwa wabunge inaweza kumkwaza katika kutimiza dhamira yake ya kumburuza Tundu Lissu mahakamani kutokana na kile alichodai kuwa ni kumdhalilisha kwa kumzushia mbele ya waandishi wa habari kuwa anatumiwa kuwatetea wafanyabiashara wa mafuta.

Hata hivyo, wakati akitoa ufafanuzi juu ya mwongozo alioomba Ole Sendeka, Spika wa Bunge, Mhe. Anna Makinda, alisema kuwa anampeleka Tundu Lissu katika Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ili awe shahidi namba moja kuthibitisha tuhuma kwamba kuna wabunge wanaokula rushwa na kutumiwa na wafanyabiashara na pia wengine hutetea maslahi yao binafsi kwa kufanya biashara na TANESCO.

Spika alisema vilevile kuwa ibara ya 100 inamkinga Lissu dhidi ya kusudio la kuburuzwa mahakamani kwa vile alizungumza na waandishi wakati akiwa kwenye eneo la Bunge. Akawasihi wabunge kuwa na subira wakati kamati ya uongozi ikishughulikia tuhuma za kashfa ya rushwa dhidi ya baadhi ya wabunge, hasa wa kamati aliyoivunja ya Nishati na Madini.

Licha ya mgongano wao wa ndani ya Bunge, waheshimiwa Ole Sendeka na Tundu Lissu walionekana nje ya Bunge baadaye wakizungumza pamoja pasi na kuonyesha dalili zozote za uhasama baina yao. Yaani ilikuwa ni amani, hakuna shar
 
Hujui kuandika kiswahili wala kiingereza Labda uandike kimarangu.HALAFU WEWE UPO CHADEMA HALAFU UNAMSHABIKIA MAMVI!!

nani kakuambia nipo chadema we pimbi au wanapofanya vizuri wasifiwe na suala la kumsifia don king hilo halina ubishi mimi kama mjumbe wa kamati kuu ya ccm hili ndio jembe lilobaki ndani ya chama.
 
Tundu Lissu siku zake zina hesabika ndani ya chadema ukisifiwa na mpinzani basi wewe ni msaliti na Olesendeka amekwenda mbali zaidi.

Siku si nyingi Tundu Lissu atapigwa tofali na mwenye kiti wa chadema baunsa.

Tundu lissu ameamua kuhama kambi ya Mbowe na Slaa sasa amerudi kambi ya watanzania hili swala litamponza kabisa.

Siku za Lissu ndani ya Chadema zina hesabika.

Chadema walimharibu Lissu na sasa yeye mwenyewe kazinduka.

Wewe acha upuuzi wa kuota ndoto za Alasiri.
 
Last edited by a moderator:
Kupata elimu ni jambo moja kuitumia ni jambo jingine. Nasikia kuna profesa wa electronics lakin sahv hana wizara maalumu. (misallocation of resources)

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Hata kwenye biblia na kuran imeandikwa kuna wanadam wanatembea lakin kumbe walishakufa naona hata humu jf watu hao wapo.inakuwaje watu wengine wanakuja humu kutetea uovu ndani ya jamii? Kwani uovu ni mzuri kwa maendeleo ya taifa? Je hawa watu wanataka kuishi kwenye taifa la namna gan?
 
Naomba tuanze kuchangia ndoto ya tanzania 2025 (national vision2025) je wanasiasa tulionao watatufikisha huko? Njia tunazoenda nazo mbona ni kama gari bila dash board hata hatujui km/h tunazoenda nazo kama zitatufikisha baada ya masaa 11x360x24.
 
hujaelezea kimntiki lissu amefanya nn kikubwa,toa mifano iliyo hai!!km anakutuma umfagilie hapa ni ma grt thnkers,jipange sn na makala zako ndefu zisizo na kichwa wala miguu!!!lisu ni dhaifu sn tena akiwa mwanasherian mkuu ataipeleka nchi pabaya kwa jazba,hila na wivu,bora alberto msando kuliko lissu!!!
 
Wakuu JF, Amani iwe nanyi.

Mara nyingi sana nikiwaga Namuangalia Lissu, the way anavyojengaga Hoja, the way anavyopanguaga Hoja, hasa hasa zile Hoja za kutungwa na watu wenye Roho za Kishetani, sina haja ya Kuwataja, Mnawafahamu nina Uhakika,the way anavyojielezea Mbele za Watu na Mbele ya Kadamnasi kwa Ujumla.
Na Pia, Kila nikiangalia Kazi za Mikono ya na Kichwa cha Lissu, Matokeo yake yanadhihirisha Huyu Kamanda ametumwa na Mungu.
Kama nikiorodhesha Kazi alizo zifanya Lissu, Nadhani the list will be endless, the list will be infinite.

Ila Hawataubadilisha ukweli ulio wazi kuwa, Tundu Antipasi M Lissu ni Alama ya Uwepo wa MUNGU CHADEMA , Tanzania na Duniani kwa Ujumla

=================================
Hili la Dodoma linazidi kunifanya niamini kuwa Lissu ni Zaid ya Nabii kwa wa Tanzania

=================================

Ushahidi zaidi.
=======================

Kwa yanayojiri Dodoma kwa wale tunaofuatilia Bunge Maalum la Katiba bila kuweka ushabiki na unazi wa Kichama.
Huyu Jamaa ni Nguli na Gwiji Kabisa katika tasnia ya Sheria, ameonesha kuzielewa,kuzi mastaer na kuweza kuzi tafsiri vyema kabisa kanuni za uendehsaji wa Bunge la katiba based on Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
Lissu ameendelea kuwafumbua macho watu wengi waliokuwa wanashadadia kwenye kupitisha vifungu vya Kipuuzi kabisa kwenye Sheria ya Mabadiliko ya Katba bila kujua Madhara yake kwenye utekelezaji wake.
Tunaona sasa ni jinsi gani Kanuni zenye afya kabisa zinashindwa kuwa accomodated kwenye kanuni za uendeshaji wa Bunge la Katiba kwa kuji contradict na Sheria Mama ya Mabadiliko ya Katiba.
Mungu Mbariki tundu Lissu.
============================

Ushuhuda wa Dhahiri.

Leo tumeona Gamba moja wapo Sugu kabisa Ole Sendeka liki mu appreciate Mh Lissu na kumuomba Rais JK amteue Mh Lissu kuwa waziri wa Sheria...
Hii ina Maana kuwa wote waliowahi kushika wadhifa wa uwaziri wa Sheria including Mama yetu yule anayesemekana ku Prove failure UN kuwa si lolote si chochote mbele ya Mh Lissu.

Na Bado
=============================

Waone Pasco, Zogwale, MTAZAMO, Mimibaba Mchambuzi, Mzee Mwanakijiji, Invisible Mungi Arushaone mwanampotevu , bila kuwahasu wanazi wa ACT (Allience for Cowards and tratitors) betlehem , Dotto C. Rangimoto , Boko harama na wale wa Buku 7 FC Wakiongozwa na Ritz

Na bado,, ipo siku wote mtakimbilia ACT,,,
 
Back
Top Bottom