Kazi nzuri ITV, Said Mwema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi nzuri ITV, Said Mwema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Oct 3, 2008.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Oct 3, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Napenda kuwapongeza ITV kwa kazi nzuri ya kufichua rushwa inayoliwa na Polisi wa Trafiki. Aidha napenda kumpongeza Jerry Muro kwa kuwa imara na kwa namna ya kipekee alivyofanikisha kuchukua vema picha za polisi hawa wala rushwa na kuliaibisha jeshi letu na polisi wa usalama barabarani.

  Pia nalipongeza Jeshi letu la Polisi kwa kuchukua hatua madhubuti baada ya kugundua kuwa kilichooneshwa na ITV ni kitu sahihi na kuwasimamisha kazi mara moja wafanyakazi 11.

  Congrats, keep this good job!
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  weenaye bwana!

  sijui ndio starehe zimekujaa au sijuinini

  mimi nilifikiri ITV wametoa info jinsi JF ilivyothabiti

  yaani rushwa za traf9ki zimekuwa big deal

  hebu tupishe sie
   
 3. M

  Masatu JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mzee tupe kwa upana zaidi kulikoni mbona habari inakosa vionjo fulani fulani hivi...
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Oct 3, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Masatu,

  Iko hivi, kuna kipindi kilirushwa na Jerry Muro wa ITV, wengi walidai ni risk kwake kwakuwa amewagusa polisi.

  Aliitwa leo (nikapata taarifa toka kwa member mmoja wa JF) na kuwapelekea mkanda wa kipindi kilichorushwa na kituo chao, wakawatambua askari hao na kuwachukulia hatua haraka iwezekanavyo, mkanda huo umetolewa nakala na kusambazwa nchini kote.

  GT,

  [​IMG]
   
 5. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #5
  Oct 3, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Babangu,

  [​IMG]

  Hawa jamaa wamekuwa kero sana, najua kama umefika Bongo siku si nyingi basi kama ulikuwa na safari ya kwenda mikoani tokea Dar yatakuwa yamekukuta ya kusimamishwa kila sehemu na kuliwa walau 20,000 kwa makosa usiyoelewa elewa na ukiwanyima basi utacheleweshwa hadi ukasirike kabisa!

  Jeshi letu likiwa safi basi linaweza kupambana na wachafu wengine!
   
 6. Waga

  Waga JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2008
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hahahaha, Kwa jinsi nilivyofuatilia post za GT,kwa kweli ninaingiwa na wasi wasi kama huyu ndiye yule yule GT mwenye hoja nzito zinazojenga na kuamsha waliolala, sitaki kuamini kama ndiye huyu ameamua kuwa mpinga watu hapa JF, sitaki kuamini pia kama anaweza akawa amenunuliwa na mafisadi kama alivyonunuliwa MTIKILA, Ninachotaka kukiamini ni kuwa GT ameamua kufurahisha baraza kwa muda mfupi then atarudi kwenye mstari wa comments zinazojenga na kutetea maslahi ya taifa hili la WATANZANIA.
   
 7. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Its about time somebody did something, arusha - moshi wanatutesa kama nini. Fire extinguisher, licence, kadi ya gari. Kama unavyo, oh nina njaa sijanywa soda, so? Na sio kwamba i drive a bonite truck, its a starlet, tena two door jamani. The other day someone was simamishwad eti, wewe mbona mdogo hivyo? eeh? na they had a legal licence, eeeh! eh!
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Oct 3, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  waga,

  GT hajatumwa, na kama katumwa basi katumwa na wananchi. Kutofautiana mitizamo ni jambo zuri sana katika mijadala kama hii.

