Alivyoumia....inatia huruma sana!
Sawa flora msoffe huo ni msimamo wako. Umejuaje huyo kama ni kibaka?angekukwapulia wewe ungesema auwawe vibaka wanakera ka kuharibia watu bajeti zao ua kabisa mi majuzi wamenikatia dirisha langu uswahilini huko sina ham nao kwakweli
Sawa flora msoffe huo ni msimamo wako. Umejuaje huyo kama ni kibaka?
Masikini Dr Ulimboka sasa kumbe kulikuwa na mtu akichukuwa picha kumbe ?