Kazi na bata vs hapa kazi tu

Kazi na bata vs hapa kazi tu

Habari za mda huu jamani...
Poleni na michakato ya maisha....


Labda tuu niseme kitu sio kamanda wala uzalendo na hata sio kaki wala njano au kijani...
Naona wote wanasema kazi na Bata

Opposition party and our national we are lost tena sio kidogo tuu...

Kwa leo najua hamna nielewa sana ila tuombe uzima
Hashtag za
#KAZITU#
#KAZINABATA#
Nothing new to reach development rather than fews people to enjoy national cake....
Stay tuned kuna nondo ntaleta kutetea hoja zangu.....

Kama umeelewa sawa ila kama hujaelewa nenda lumumba au ufipa mkajadili
Screenshot_2018-12-03-21-53-45-1.jpg
Screenshot_2018-12-03-21-53-50.jpg
 
Fyekelea mbali Jiwe. Hiyo ndiyo habari ya mjini haya mengine ni trivial issues for shortsighted people
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi you ya serikali hii onevu kwenu ni miaka mitatu hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Combination iwe ya membe lowassa na zitto #kazinabata itakua poa zaidi
 
#hapakazitu ni utumwa. #kazinabata ndo maisha ya dunia ya leo. Tunaishi sasa. Ajenda za matumaimi ni za kidini/imani ambazo hazina uhalisia.Maisha ni #kazinabata! That is according to the school of STOICS th greek philosophers.
 
Nimejaribu, kumuelewa mtoa mada nimeshindwa. Basi angalau ajitokeze kwa jina lake kamili pengine tutamuelewa. Pengine sisi tunaoficha majina yetu humu ni Wajanja. Hawa wenye veriefied ni washamba!!.
 
Kula bata kuna tafsiri pana sana so nimfahamishe tu bwana mdogo Zitto kuwa katika zama hizi za Hapa Kazi Tu bata analiwa kama kawaida kilichokatazwa ni kukomba mboga.

Zitto mwenyewe anasafiri kwa ATCL kila aendapo jimboni awamu ile ilimlazimu aende hadi biharamulo.

Umewaona akina Katambi, Machali na Kafulila walivyo shavu dodo utasema hawatokei Ujiji.

Muangalie swahiba wako Kitila.....je yuko vile vile kama alivyokuwa ACT hivyo vyote ni viashiria bata analiwa sema tu wewe hujanawishwa mikono.
Usiku mwema!
 
Umeonesha kiwango kidogo cha Akili kwa kumshambulia Mh.Zitto. Pole sana Ndugu, kauli mbiu ya Hapa Kazi itakubaliwa na wenye fikra za kitumwa bwana! Mwelevu lazima aikubali kauli mbiu ya KAZI NA BATA
 
Umepotosha, Kama kawaida ni propaganda za kiBAVICHA zaidi.

Hapa kazi tu ni slogan iliyobeba philosophy ya kuthamini kazi, kukubali kwamba matatizo yetu tutayatatua wenyewe, tutangulize kuwajibika kuliko kitu chochote, tusipende kutafuta visingizio kwa changamoto tunavyokumbana nazo.

Hapa kazi tu inaongeza ajira, inakuza uchumi hasa kupitia viwanda, idadi ya wanaopewa mikopo ya elimu ya juu imeongezeka(mtoa mada anasema hamna mikopo!!), kuboresha tija kwa wakulima(mifumo na gharama za pembejeo zimebireshwa sana ,tofauti na mtoa mada), huduma kwa wananchi kama afya na elimu zimeimarishwa, miundo mbinu imeimarishwa na inazidi kujengwa. Matokeo chanya na makubwa ni mengi na yako wazi, lakini uzi huu haujalenga zaidi kuelezea hayo ila kumjibu mtoa mada.

Kiuhalisia aliye kuja na slogan hii kaleta mapinduzi makubwa ya fikra na kuendesha siasa. Ikumbukwe kabla yake kulikuwa na kauli mbiu laini na ya kuvutia "kisiasa" " maisha Bora kwa kila mtanzania". Lakini yeye Ali risk na kuja na kauli mbiu iliyobeba ukweli zaidi badala ya cosmetic statements. Hili kiuhalisia si jambo dogo hata kidogo.

Sasa "kazi na bata" kwanza lugha tu ya "bata" inaashiria lack of ; seriousness, maturity, focus, na commitment. Ata baadhi ya wanaoamini hili ni mateenegers tu, na wengi tume pitia huko, baada ya maturity tuligundua ni ujinga tu. Kwa ngazi ya mtu binafsi tu, ili usonge mbele kimaisha kipaumbele ni kazi. Bata haiwezi ikawa kipaumbele labda inaweza ikawa ni matokeo. Angalia tu vijana ambao wanaamini "kazi na bata" tunao wengi mitaani, wote wanaishia kuchemsha.

Kiufupi anayeelewa dhana ya umuhimu wa kufanya kazi, hawezi akaamini kwenye umuhimu wa kula bata. Sembuse kwa kiongozi wa ngazi nchi!
Uvivu wa kufikiria....
Hizo picha umeelewa acha kuwa mtu wa vyama vyama
 
Baada ya JPM kumaliza kero jamaa wamekosa cha kuongelea na sasa wamebakia kuwa wabunifu wa Misimu
 
Back
Top Bottom