Iko hivi jiwe atawafuta uanachama wote tishio kwake wakiwemo wastaafu wanaowashwa washwa, baada ya kufutwa kwa kigezo cha usaliti,wataona njia pekee ni kukimbilia ukawa hivo itakuwa ccm b vs act,cuf,chadema,chauma, dhidi ya ccm makinikia ya jiwe,mpira ukiwekwa kati ccm makinikia chali Sababu makinikia inamiliki dola itaforce kuingia kingi kwa kutumia dola, dola ni sehemu ya wahanga wa mafao 25%,ndo itakuwa ajenda kuu watalitosa jiwe,ukawa vs ccm b chini ya Membe kwa msaada wa western country plus USA watamuangusha jiwe ataforce akiforce hana chake ndipo atapigwa dafrao hata waliomzunguka si wake wako naye akigeuza mngongo wanamg'ong'a kwani nao ni sehemu ya jamii, atajikuta yuko pekee yake.Akicheza ataingia 18 za wazungu watamtupa the Hague sehemu Salama kwa watu aina yake.Kumbe ni ndoto tu nawaza.