Kauli za wanawake zinazoboa

Kauli za wanawake zinazoboa

Habar za wakati wana JF,

Kuna kauli za wanawake ambazo zinanikera sana, bila kupoteza muda baadhi ya kauli hizo ni zifuatazo;

1.Ukimwambia i luv u utamsikia anakwambia hilo neno mara ya mwisho kumwambia mama yako ilikuwa lini(jamani sasa ye inamuhusu)


2. Ukimnunulia simu ya tochi utamsikia"unaninunulia simu ya tochi kwani mi mlinzi"

3. Mkigombana kidogo utamsikia"haloo ukisusa wenzio wala babu we"

4. Kauli nyingine ni ile kuwaita wanaume mabuzi, kwani sisi wanyama mpaka mtuite mbuzi mko*e utasikia"shoga nimelipata buzi hilo linahonga"

Wadada hizi sio kauli nzuri acheni kama kuacha ni ngumu mwaka ujao mtatoka ngeu.
Teh teh , ukini-delete mwenzio anani-download
 
Duuh huyu ndio wewe binti?

87313.jpg
Mkuu km ni yeye basi kauze tu shamba na nyumba ya uridhi maana hakuna namna nyingine kwakweli, hiyo ugonjwa wa wengi kwakweli
 
Dame is a noble title the equivalent of sir. The same way you can call your man' my knight in shining amour' he can call you his dame which is same as knight(sir)
Mimi.nimeshuhudia.wamama watu wazima waliosoma.wanakasirika.sana. pale wakiwa barabarani halafu akatokea mtu na kumwita
Maza.(Mother). Wanaona ni uhuni kuitwa kwa jina hilo.
Wanataka umwite "mama". The same goes to neno "demu", "sHORI"


Utaona majina haya bila kujali asili yake,kwa kiswahili yanatumika na wahuni na katika hali ya kihunihuni. Sio formal.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom