Kauli zipi zinazokuchukiza hapa duniani?

Kauli zipi zinazokuchukiza hapa duniani?

Nachukia mtu akikupiga simu swali la kwanza nakuuliza uko wapi?

daah... inakera sana, ukimjibu ulipo atakuuliza unafanya nini? upo na nani? unarudi saa ngapi? hapo anakuhoji kwanza ndio aseme shida yake
 
Demu hakupigii wala kubp, ukimpigia swali lake muhimu ni "za kunisusa...."
Mtu anakupigia simu bila sababu, utaskia "nambie..., lete story..., mambo mengine vipi"

anataka amalize dakika zake za kifurushi alichojiunga
 
Demu wako hamjagombana anakutumia msg "bby Unanipenda?
 

Attachments

  • 1450998299493.jpg
    1450998299493.jpg
    44.9 KB · Views: 138
Kutumbua majipu,

Hapa kazi tu,

Serikali yangu,

Tutafanya kitu,,

Watz ni maskini,
 
When my girlfriend calls and asks "baby unafanya nini sasa hivi?
Most of the times they ask, I lie, coz I know I cannot tell them everything I do.
 
When my girlfriend calls and asks "baby unafanya nini sasa hivi?
Most of the times they ask, I lie, coz I know I cannot tell them everything I do.

af ukimjibu nakula...anauliza unakula nini? kila siku maswali yaleyale yanachukiza sana.
 
Sio mademu tu, hata midume inahizi tabia, kulalamika kususiwa wakati na yy alikua kimya.

Umeonaa Machibo ndo mana wa tz hatuendelei kila siku story zile zile husipompgia eti umemsusa na ukimpgia kila siku lazima mizinga ikuhusu
.
 
Back
Top Bottom