Kazi na bata vs hapa kazi tu

Kazi na bata vs hapa kazi tu

Kiukweli kama watu wanataka kula Bata bila kujali tija ya rasilimali zetu basi ni vema tukachagua chama cha mabepari cha Chadema. Na kwa uzoefu basi twende na Mbowe 2025 watu wale Bata hadi kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro.
Hakuna mwingine anayeweza kutupeleka katika Kazi na Bata na hata huyo @zittokabwe hawezi.

Usiku mwema!
Why 2025 ?
2020 tumaenda kumng'oa Baba ubaya
#Kazinabata2020
 
Mtumeee
Kama neno lisemavyo nitawasambaratisha adui zako na nitawapiga kwa pepo la kuchanganyikiwa na laana ya umasikini wao pamoja na vizazi vyao milele yote walahi
Imependeza sana hii
Hahahaha
mwenye chama Lowasa si jitu la mchezo mchezo atawarusha kichura chura bavicha mpaka mwongee kimasai uwiii
Wanambip, atawapigia tu.
 
Huyo unayemwita mhamiaji haramu ametoa mchango mkubwa kwa wasomi wengi wa nchi hii. Na huo ubaguzi wako hautaishia kwa huyo tu hata rais iko siku utamwita mhamiaji haramu.
Bavicha wamekosa hoja, wamebaki kulala, wajinga sana.
 
Sina uhakika kama wanautaka uraisi kwa maslahi ya,wananchi, these are greed monsters, wanafanya chochote ili tu waishike dola??!?
Wakati mwingine tunatumiwa na tunatumika kwel kwel, hivi ni kwa sabb democracy has exceeded the maximum zone? probably yes or no..lakini nlitaka kusema neither membe nor Zitto not their co opponents deserve for presidency, bila shaka ni mamluki wanaoishi kwa maslahi ya mabeberu kutumia kivuli cha democracy kumbe ni umangi meza tu.
These have made our minds the prey, na hatutawakubali, they have going down to their families and rear them for good..
Sioni hoja yenye Mashiko ninachokiona ni tamaa mbele #stop-blackmailing-innocent-tanzanians
^^^our president JPM imefika wakati kikombe kimejaa sasa.enough is enough..authority uliyo nayo ni kubwa na bado hawa wanafiki hawajaelewa nini madhara yake, dharau kubwa kiasi hiki haivumiliki wakati wa Watanzania kufikiria wafanye nini kupiga hatua moja mbele kiuchumi the wrong guys emerge and have crossed their with non sense day dreams of assuming the presidential seat..never b'se they are politicians but non patriotic puppets working for their wombs and families...
Sasa, reveal how Tanzania is more important than the puppet activists and propagandists..
 
View attachment 956046

Baada ya Katibu Mkuu wa CCM, bashiru Ally Kakurwa kumtaka Membe aende ofisni kwake kujibu tuhuma za njama zake za kuunda Makundi ndani ya Chama hicho tawala, Viongozi wa vyama vya upinzani vya CHADEMA na ACT-Wazalendo na Vijana wa Vyama hivyo Mitandaoni walianza kusambaza Ujumbe usemao "Twende na Membe 2020" na kauli mbiu ya #KaziNaBata ambapo mwanzoni wengi waliamini ujumbe huo ulilenga kutaka kuuaminisha Umma kuwa Membe anaweza kupeperusha bendera ya CCM 2020.
Kumbe ukweli ni kwamba baada ya Membe kupoteza matumaini ya kugombea urais kupitia CCM kutokana na mambo makubwa ya Maendeleo na huduma za Jamii anayoyafanya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Shushushu wa zamani ametumia taaluma yake hiyo vizuri na kufanikiwa kuwashawishi watu wenye ushawishi ndani ya upinzani majukwaani na Mitandaoni wamuandalie mazingira ya kuhamia upinzani na kugombea urais 2020.
Imekuwa kama ni bahati kwa issue ya Membe kuibuka kipindi ambacho Tundu Lissu bado yuko Hospitalini, Mbowe yuko Rumande. Godbless Lema, Yeriko Nyerere na vijana wengine ambao ni watiifu kwa Mbowe na Lissu kungana na Zitto Kabwe kusambaza ujumbe wa "Twende na Membe 2020" kwa uhuru zaidi.
Hali hii imemuacha njia panda Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na mgombea urais 2015 aliyewakilisha vyama vilivyounda Umoja wa UKAWA na kuviwezesha kupata viti vingi vya Madiwani na Wabunge.
Haijafahamika kama Mbowe naye anaujua mkakati huu wa Membe (amebadili gia angali) na kumtosa Lowassa. Tundu antipas Lissu ambaye licha ya kuwa hospitali amekuwa mahiri sana wa kufuatilia siasa za Tanzania na kutoa maoni yake hajasema chochote kuhusiana na akina Lema na kauli yao ya Twende na Membe 2020. ZIpo taarifa kuwa huenda ukaribu wa Lowassa na Rais Dkt. John Magufuli ndiyo unaomponza na kupelekea Chadema nao kuamua kumwaga Mboga.
Huu una itwa unyumbu wa kisiasa vyama vya upinzani ni bora wangeachana na Shobo kwa membe wana jiaibisha wangewaacha CCM na Membe wao.
 
