Kazi kweli kweli

Kazi kweli kweli

haya ndo matokeo ya kuruhusu mifugo kukesha kwenye fesibuku
 
Ufirauni umeshaingia mpaka kwa wanyama, ama kweli dunia imekwisha
 
sio kwamba bata amezoea kile kitu cha spiral..? sasa mbona cha dog ni straight..? teh teh teh teh teh teh eeeehhhh
 
Umeona kwenye nyumba kuna mwamvuli nje, Bongo Bingo unaweza wacha kapu na miamvuli namna hiyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom