Kauli zipi zinazokuchukiza hapa duniani?

Kauli zipi zinazokuchukiza hapa duniani?

Nachukia sana mtu anaposema.....'sina hela'......hizi kauli zinakatisha tamaa sana.......watu wajirekebishe.........hasa wanaume.......

"Nipe kidogo nichangamshe damu"
 
Nafikiri hii mada Ni ya lugha, ingepelekwa jukwaa la lugha....
 
Hehehe!
'nionjeshe'
Karanga hazionjwi chumvi.

Heri ya sikukuu mdogo wangu.

Mh zinaonjwa bana.....sasa utajuaje kama haitoshi??? Bora tu zisiwe za biashara usijemaliza mtaji.

Asante na wewe dada angu..."nikipata nauli mjini nitakufuata...."
 
Mi nachukia watu wanaojidharau wenyewe utakuta mtu anakwmbia mnaweza nyie mimi siwezi kabisa hata jambo jepesi
 
"Watapigwa tu, ehe maana hatuna namna sasa!"

"Kama huna nauli piga mbizi mpaka kigamboni"

"....eti hachomoi! ...sina nilichochomeka!"
 
"hapana sitaweza", "sijui", "bwana eeh fanya utavyoona ni sahihi", "sasa mi nifanyeje", "kwahiyo?"
 
k, p, ni herufi na wala siyo kauli..

kauli tata > achana na mambo yangu, nikwambie mara ngapi?

kauli za kuudhi > we endelea kunifuatilia, kitakachokukuta utajua mwenyewe..

kauli mbovu > unaning'ang'ania nini? achana na mimi kila mtu ana baba na mama yake..!

kauli zinazoumiza > nilifanya kosa kukupenda sasa najuta..
 
k, p, ni herufi na wala siyo kauli..

kauli tata > achana na mambo yangu, nikwambie mara ngapi?

kauli za kuudhi > we endelea kunifuatilia, kitakachokukuta utajua mwenyewe..

kauli mbovu > unaning'ang'ania nini? achana na mimi kila mtu ana baba na mama yake..!

kauli zinazoumiza > nilifanya kosa kukupenda sasa najuta..

Hahahaha....duh
 
Hajakuzalau man ila mm apo nahis amekupa changamoto...work hard,people fall to succefully people

Hata kama ni hivyo mkuu,wanaonaga ugumu upi kumujibu mtu jibu zuri tu tena linalositahiri kulingana na Maelezo yake bhana.NIMEKUELEWA.
 
maneno ninayo yachukia ni...........

baby holiday is coming soon na sijakwend saloon

baby gari yangu imeisha mafuta na niko kwa petro station nitumie laki mbili niweke mafuta baby i love u mwa!!

baby shoga yangu amenunua gaun zuri kwaajiri ya chrismass and its amaizing kwan ni zuri na nimelipenda naomba uninunulie kwaajili ya chrismass hii (huku akinipapasa kifuani)

baby please leo nimechoka sijisikii vizuri
 
Hizi kauli ndiyo huwaga sizipendi kwa kweli.


Siwezi

Una nini wewe

Huniwezi

Sitaki

Nimechoka naomba uniache

Baby kojoa haraka

Muone kwanza

Kwa lipi hasa ulilonalo

Una uzuri wa bure
 
Nachukia unapomtongoza mtu kuwa unampenda afu anakumbia Asante, hia sielewi kabisa hii asante inakuwa inakuweka njia panda huwa naichukia sana.
 
Mimi nachikia kauli mbili
1.Mtaisoma namba
2.Manyumbu
 
Back
Top Bottom