Haya wapingani jiandaeni kupokea kirusi kingine hiko..
Yaani hawajielewi CCM itaendelea kutawala milele kwa kuwa hatujapata Chama badala cha upinzani, Jitu kama Nape unalitoleaje povu kulitete pia Membe.
 
Sio suala la ushabiki lakini bado upinzani hwajawa na hoja zenye mashiko na wanachotaka ni kuwin mob psychology tu..hahahaha
Zitto ajifunze kwa UKAWA, they winned the majority lakini bahati mbaya walitumia mbinu ya mob psychology, watu waliwasapoti na wasijue kwa nn wamewasapoti...hahahaha, mob psychology bhana..hahahaha after row it came back watu walipogungua ilikuwa ni issue ya msisimko tu (infatuation) they went back home( CCM)
The same strategy now....Watanzania washashtuka..huhuhu
 
Muungwana wewe upo upande gani?

"Kazi Na Bata"

Kuna wale wa "Kazi Na Bata" wameibuka hivi karibuni hawakubaliani na sera ya "Hapa Kazi Tu". Sera ambayo serikali inasema inanyoosha nchi wakati mtaani hali ni ngumu. Ajira hakuna, mishahara haipandi,zaidi ya nusu ya wanafunzi wa elimu ya juu hawana mikopo, mazao yanaozea mashambani, hakuna pembejeo, wastaafu wanalia mafao yao, pesa imepotea lakini wanaambiwa hapa kazi tu serikali inanyoosha nchi. Wamechoka na hali ngumu iliyopo ya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza, hakuna katiba mpya eti ni wakati wa kazi tu.
Kwa upande wao wanataka kazi na bata. Serikali ifanye kazi huku pesa zikiwepo mtaani. Serikali ifanye kazi huku haki za binadamu zikiheshimiwa, uhuru wa kujieleza na demokrasia kwa ujumla.
Serikali ifanye kazi huku watu wakipata ajira, mishahara ikipanda na wastaafu wakipata mafao yao. Serikali ifanye kazi mazao yakipata wateja.
Wadau wa " Kazi Na Bata"wanaona kujenga mabarabara, reli SGR, madaraja, kununua ndege, kuzungushia ukuta Tanzanite, kutunga sheria za madini nk kuende sambamba na maisha mazuri kwa wananchi siyo wananchi waishi kama mashetani huku serikali ikisema yenyewe ni kazi tu.

"Hapa Kazi Tu"

Hawa wanaamini kwamba huu ni wakati wa kazi tu, nchi inyooshwe kwanza maana ilikuwa imeharibika. Wao wanaamini mambo ya demokrasia, uhuru wa maoni na haki za binadamu visubiri kwanza maana ni vikwazo vya maendeleo.

Wadau wa "Hapa Kazi Tu" wanaamini wananchi wanatakiwa kuvumilia wakati nchi ikinyooshwa kwanza kuelekea nchi ya viwanda na uchumi wa kati.
Wananchi wanaolalamika ajira, pesa kutokuwepo mtaani, wakulima kukosa masoko ya mazao, hospitali kukosa dawa wawe wavumilivu mambo yatakaa sawa tu. Kwa mujibu wa wadau wa "Hapa Kazi Tu" tunatakiwa tujifunge mkanda wakati burudoza akirudisha nchi kwenye misingi iliyokuwa imepotea, wakati akipeleka nchi uchumi wa viwanda na wa kati. Waumini wa "Hapa Kazi Tu" wamefikia hatua ya kuomba Burudoza aongezewe muda hata askip uchaguzi ili ajenyooshe nchi kwanza.

Mwanajamvi nahitaji maoni yako wewe upo upande gani?
Hakuna jipia hapo hiyo kazi na bata ilikuwepo na bado ipo wata wanakula bata kama kawaida baada ya kufanya kazi, km wewe huli bata basi itakua una matatizo yako binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom