Kazi na bata vs hapa kazi tu

Kazi na bata vs hapa kazi tu

Tatizo kila single mnayoletewa mnairukia tu,sijui mnaishi wapi?,Nani kakwambia sasa hivi watu hawali bata?,Leo ni jumatatu mwanzo wa wiki ila nikikuelekeza nilipo sasa hivi uje ujionee watu walivyopanga vyupa mezani hutaamini, ndo utarudi kufuta huu ujinga wako.Siku zote usiseme tunakufa kwa njaa sema nakufa kwa njaa, ipo hivyo siku zote hata aje raisi gani.
 
Zawadi Beatus Lupelo..hongera kwa kugraduate Udom! Kazi na Bata ndio kiwango cha utu! Kufanyishana kazi kisha kuishi kama shetani huku ukilimia meno ni mawazo ya kishenzi, kimaskini na yanapaswa kupingwa na kila binadamu mstaarabu! #KazinaBata
Asante sana mkuu
 
Siasa za Zitto zenyewe za kishamba tu, tangu akiwa Chadema amekuwa na siasa za kujikombakomba, kujionesha onesha, kusalitisaliti tu, hizi ni siasa za kishamba sana.

Katika kujifanya mzalendo, Zitto amekuwa mshambamshamba tu, amekuwa mtu wa kuzitishiatishia Taasisi za Umma ili zimhonge asianike maovu, amediriki hata kutetea ukiukwaji wa maadili ya nchi yetu na kuwa kibaraka wa Wazungu wanaotaka kutupa misaada kwa masharti ya kukubali Ushoga. Huu ni ushamba wa Hali ya juu.

Bata huliwa na wastaabu. Zitto hata mahusiano yake yamekuwa ya kishamba tu, ndiye mwenye historia ya kuoa wake wawili (Binti Jaji na Mhe. Mbunge) ndani ya Wiki moja.

Ulimbukeni ni kitu kibaya sana. Limbukeni anaweza kufanya mambo ya ajabu bila ya kuona aibu ila wanaomzunguka wakaona aibu kwa niaba yake. Kitu kibaya sana.

Zitto washawishi Watanzania kwa kitu kingine wakuelewe washawishike kukuona unafaa kuwa Rais, hili la kula bata, sifa hiyo huna kwa sababu mpaka hapo ulipo na zaidi ya miaka 40 huna historia ya kila Bata, Unataka kula Bata ukiwa Rais? Uzeeni?

Kwanza nani alikwambia Watanzania wanamtaka Rais mla Bata? Unakumbuka 2015 kuna Mgombea alipata tabu sana kwa sababu tu ya kawaida yake ya kunyoa Unga? Itakuwaje Wewe unaetaka kula Bata ambayo huna hitoria nayo bali kwa sababu tu wewe ni Rais .

Urais ni ngazi ya juu kabisa katika nchi yetu, msiwe mnaropoka ropoka tu kama mtu anayeutaka urais wa Wasaf au Team Kiba. Au unautaka urais wa Leka Dutigite ile Taasisi ulioianzisha kwa Fedha za Walipa kodi ulizohongwa na Mifuko ya Hifadhi ya Jami wakati ulipokuwa Mwenyekiti wa PAC?
 
Tatizo kila single mnayoletewa mnairukia tu,sijui mnaishi wapi?,Nani kakwambia sasa hivi watu hawali bata?,Leo ni jumatatu mwanzo wa wiki ila nikikuelekeza nilipo sasa hivi uje ujionee watu walivyopanga vyupa mezani hutaamini, ndo utarudi kufuta huu ujinga wako.Siku zote usiseme tunakufa kwa njaa sema nakufa kwa njaa, ipo hivyo siku zote hata aje raisi gani.
Wewe mkuu upo wapi kwenye kazi na bata au hapa kazi tu?
 
Duuhh....kwa uwezo huu wa kufikiri. Wacha Magu atunyooshe tu.

Yani Bia inasignify what!??!?

Poor boy.
 