  Nkamangi,

  Hapa umeniua kabisa!
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Waanandugu hakika kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho...
  Waheshimiwa sana wale wakina trafiki naona sasa wameanza kuwa makini hata kwenye kupokea na jinsi ya kupokea rushwa....
  Hivi majuzi itv imeanza kuwaonyesha wahuni na wahujumu uchumi live .......nafiikiri hii inabidi iende maofisini pia tuonyeshwe na risiti zao jamani.......na jinsi wanavyopekea pesa za rushwa .........
  Hata kama kila mtu anakula kwa ofisin kwake ila watakuwa wanakula na kwa adabu!!!!!
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Thanks Gerry Murro
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Kombe asema watashugulikiwa vilivyo na hakuna atakaebaki!!!!!mwema asema apongeza itv na kusema safari imeanza.....nimecheka sana wakati
  safari imeanza toka siku nyingi.....kuanzia ubungo pale mpaka mwenge..urudi posta........,
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Trafiki 11 wasimamishwa kwa rushwa
  Halima Mlacha
  Daily News; Saturday,October 04, 2008 @00:02

   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Gerry nipigie no hii tuma kwanza msg
  ndio napokea,....ntkupa list ya hao vifisadi hapa dar
  then ntakupa mcongomwingine wa kutoka nao live kaka!!!!ila siku ziendavyo kumbuka kuwamaliza na wa maofisini hasa halmashauri za kinondoni na ilala na temeke rushwa njenje....tender wanapewa wenye hela zao tu rushwa kwanza ..ukitaka hiki pesa kwanza
   
 14. Mushobozi

  Mushobozi JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2008
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 543
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  tatizo, ni pale AGP alipoamua kuwahamisha vituo, badala ya kuwasimamisha kwa uchunguzi kamili.
   
 15. M

  Mage Member

  #15
  Oct 4, 2008
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haaaaaaa,hhaaaa

  Duh imetulia Hiyio yan hao mabibiarusi wa Moshi hawako serious wanafananisha starlet na truck la coke mmmbut may be starlet yako ilikuwa red in colour.......

  LOL
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ingetokea kwa wenzetu weupe tungesikia yafuatayo;-
  IGP kajiuzuru-kwa kutosimamia maadili.
  Waziri mhusika na maswala ya Polisi kajiuzuru.
  Na wengine wengi wangejiuzuru...maana ni aibu sana kwa jeshi la polisi tena mno rushwa LIVE kama wanaigiza vile kumbe ni true story dah...!
   
 17. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #17
  Oct 4, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Good lookin out fidel. If I knew you in person…I would take you to the strip and lap dances would be on me brotha…lol…
   
 18. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2008
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wengine wanakwambia fungua boneti tunakagua engine number!
   
 19. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kipindi cha ITV kuhusu ripoti barabaran kilichorushwa kwa ustadi mkubwa kimeweka mambo wazi na SAIDI Mwema amakubali kwamba matrafiki wanakula rushwa kwa kwenda mbele utafikiri kiama imefika. Serikali sasa inaweza kuchukua mbinu hiyo kuwanasa maaskari wengine wala rushwa. Maaskari walionyeshwa wakipokea rushwa wanaweza kufukuzwa kazi, je wale waliotoa rushwa watachukuliwa hatua gani? Na Je Jerry Muro aliyerekodi maovu hayo kwa ugunduzi huo na kazi nzuri atapewa zawadi gani?
   
 20. Mzee wa Gumzo

  Mzee wa Gumzo Senior Member

  #20
  Oct 4, 2008
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama hundred,
  wajua mara nyingi sana tumepiga kelele kwenye forum na mitaani kuhusu traffic.Mie mara mbili niliwahi kueleza kuhusu rushwa ya traffic polisi ubungo.

  Taarifa iliyotolewa na ITV ukweli kwa uwazi zaidi.Tatizo halianzii kwa Traffic bali kwa mwajiri wao has kitengo cha traffic.Kuna maeneo sugu kwa rushwa barabarani na wananchi wamekuwa wanatoa taarifa hata kupitia tovuti ya jeshi la polisi/Tatizo hatua hazichukuliwi hata kidogo.Imekuwa mazoea na zaisi sana baadhi ya wakubwa wanakula na traffic haohao.Traffic anapandwa eneo moja mwaka mzima kwa kuwa mkubwa wake anakatiwa % kila siku kutokana na rushwa.

  Hakuna cha risiti wala nini hiyo ni rushwa kavu kavu.Ndiyo Tanzania tuliyoahidiwa 2005.Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake ati
   
Loading...