Kazi na bata vs hapa kazi tu

Kazi na bata vs hapa kazi tu

Pension ya wafanyakazi imechezewa sana kipindi kilichopita. Njoo nikuonyeshe haya majengo yaliyojaa nchi nzima halafu hayana wateja.

JPM kwanza amewasaidia wastaafu maana kwa speed Ile wangekosa hayo mafao hata kiasi kidogo
Hayo majengo yako wapi wew mhuni??
 
Watu wanafanya kazi Kama punda hela haionekani, maisha magumu,
Unafanya kazi miaka kibao pensheni Hakuna wanakula wao.
Unafanya kabiashara kadogo kodi kibao, hela wanafanyia ya kwao...
Kha!

Imetosha sasa mwaga BALIMI #2020 kazi na bata.
2020 mwaga Pombe. #KazinaBata
 
View attachment 956046

Baada ya Katibu Mkuu wa CCM, bashiru Ally Kakurwa kumtaka Membe aende ofisni kwake kujibu tuhuma za njama zake za kuunda Makundi ndani ya Chama hicho tawala, Viongozi wa vyama vya upinzani vya CHADEMA na ACT-Wazalendo na Vijana wa Vyama hivyo Mitandaoni walianza kusambaza Ujumbe usemao "Twende na Membe 2020" na kauli mbiu ya #KaziNaBata ambapo mwanzoni wengi waliamini ujumbe huo ulilenga kutaka kuuaminisha Umma kuwa Membe anaweza kupeperusha bendera ya CCM 2020.
Kumbe ukweli ni kwamba baada ya Membe kupoteza matumaini ya kugombea urais kupitia CCM kutokana na mambo makubwa ya Maendeleo na huduma za Jamii anayoyafanya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Shushushu wa zamani ametumia taaluma yake hiyo vizuri na kufanikiwa kuwashawishi watu wenye ushawishi ndani ya upinzani majukwaani na Mitandaoni wamuandalie mazingira ya kuhamia upinzani na kugombea urais 2020.
Imekuwa kama ni bahati kwa issue ya Membe kuibuka kipindi ambacho Tundu Lissu bado yuko Hospitalini, Mbowe yuko Rumande. Godbless Lema, Yeriko Nyerere na vijana wengine ambao ni watiifu kwa Mbowe na Lissu kungana na Zitto Kabwe kusambaza ujumbe wa "Twende na Membe 2020" kwa uhuru zaidi.
Hali hii imemuacha njia panda Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na mgombea urais 2015 aliyewakilisha vyama vilivyounda Umoja wa UKAWA na kuviwezesha kupata viti vingi vya Madiwani na Wabunge.
Haijafahamika kama Mbowe naye anaujua mkakati huu wa Membe (amebadili gia angali) na kumtosa Lowassa. Tundu antipas Lissu ambaye licha ya kuwa hospitali amekuwa mahiri sana wa kufuatilia siasa za Tanzania na kutoa maoni yake hajasema chochote kuhusiana na akina Lema na kauli yao ya Twende na Membe 2020. ZIpo taarifa kuwa huenda ukaribu wa Lowassa na Rais Dkt. John Magufuli ndiyo unaomponza na kupelekea Chadema nao kuamua kumwaga Mboga.
Na kwa akil ya upinzan wa nchi hii watamchukua kwel huyu jasus kama lowasa vile
 
Pension ya wafanyakazi imechezewa sana kipindi kilichopita. Njoo nikuonyeshe haya majengo yaliyojaa nchi nzima halafu hayana wateja.

JPM kwanza amewasaidia wastaafu maana kwa speed Ile wangekosa hayo mafao hata kiasi kidogo
pamoja na kuchezewa lakini wastaafu walikuwa hawaporwi pesa yao. Nyie hamzichezei lakini mnawapora wastaafu haki
 
Benard Camilius Membe hana tatizo lolote Na Mh.Rais, CCM wala Nchi ila kuna kikundi kikiongozwa Na Mhamiaji haramu toka Rwanda ambae Kwa Bahati mbaya Sana katumia kodi Za wanyonge Kwa Miaka kadhaa pale Udsm anataka kujipendekeza Kwa Rais bila ya kujua Mchango wa Gwiji huyo wa Mtama Kwa Chama Na Nchi 2015

Enzi hizo huyo Mhamiaji haramu alikuwa bize kukinanga Chama Na Serikal

Roho inauma Sana kuona watu tumetoka eneo hatarishi 2015 lakin Kwa kudra zake Manani tukavuka salama Halafu anaibuka Jini Makata kutaka kuturudisha Kule Kule

Mola wa Viumbe nusura Nchi yetu Na shari ya Shaitwaan Rajeem
 
Kama twende na Membe 2020 ni kwa upande wa Upinzani "MUSIBA" anahangaika nini?
 
pamoja na kuchezewa lakini wastaafu walikuwa hawaporwi pesa yao. Nyie hamzichezei lakini mnawapora wastaafu haki
Nyie kina nani wakati na wewe unahusika. Unaweza kuta kitambi ndindindi na sheria umeigongea wine, halafu unapinga JF
 
Back
Top Bottom