Hayo ni maneno tu mnaletewaga kila awamu, mimi siku zote napiga kazi na kula bata pia ndo maana hiyo kazi na bata hainihusu sisubiri kudanganywa na wanasiasa na slogan zao za uongo.Mkuu bora anayekwambia kazi tu anajua bata lipo pale pale kuliko anayekuongopea kazi na bata as if atawagawia watu pesa wakale bata.
 
Duuhh....kwa uwezo huu wa kufikiri. Wacha Magu atunyooshe tu.

Yani Bia inasignify what!??!?

Poor boy.
Mkuu usipende kuwa unajiona una akili Sana.Kama tumepanga bia jua **** mademu na starehe nyingine zinaendelea, hilo ndo bata lenyewe au wakisema Bata wewe unahisi wanaongelea ndege = Duck?
 
Kazi na bata kama ilivyo bread and butter.... [emoji506][emoji490][emoji542][emoji555][emoji555][emoji541][emoji538][emoji567][emoji565]
 
Kazi na bata ndo kila kitu fanya kazi kale bata uzungushe pesa utalipa kodi ambayo itakuletea maendeleo ebu tusifananishe kazinabata na vitu vya kijinga jaman
 
Mkuu usipende kuwa unajiona una akili Sana.Kama tumepanga bia jua **** mademu na starehe nyingine zinaendelea, hilo ndo bata lenyewe au wakisema Bata wewe unahisi wanaongelea ndege = Duck?
😂😂😂😂😂😂😂

Ficha ujinga wako ndugu yangu.
 
sijaelewa msingi wa malalamiko yako ni upi? tulia tueleze kwa ufasaha maana unalia zzk mshamba, mara kaoa wake wawili ndani ya wiki. mara kahongwa na nssf, mara anataka kula bata akiwa raisi yaani hueleweki.
 
Siasa za Zitto zenyewe za kishamba tu, tangu akiwa Chadema amekuwa na siasa za kujikombakomba, kujionesha onesha, kusalitisaliti tu, hizi ni siasa za kishamba sana.
Katika kujifanya mzalendo, Zitto amekuwa mshambamshamba tu, amekuwa mtu wa kuzitishiatishia Taasisi za Umma ili zimhonge asianike maovu, amediriki hata kutetea ukiukwaji wa maadili ya nchi yetu na kuwa kibaraka wa Wazungu wanaotaka kutupa misaada kwa masharti ya kukubali Ushoga. Huu ni ushamba wa Hali ya juu.

Bata huliwa na wastaabu. Zitto hata mahusiano yake yamekuwa ya kishamba tu, ndiye mwenye historia ya kuoa wake wawili ndani ya Wiki moja.

Ulimbukeni ni kitu kibaya sana. Limbukeni anaweza kufanya mambo ya ajabu bila ya kuona aibu ila wanaomzunguka wakaona aibu kwa niaba yake. Kitu kibaya sana.
Zitto washawishi Watanzania kwa kitu kingine wakuelewe washawishike kukuona unafaa kuwa Rais, hili la kula bata, sifa hiyo huna kwa sababu mpaka hapo ulipo na zaidi ya miaka 40 huna historia ya kila Bata, Unataka kula Bata ukiwa Rais? Uzeeni? Kwanza nani alikwambia Watanzania wanamtaka Rais mla Bata? Unakumbuka 2015 kuna Mgombea alipata tabu sana kwa sababu tu ya kawaida yake ya kunyoa Unga? Itakuwaje Wewe unaetaka kula Bata ambayo huna hitoria nayo bali kwa sababu tu wewe ni Rais .

Urais ni ngazi ya juu kabisa katika nchi yetu, msiwe mnaropoka ropoka tu kama mtu anayeutaka urais wa Wasaf au Team Kiba. Au unautaka urais wa Leka Dutigite ile Taasisi ulioianzisha kwa Fedha za Walipa kodi ulizohongwa na Mifuko ya Hifadhi ya Jami wakati ulipokuwa Mwenyekiti wa PAC?
Povu limekutoka
Ila umesahau
#Kazinabata
 
Back
Top Bottom