Kauli zipi zinazokuchukiza hapa duniani?

Kauli zipi zinazokuchukiza hapa duniani?

nachukia sana nkiwa nachat na dem wangu af ananiuliza eti LIKE unafanya nini? wakati anajua kabsa nmeshika simu nachat nae
 
nachukia sana Dume mwenzio eti anakutext MAMBO MY?

Si Ushostito huo? au dume mwenzio humu jf unaanzisha thread then anakureply eti "AIBU NAONA MIMI"
 
Nachukia sana mtu anaposema.....'sina hela'......hizi kauli zinakatisha tamaa sana.......watu wajirekebishe.........hasa wanaume.......

Ha ha haaaa... Me too
 
Umesahau na hii " ulitakaje sasa"
Dah!!...hii kauli ilinifanya nikose penzi na mnuno juu..sitarudia kauli za kuumiza mtu.....maana siku ile mtoto wa watu alitokwa na machozi na akaanza kusema baby hunipendi, huwezi kuniambi maneno kama hayo inaonekana una msichana mwingine, kijana wa watu nikawa kama pilito....kwa kweli kauli zingine zinaweza kuvunja uhusiano au ndoa.
 
You are not the only fish in the lake.....
 
Kamulize mama yako mziki wangu anaujua pumbaff wewe!!! chupa ya kichwa ikalala kichwani mwake!!!
 
baby gari yangu imeisha mafuta na niko kwa petro station nitumie laki mbili niweke mafuta baby i love u mwa!!
vizuri

Oooh! Baby mbona hukuniambia kama unaelekea huko, kwani gauge haifanyi kazi hadi gari ikakata mafuta ukiwa Petro station. Fanya kuilejesha home nikija tutayazungumza!
 
Nachukizwa na watu ambao kila siku salamu uwasalimie wao ikitokea umejisahau wao hawakusalimii unasema isiwe tabu kama vipi na wewe unauchuna hakuna kumsalimia,baada ya siku kadhaa unasikia huyu jamaa huwa asalimii.

Teh teh teh! Tena anadharau sana.....
 
Mimi hili neno sio kama nalichukia ila nahisi silielewi
'niambie'

exactly wanataka kuambiwa nini?

Tena utakuta yeye ndio aliyekupugia simu hapo mkuuu!!! Yani unatakiwa kukata hiyo simu haraka sana
 
Najuta kukufahamu
Sijui waqt unanitongoza nilikumbwa na nini?
Nenda mwana kwenda
Bwanaeeh nipishage huko
 
Demu hakupigii wala kubp, ukimpigia swali lake muhimu ni "za kunisusa...."
Mtu anakupigia simu bila sababu, utaskia "nambie..., lete story..., mambo mengine vipi"
 
Demu hakupigii wala kubp, ukimpigia swali lake muhimu ni "za kunisusa...."
Mtu anakupigia simu bila sababu, utaskia "nambie..., lete story..., mambo mengine vipi"

Sio mademu tu, hata midume inahizi tabia, kulalamika kususiwa wakati na yy alikua kimya.
 
Back
Top Bottom