Kazi na dawa

Nimesomeshwa na kanisa Katoliki.
Kuanzia Kidato cha tatu mpaka degree yangu ya pili ya Theology.
Nimelitumikia kanisa Katoliki (Parokia ya Ngokolo Shinyanga kama Shemasi) na (Parokia ya Itigi Singida kama Padri)

Miaka yangu zaidi ya 7 katika utumishi nimeshuhudia mambo ya ajabu kishenz...
Masista nao wanagongwa kama Hodi... Huamini nenda Kipalapala Tabora kaulize nini kilifanya masista nane kufukuzwa kwa kutoa siri za Padri alokua anawa gonganisha kwenye Mgegedo....

Sasa hivi nimehamia dini ya haki.
Kila kitu kipo on Straight line.
 
Sio mtaalam wa pombe,ila hapo kwenye kunywa harafu usilewe hapo ndipo mashaka yangu yalipo
It's simple. Ukila chakula lazima uvimbiwe? au hata kushiba? Uongo, umbea, usengenyaji nk hunatokana na kusema au kuzungumza. Kwa hiyo kusema au kuzungumza ni dhambi? Hivyo tusiseme wala kuzungumza? Watenda maasi wawe wamelewa au hawajalewa, ( majambazi, waizi, wauaji, waasherati, wazinzi and what have u) wote wanafanya hivyo kwa sababu wana uhai. Kwa hiyo uhai ni dhambi. Tusiishi!!!
 
Chanzo cha hii picha ni hiki hapa so inaweza ikawa photoshop maana imetumika tu kama changamsha jamvi.
 
Mbona hizo shule zao ndio zinafaulisha kuliko hizo zenu
 
Padre gani huyo ? na hao masister unawafahamu kwa majina ? au unaona mavaz tu, naweza amua kumvisha dada yoyote ilinitimize malengo yangu
 
Tatizo ni nini kwenye hii picha? Tatizo kunywa pombe au mahali wanapokunywia pombe au tatizo kupigwa picha?
 
Should be sick in the mind
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…