Kauli za watu mtaani juu ya CCM

Kauli za watu mtaani juu ya CCM

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
2,602
Reaction score
408
Watu wameanza kusema,ukitaka kula pesa za wajinga jiunge ccm. Wanasema kuna options 2
1.Unaweza kutapeli kama yule jamaa aliyesema nimeaga kwetu Kg.
2.Unaweza kuiba,kwani watakwambia urudishe bila kuchukua hatua.
Wengine wansema,ukitaka kupanda cheo
1.Iseme vibaya chadema na kuahidi kuisambaratisha
2.Uue kama Michael Kamuhanda nk.
Eti hiki ndicho chama tunachokitegemea kuleta maendeleo.....ushe.nzi mtupu.
 
Hutakii kula ccm kulala cdm 2015 tutaonana
 
Hahaha hahaha hahaha hahaha huu uzi ni mwiba mchungu sana na mkali mno kwa magamba Hahaha hahaha hahaha hahaha
 
Wote wenye fikra mgando km ww ndio wana hoja za kipuuzi puuzi hivi

mgando ni ninyi magamba,majinga ya kuliwa pesa bila mafanikio.Subirini,watu wanaangalia ulaji,wanategemea kujiengua dakika za mwisho
 
Hakuna ulilokosea hata moja......ila mie naamini kabisa ndani ya ccm kuna watu wenye maono na akili timamu sema hawana uwezo,maana kusikilizwa ndani ya ccm mpk uwe na tajiri na hii imefanikiwa baada ya mwasisi wa Taifa hili(RIP) kuondolewa duniani maana siamini mpk kesho kama alikufa kwa matakwa yake,kuna ndugu yangu alikuwa masikini wa kutupwa ila alivyopiga hela akawa karibu na viongozi wa chama leo ni mlezi wa chama cha mapinduzi .....

2014/2015 tutakufa wengi
 
Mnataka kututoa kwenye hoja ya ZITTO, hatukubali tuambieni siku 14 bado tu mbona mnambwela?
 
Back
Top Bottom