Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

Hadi muda huu tunavyo zungumza dereva bajaji hajafa. Tulimpata saa 8 za usiku akiwa anatoroka mapaka saa 9 tulifanikiwa kumminya kende na Kwa bahati mbaya kende Moja tumeipasua

Hakuna sehemu kwenye mwili wake ambayo hatujaigusa tulikuwa tunamfinya akipoteza fahamu tunamzindua Kwa madripu akiamka kipigo na kifinyo kinaendelea.

Mpaka muda huu tumefanikiwa kuichakaza vibaya ngozi yake kiasi ukimuangalia huwezi kutamani kula nyama na huwezi kuamini kuwa huyu ni mtu

Kwa kifupi huyu mtu alileta taflani kubwa iliyopelekea Jana usiku wanausalama wakarushiana risasi wenyewe Kwa wenyewe.

Ndugu zangu tujifunze kudhibiti hasira Kwa kilicho tokea jeshi Lina omboleza hivyo na lenyewe haliwezi kukubali hii ni kama kulizalilisha Jeshi.

Na kama mjuavyo history ya jeshi letu halijawahi kushindwa kitu pekee ilicho wahi kushindwa ni Yale maasi ya kumpindua Nyerere TU.

In advance Rest in Peace dereva bajaji. Maana najua hata tukimuachia aende zake Kwa alicho kipata awezi kufikisha masaa 72 akiwa hai
Unaandika hivi wewe kama nani unajiexpose kifala mno.Akifa huyo jamaa ijapokuwa ni mtuhumiwa,unajua kwamba jeshi(taasisi) inaweza kuwajibishwa mbele ya mahakama? Uzuri kikosi husika kinafahamika.Acheni kujipa kazi ya mahakama ya kutoa adhabu.

Eimu zenu ndogo mno na hata sheria ndogo ndogo hamzijui,mtaweza kuijua Katiba ya nchi na tuikeleza kweli?
 
Inasemekana ( kwa aliyenipa Taarifa Kamili kuwa ) Dereva Bajaji jana Usiku katika Baa Moja maarufu iliyo kwa ndani ( Mafichoni kidogo ) mkabala na Petro Station ya PUMA Kawe alipishana Kauli na Mwanajeshi ( tena Mkubwa wa Cheo cha Kanali ) kuhusu Kuzibiana njia ya kupita.

Ambapo Afande Kanali alikuwa Kapaki Gari lake lililokuwa limezuia njia kwa mbele na Dogo ( Dereva Bajaji ) kuhoji kwanini Afande aliziba njia hali iliyomkwaza Afande ( wa Cheo cha Kanali Muro kama sijalikosea Jina lake ) ambapo Afande Kanali akatoka ndani ya Gari lake na Kumzaba Makofi Dereva Bajaji huyo.

Kisha nae ( Dereva Bajaji ) kwa Hasira akaamua kwenda kuchukua Bisibisi Bajajini Kwake na kuja Kumchoma nayo Afande Kanali upande wa Moyo hali iliyomfanya akimbizwe Lugalo Hospital kwa Matibabu na Umauti kumkuta huko huko Wodini.
Safi sana, kuonea raia ifike mwisho.
 
Unaonenyesha wewe ni mjinga, hujui chochote kuhusu mapato ya serikali na matumizi ya mapato husika, nadhani unajua mwanajeshi zile pesa anazolipwa hazitoki pia kwa wananchi wasiokua wanajeshi(yaani kodi zao), na unadhani wanajitolea hawalipwi kwa kazi ya kusubiri vita vitokee miaka ya huko mbeleni.
 
Na eneo walilokuwa wanadili nalo ni kuanzia Ukwamani hadi Kanisani na MP ndiyo walikuwa Wengi huku Wakikamata Watu ( hasa hasa Vijana Wahuni ) wa maeneo hayo.

Ila kama nilichokisikia ni kweli Kwanza nitoe Pole kwa Mhusika na Taasisi yake ila Niwaase pia Vijana ( hasa Waendesha Bodaboda na Bajaji ) kuacha kutumia Bangi na Pombe kisha zinawalevya na Kuwachanganya Akili mpaka Kufikia ama Kujeruhi au Kuua kabisa Watu wanaohitilafiana nao Barabarani.
wanajeshi ni wapuuzi sana, wao hata mwenzao akichukuliwa demu wanapiga watu.
siku moja nilikuwa natembea toka makongo kuja kupanda gari pale super. nikakutana na bwana mdogo mooja aliyevelia kiraia. kwakuwa ni usiku nikamuuliza jambo la kawaida ili aweze kunisaidia. alichokifanya mpuuzi yule ni kunishika tanganyika jeck na kuniingiza getini kisha akanipigisha magoti huku akitamka kwa nguvu ... hawa ndiyo wanatuchulia madem zetu na kutuua kule kawe nikabaki namshangaa tu. hadi alipokuja mwenzake mwenye akili kidogo nikamsimulia akaniambia niondoke
 
Hiyo chuki ni matokeo ya uonevu wa wanajeshi dhidi ya raia. Ilo liko wazi. Halafu askari wetu uwa wanajisahau sana. Kuna mahali niliwahi kuwepo,pale kulikuwa na maaskari wengi tu,mkubwa mmoja akasimama akawa anazungumza akasema askari wengi wanasahau kwamba kinachoheshimiwa ni gwanda lake tu,kwamba akilitoa hatakuwa tena yeye na katika muktadha huo wanapaswa kuishi vyema na raia maana na wao ni raia wa kesho. Akasema leo mimi na cheo changu hiki na sare zangu hizi,siku nkistaafu au katika namna yoyote nkawa siwezi tena kuvaa hizi gwanda hata nikija hapa MP pale getini atanisimamisha na kuniuliza maswali na hata adhabu anaweza kunipa,aliongea mengi sana.
Lakini ukweli unasalia paleplae,askari wetu wengi ni waonevu. Visa vya askari kupiga raia ni vingi kuliko kinyume chake.
Hata polisi hasa wale field force unit squads huwa wanajiona ni miungu watu , kila siku wanapasuliwa na chupa huko kwenye mabar kisa ugomvi wa kipumbavu ,kugombea Malaya na raia
 
