Kazi na bata vs hapa kazi tu

Kazi na bata vs hapa kazi tu

Kikwete, Dau na genge lao lote walitakiwa wawe UKONGA gerezani kwa kosa la kufuja fedha za NSSF kwa kuwekeza kwenye miradi mfu na kukopesha serikali ili hali walijua pesa hiyo isingerudi kuwawezesha kuwalipa wenye pesa !!

Vilaza huwa Na kawaida ya Wivu Kwa watu wenye akili kubwa Na Maarifa

Hakuna DG bora mbunifu aliefanyia makubwa NSSF Na Pensio fund Kwa jumla Kama Dau Kama Kaiba mia mbili kuzalisha elf Moja Ni bora Kuliko asieiba lakin anazalisha Shilingi Sabini

Hizo unazosema kaiba zilipatikana Kwa kukicha ndoo Kama maji ya Mvua ? Sasa hivi Mbona Hakuna Hata hizo Za kuiba?
 
Membe ni.mwanachama wa CCM, njama zozote, ziwe kwa ajili kugombea CCM au nje bado ni hujuma. Lazima awajibishwe ikiwezekana kwa kutimuliwa mapema sana
Kwa hiyo mipango ya kugombea huko kwenu ni hujuma? Umesoma hata hiyo katiba yenu inasemaje juu ya utaratibu wa kupata kiongozi na muda wa kukaa madarakani? #kazinabata # tena bata mzinga
 
Benard Camilius Membe hana tatizo lolote Na Mh.Rais, CCM wala Nchi ila kuna kikundi kikiongozwa Na Mhamiaji haramu toka Rwanda ambae Kwa Bahati mbaya Sana katumia kodi Za wanyonge Kwa Miaka kadhaa pale Udsm anataka kujipendekeza Kwa Rais bila ya kujua Mchango wa Gwiji huyo wa Mtama Kwa Chama Na Nchi 2015

Enzi hizo huyo Mhamiaji haramu alikuwa bize kukinanga Chama Na Serikal

Roho inauma Sana kuona watu tumetoka eneo hatarishi 2015 lakin Kwa kudra zake Manani tukavuka salama Halafu anaibuka Jini Makata kutaka kuturudisha Kule Kule

Mola wa Viumbe nusura Nchi yetu Na shari ya Shaitwaan Rajeem
Huyo unayemwita mhamiaji haramu ametoa mchango mkubwa kwa wasomi wengi wa nchi hii. Na huo ubaguzi wako hautaishia kwa huyo tu hata rais iko siku utamwita mhamiaji haramu.
 
Kiukweli kama watu wanataka kula Bata bila kujali tija ya rasilimali zetu basi ni vema tukachagua chama cha mabepari cha Chadema. Na kwa uzoefu basi twende na Mbowe 2025 watu wale Bata hadi kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro.
Hakuna mwingine anayeweza kutupeleka katika Kazi na Bata na hata huyo @zittokabwe hawezi.

Usiku mwema!
 
wewe ndio mwenye upeo/uelewa finyu kwani nimesema ccm mnamuogopa (wingi) halafu wewe ukaniuliza wapi umemuogopa
Duh
Hiv hivi vyama vyenu vinafunza nn.
Kwa stail hii bado tuna safar ndefu kuwaelewa kweri kweri.
 
Propaganda za kizamaaniii. Yaani mnaanzisha Uzi kupoozesha mjadala wa Korosho, Membe 2020,Dhamana ya Mbowe, kupotea kwa Ben saanane, Gwanda azori, fao la kujitoa, na 25% ya kiinua mgongo.

Kalagha bhao na ubozi wenu!
 
Chadrama mcharuko mizee ya matukio huwa hayaoni future
Huwa yanadandia tu kila basi
Sasa mkuu kama 2015 wakamdandia lowasa fisadi walomnadi wnyw for years

Sasa hv wanamnad mtu alyekuwa rfk kipenz wa "rais dhaif" ambaye huko nyuma hakuwa mwema kwao.

Inatia mashaka kuwa na upinzan wa kudandia dandia kila mtu tu
 
Kiukweli kama watu wanataka kula Bata bila kujali tija ya rasilimali zetu basi ni vema tukachagua chama cha mabepari cha Chadema. Na kwa uzoefu basi twende na Mbowe 2025 watu wale Bata hadi kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro.
Hakuna mwingine anayeweza kutupeleka katika Kazi na Bata na hata huyo @zittokabwe hawezi.

