Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,045
- 12,537
Nilizike nimekuzaa mie
pita hivi ..
Nilizike nimekuzaa mie
pita hivi ..
Xaxa xixi wengi hatujazoea...
"Watapigwa tu, ehe maana hatuna namna sasa!"
"Kama huna nauli piga mbizi mpaka kigamboni"
"....eti hachomoi! ...sina nilichochomeka!"
huyu naye vipi, unanililia kwani nimekuzaa
Tafuta size yako
Ha ha ha ha ulimwengu mzuri ya walimwengu magumu saana..
Mie nina amini katika elimu..
Lolote linalotokea ni somo kwako usiumie nafsi chukulia kama fundisho sababu binadamu lazima ujifunze ndipo uishi!
Kwa7bu gan? 😎Nachukia pahala pa kuandika S unaweka X ...
Mie nachukia na hii kauli ya "k" badala ya "ok" hivi ni dharau au nn
Baba Swaleh.....Halafu anashinda bar akija amelewa sasa nauliza hizo pombe umepata wapi??
Nachukia sana mtindo wa sikuhiz wa wanawake kuandika "vepee" na baadhi ya wanaume wasiojielewa
"Watapigwa tu, ehe maana hatuna namna sasa!"
"Kama huna nauli piga mbizi mpaka kigamboni"
"....eti hachomoi! ...sina nilichochomeka!"
huyo aliyesema hakuna alichochomeka ni nani?