Acha kua biased, usiegemee upande kila mmoja ana makosa kwa kiasi chake Ila alievuka mpaka ni aliechukua maamuzi ya kuua baada ya kuzidiwa nguvu kwenye one vs one na kuchezea mambata, kata funua za kutosha unakimbilia bisibisi? Tulia unabishana na Askari? Haya sasa baada ya kuua unapata faida gani?
Angetumia busara haya yote yangetokea wapi sio kila mtu anapenda kuonewa

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
...Pamoja na uzibaji wa njia Sijui walijibishana nini kama muwajuavyo madereva bajaji na boda, keno akamlamba kibao kijana akaon sio kweli kaenda kweny bajaj yake katafuta silaha kaichukua, kwamba hapa naenda kujeruhi, kamchoma nayo" unasema kaua bila kukusudia? Basi Sheria ni pana aisee
Ndo hivo ni hasira baana ya kuzabwa kibao

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Hata polisi hasa wale field force unit squads huwa wanajiona ni miungu watu , kila siku wanapasuliwa na chupa huko kwenye mabar kisa ugomvi wa kipumbavu ,kugombea Malaya na raia
Kwa hio wanajeshi wote unaowana ni sawa na kuanza kuwavimbia na kuwatukana unavyojisikia na kutaka kupimana nao nguvu si ndio?
 
Nasikitika tu hadi hii leo Serikali ya Tanzania na hata Watanzania ( wana JamiiForums wakiwemo ) hawajatambua Uwezo wa GENTAMYCINE na Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwapa Zawadi yake Tukuka ya GENTAMYCINE hapa duniani.

Thanks for acknowledging my Potential. Be blessed Chief....!!
Na sio mara ya kwanza hao wapumbavu kuuawa, kuna mwingine wa cheo cha copral aliwahi kuuawa kule kigamboni, kisa ni huo huo ubabe wa kipuuzi.
 
Sasa si unaona maelezo yao ni km haya, yaan haya ndio yamejaa kwa vijana wengi kwamba Mimi mwanajeshi mmoja akija nampoteza unaona huu ujinga uliowajaa vijana na chuki za kijinga, sasa mentality km hii mtu anatembea nayo anavizia mwanajeshi yupo peke yake anamtafutia sababu ili amvimbie na mwanajeshi sio kwamba anaweza ku-vumilia kila ujinga unaofanywa mbele yake na raia lazima akuadhibu tu ijapokua haruhusiwi kufanya Ila self defense ni muhimu kwa Askari yoyote
Mimi ukiniletea useng£ wa kunishambulia , tunazipanga ngumi na nahakikisha nakufumua na kukutoa ngeo ili ikome kabisa , sita angalia umevaa gwanda wala matambala ya batiki , ukinishinda kwenye ngumi hata silaha au nawe natumia mpaka nihakikishe nimetia adabu .
 
Angetumia busara haya yote yangetokea wapi sio kila mtu anapenda kuonewa

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Kuna sababu, hawezi mtu akakuzaba makofi pasinakua na sababu yawezakua wewe ni mtovu wa nidhamu umemtusi km afanyavyo huyu member humu Don Vill hivi huyu aanze kuporomosha matusi mbele ya Askari na kumvimbia unadhani nini kitafuata? Mtu anatukana viungo vya mama yake anavitaja bila kua na staha unahisi nini kitafuata?,
 
Yeye katangaza vita dhidi yenu.
Mimi nawaambia tumieni busara.
Ila ukija kwa shari nakushari pia.
Wala usinitishe.
Form 4 failure unavimba vimba barabarani. Tuheshimiane.
Punguza chuki za kijinga, form 4 failure ndio mlivyokaririshwa kua kila Askari ni form 4 failure? Acha kua mjinga chagua kua mwerevu,
 
Kwa hio wanajeshi wote unaowana ni sawa na kuanza kuwavimbia na kuwatukana unavyojisikia na kutaka kupimana nao nguvu si ndio?
Kujumuisha askari wote, kuwa wana tabia za uonevu, siyo sawa, kuna askari wengine ni wema sana. Elimu inabidi izidi kutolewa kwa askari, namna ambavyo wanatakiwa kujibihevu uraiani, na siyo kufanya ndivyo sivyo.

Watu wengi inaonekana walishajengewa chuki, kwasababu ya yale ambayo walishatendewa au kuyaona yakitendeka kwa wenzao. All in all, elimu iendelee kutolewa kwa askari, ili kuepusha vitu vinavyoweza kuepukika. Inauma sana, askari kapoteza maisha bila kutarajia.

Laiti (askari), anfejua ambacho kingempata, hakika siku ya jana, asingetoka kambini na akaenda kunywa pombe alipoenda. Pole sana kwa ndugu jamaa, marafiki na familia kwa ujumla. Pole sana na kwako pia mkuu, nimeona umejitahidi sana katika komenti zako, kutusihi sisi wananchi tusiokua wanajeshi, kuacha chuki dhidi ya askari, hii inaonyesha wewe ni mtu usiyependa shari.

Tukio la huyo askari, liongezeke kwenye mifano halisi uliyonayo, na likuongezee ari ya kutaka kujua kwanini chuki ipo kati ya wananchi wanajeshi na wananchi wasikokua wanajeshi. Pole sana.
 
Back
Top Bottom