Usiku mwema!
Mbowe wako wengi tupe majina yake yote. Kama ndio Yule wa kugawa viti maalum watakaopona ni hao wa viti maalum
 
Kiukweli kama watu wanataka kula Bata bila kujali tija ya rasilimali zetu basi ni vema tukachagua chama cha mabepari cha Chadema. Na kwa uzoefu basi twende na Mbowe 2025 watu wale Bata hadi kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro.
Hakuna mwingine anayeweza kutupeleka katika Kazi na Bata na hata huyo @zittokabwe hawezi.

Usiku mwema!
Kaka mbona watupeleka mbali sisi mawazo yetu yapo hapo karibu tu 2020

#kazinabata
 
Chadema haijawaletea watanzania hali ngumu ya kiuchumi. Pambaneni na hali zenu. Ebo!
 
Kiukweli kama watu wanataka kula Bata bila kujali tija ya rasilimali zetu basi ni vema tukachagua chama cha mabepari cha Chadema. Na kwa uzoefu basi twende na Mbowe 2025 watu wale Bata hadi kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro.
Hakuna mwingine anayeweza kutupeleka katika Kazi na Bata na hata huyo @zittokabwe hawezi.

Usiku mwema!
Ukweli ni kuwa CCM wameshajiharibia na wanatakiwa wajipange tena kikweli kweli!!! Lowasa anaweza rudi CCM lakini pia bado CCM 2020.Bado kazi ipo!!Kumweka Segerea Mbowe,Ester na Wengineo Bado Awasaidii CCM 2020!!Bwana Asipo Ulinda Mji! Waulindao wanakesha Bure!!! Some Trust their Securities and BodyGuardies! We will always Trust Our God
 
Attachments

  • CE14383B-C064-4D43-8485-29286B25C2EF.jpeg
    CE14383B-C064-4D43-8485-29286B25C2EF.jpeg
    34.2 KB · Views: 43
  • 4485A921-40E3-4B6C-A5CC-53E843FE65F8.jpeg
    4485A921-40E3-4B6C-A5CC-53E843FE65F8.jpeg
    19.4 KB · Views: 42
  • D118418F-3E70-4A78-9A36-CE95B2AA3CCF.jpeg
    D118418F-3E70-4A78-9A36-CE95B2AA3CCF.jpeg
    53.6 KB · Views: 42
Benard Camilius Membe hana tatizo lolote Na Mh.Rais, CCM wala Nchi ila kuna kikundi kikiongozwa Na Mhamiaji haramu toka Rwanda ambae Kwa Bahati mbaya Sana katumia kodi Za wanyonge Kwa Miaka kadhaa pale Udsm anataka kujipendekeza Kwa Rais bila ya kujua Mchango wa Gwiji huyo wa Mtama Kwa Chama Na Nchi 2015

Enzi hizo huyo Mhamiaji haramu alikuwa bize kukinanga Chama Na Serikal

Roho inauma Sana kuona watu tumetoka eneo hatarishi 2015 lakin Kwa kudra zake Manani tukavuka salama Halafu anaibuka Jini Makata kutaka kuturudisha Kule Kule

Mola wa Viumbe nusura Nchi yetu Na shari ya Shaitwaan Rajeem
Membe si ameitwa akajieleze? Aende akayaseme hayo au nenda wewe umsemee kama amekutuma.
 
Sasa mkuu kama 2015 wakamdandia lowasa fisadi walomnadi wnyw for years

Sasa hv wanamnad mtu alyekuwa rfk kipenz wa "rais dhaif" ambaye huko nyuma hakuwa mwema kwao.

Inatia mashaka kuwa na upinzan wa kudandia dandia kila mtu tu
hawa wapinzani lini watatengezeza mgombea urais wao? Kila siku wanategemea kutoka CCM, tena wana CCM waliokwisha kisiasa, watu wa Hovyo Kabisa.
 
Hizi nyuI nyingine ni kwaajili ya kututoa kwenye hoja za msingi.
Tukubali tukatae hoja ya mafao ya wastaafu, dhamana ya mbowe, kupotea kwa bensaa8 na azory gwanda, swala la ununuzi wa korosho yamahitaj majibu ya msingi ambayo.pia hayaweza kutolewa na hao wanaowatuma.

Mbowe ipo siku atakuwa rais wa hii nchi lkn kwa Sasa tunataka kujua mmeamuaje.kuhusu hizo hoja za msingi.
 
Back
Top Bottom